Search results

  1. S

    Kwa kina dada tu

    Nimeyapenda sana haya maneno yako, ch**pi inaficha kitu cha thamani sana kwa mwanamke.
  2. S

    UTI & Sex, naombeni ushauri

    asante kwa ushauri
  3. S

    UTI & Sex, naombeni ushauri

    Hiyo moja ndo naitaka, hizo nyingine nazijua.
  4. S

    UTI & Sex, naombeni ushauri

    Jamani nimesema nauliza, na nilicho kuwa najua ni ile UTI ya watoto na ninajua kwanini hutokea. hata kwa watu wazima najua inaweza kutokea kwa sababu nyingine hata kama zile za watoto. lakini pamoja na hayo naulizia kupana upana, tusikatae wakati kuna watu wanapata UTI kwa kupitia mahusiano...
  5. S

    UTI & Sex, naombeni ushauri

    BAK Du unazidi kunipa mashaka, na kunikaribisha kwenye jibu. inavyo onekana kuna kitu amekifanya na ilikuwa ni mara yake ya kwanza.
  6. S

    UTI & Sex, naombeni ushauri

    In young sexually active women, sexual activity is the cause of 75–90% of bladder infections, with the risk of infection related to the frequency of sex.[1] The term "honeymoon cystitis" has been applied to this phenomenon of frequent UTIs during early marriage
  7. S

    UTI & Sex, naombeni ushauri

    Wakuu hivi kunauhusiano wowote kati ya UTI kwa wanawake na kufanya mapenzi. Ktk kutafuta tafuta nasoma kuwa wanawake wakubwa (achana na watoto) wanaweza kupata haka kaugonjwa baada ya kufanya mapenzi. Nisaidieni jamani maana baada ya kumdadisi rafiki yangu ameniambia kuwa anaumwa UTI wakati...
  8. S

    Kina dada hata kina kaka naombeni msaada

    Na jana kaniambia hajawahi kumkubali mwanaume yoyote..., nafikiri nisikae tuu bai nami niwe napiga step mojamoja kwake.
  9. S

    Kina dada hata kina kaka naombeni msaada

    mimi ni mtu wa rika ya kuoa, nimemzidi kama miaka 6 ivi,
  10. S

    Kina dada hata kina kaka naombeni msaada

    mwenzio mgeni ndoo naanza haya mambo, ebu nipe dondoo
  11. S

    Ameniacha, i want to forget him.

    Mdogo wangu fanya hivi, kunauwezekano atakutafuta, na ole arudi. 1. usimpigie simu ikiwezekana futa hata namba yake usije ukampgia kwa bahati mbaya. 2. Acha kumfikiria kabisa. 3. Hata mkikutana njiani usimsalimie (uchune). 4. Akikupigia simu usipokee (iache iite hadi ikome yenyewe). 5. Mtu...
  12. S

    Kina dada hata kina kaka naombeni msaada

    Jamani mnanitia kiwewe
  13. S

    Mtazamo hasi wajamii yetu kuhusu makabila haya . . !!!!

    Tatizo ni kuwa hao wenyewe hujisifia kwa kuwa na hizo sifa mbaya.
  14. S

    Kina dada hata kina kaka naombeni msaada

    Jamani muda si mrefu nilipata kujuana na dada mmoja, lakini kadri siku sinavyo enda nahisi mabo yanabadilika na kunifanay nisijue la kufanya nisije fanay makosa. Huyu dada kwanza ameanza kunipia heshima tofauti na mwanzo, pia nikiwa na tatizo anataka alitatue hata kwa gharama yoyote. Vitu vyake...
  15. S

    Ukitaka kujua kama umekuwa ADMITTED na TCU do this

    Mkuu nasikitika kwa muda ulio upoteza kutuletea madudu hapa jamii forums. Kama wewe ni mfanyakazi wa TCU twambie tujue mapema maana sote tumesha jua CCM na ninyi lenu ni moja , nina maana kazi imewashinda. Tumewavumilia vyakutosha, uzalendo karibu unatushinda. Msituone mazuzu kiasi cha...
  16. S

    jamani nishakosa chuo

    haya makubwa
  17. S

    Je hiii ni njia sahihi kweli ya kujua kama kweli umepata chuo? (kutoka TCU)

    Kuna watu walikuwa not eligible course zote lakini naye anapata hako kaujumbe.
  18. S

    Je hiii ni njia sahihi kweli ya kujua kama kweli umepata chuo? (kutoka TCU)

    Hii mbona kama danganya toto na kutuona sisi kama mazuzu. mimi mwenyewe nipo admitted. Inavyonekana hawapo makini na wanacho tufanyia ni kubuy our time. Mficha magonjwa siku ataumbuka.
  19. S

    TCU wanatutania Undergraduates?

    Wewe inaonekana ni mmoja wa hao. maana kila siku ni kufariji hata pasipo farijika. ebu acha kutupaka wese kwa mgongo wa chupa.
Back
Top Bottom