Search results

  1. G

    Ipende na ilinde simu yako

    Naomba maswali mengi tupost hapa kwa faida ya wengine
  2. G

    Ipende na ilinde simu yako

    Wakuu sijui kama haijaeleweka naona maswali ya namna ya kujisajili yankua mengi ni reg*aina ya simu yako*modeli yake*imei number hakuna kuacha nafasi. tumia mfano huu. reg*samsung*galaxy*350252563365348 Note: imei ni digit 15 na unaweza iona kwa kupiga *#06# naomba refer post number 1 &5...
  3. G

    .......................Viwatil ifu...............???

    nini utafauti kati VIUADUDU NA VIATILIFU
  4. G

    Ipende na ilinde simu yako

    Swali la mwisho: Unaweza kijisajili mara ngapi Kama tulivyosema tangu awali lengo la kujisajili ni kuilinda simu yako uweze kupata warrant stahiki ama mwenye simu aweze kupatikana kirahisi pale simu inpopotea na faida nyinginezo. hivyo kujisajili ni mara moja tu isipokua unamuuzia simu yako mtu...
  5. G

    Ipende na ilinde simu yako

    Kuhusu Zawadi, Ni kweli tutakua na zawadi tatu kila mwezi ambazo zinaweza kuwa ni simu ama fedha taslimu kama itakavyoamuliwa. ikumbukwe pia zawadi kama ni simu itakua brand uliyosajili, yaani kama umesajili Blackbery basi zawadi ya simu itakuwa ni blackbery ambayo thamani yake ni kubwa kuliko...
  6. G

    Ipende na ilinde simu yako

    Kuhusu aina ya simu Mfumo wetu ni kwa ajili ya simu zote yaani Nokia, Sumsum, Techno, Blackbery, HTC etc hakikisha tu wakati unaandika ujumbe useme aina ya simu unliyonayo. Kama ni Nokia Music express, Blackbery Bold, HTC chacha n.k na ujumbe utakaopata utakujulisha aina ya simu uliyoregister
  7. G

    Ipende na ilinde simu yako

    kuhusu reply Unapotuma ujumbe reg*Nokia*N95*74747474748583 ama sajili*nokia*Ringo*26354785889987556 kwenda kwenye number 15568 utapata ujumbe kukutaarifu ombi lako limepokelewa.
  8. G

    Ipende na ilinde simu yako

    Kuhusu nafasi kati ya neno moja na jingini Mfumo wetu unatenganishwa na nyota bila kuacha nafasi yaaani reg*blackbery*9700*123456789876543 kisha unatuma kwenda 15568
  9. G

    Ipende na ilinde simu yako

    Kwa faida ya wote, waliotutumia pamoja na kujibu email zenu tunapenda kutoa baadahi ya ufafanuzi hapa. Swali kuhusu Warranty. Tunachofanya ni kuhifadhi kumbukumbu ya lini warrant yko inaanza na lini inaisha na jinsi ya kufanya kudhibitish hilo andika reg(nyota)aina ya simu(nyota)modeli ya...
  10. G

    Ipende na ilinde simu yako

    Kama ukipata shida tafadhaili usisite kuwasilina nasi kwa email info@gmconsultz.com
  11. G

    Ipende na ilinde simu yako

    Ndugu Watanzani Karibuni kwenye huduma yetu mpya ya kuhifadhi udhamini (warranty) za simu. Wadau wengi wamekuwa wakinunua simu na kupewa udhamini wa muda fulani wa simu zao. Ila pindi wakipoteza stakabadhi ama kadi za udhamini (warrant card), Inakua ngumu kufanya marejeo ya muda wa ukomo wa...
  12. G

    Je wewe ni mojawapo?

    Naushukuru kwa swali. garama ni TZS 250 hakuna promotional msg wala hiden cost yaani inatozwa mara moja tu.
  13. G

    Je wewe ni mojawapo?

    Mkuu Kichakoro, Tunatarajia kutoa press release kila miezi 3 na kama kutakua na cases nyingi everymonth. Lakini pia tutashauriana na Regulator wa simu namna bora ya kufanya ili public iweze kupata right information. Pia tunatarjia kuwa na website ama blog ambayo itakua inaonyesha hata picha ya...
  14. G

    Je wewe ni mojawapo?

    Kumekuwa na ongezeko kubwa la simu zisizokidhi viwango vya ubora hivyo kusababisha majanga (ajali) wakati wa matumizi wa simu hizo. Je umewahi kununua simu ukapatwa na tatizo kama kulipuka ikiwa mfukoni kwenye charger ama wakati wa kupokea simu, n.k? Tufahamishe ni simu aina gani, model gani...
Back
Top Bottom