Search results

  1. Kig

    Naona aibu kuuza maji barabarani nisaidieni

    mtu ana miaka 26 halafu kasoma, shule ya msingi, secondary (o-level na aA-level) na degree halafu anajiita yeye ni mtoto mdogo. kweli mambo ni mengi, muda mchache
  2. Kig

    Kwanini tunaoa so called `Wife materials` lakini bado kwenye ndoa ni majanga?

    Unapotafuta wife material, jiulize je wewe n husband material?
  3. Kig

    Sasa mnaoa ili iwaje? Hebu angalia hii familia

    ukitumia changamoto za wengine kama somo utaishia kukata tama. Usijimilikishe matatizo ya wengine. Live your life.
  4. Kig

    Shemeji kaniomba aje kulala nyumbani kwangu

    haya maigizo ya bongo movie
  5. Kig

    Njombe: Wahitimu wa vyuo walazimika kuolewa ili kuepuka ugumu wa maisha

    Hata kama ajira hakuna, maisha lazima yaendelee. huwezi kusema nitaolewa nikipata ajira wakati hujui ajira utapata lini.
  6. Kig

    Top 5 ya Baridi, Njombe na Sumbawanga noma..

    Njombe kama ulaya tu
  7. Kig

    Lecturers wanatumalizia dada na wadogo zetu

    leta ushahidi. kama huna ushahidi acha kuchafua watu
  8. Kig

    Ni muda gani naweza kumtongoza binti baada ya kufahamiana?

    ujana maji ya moto. Uwe makini yasikuunguze
  9. Kig

    "Wilaya ya Mbezi Beach" kama inavyoelezwa kwenye taarifa hii ina maana gani?

    Tanesco wana wilaya na mikoa yao ya kiutawala. Usichanganye na wilaya na mikoa ya kiserikali za mitaa
  10. Kig

    Msaada wajumbe: Nataka nimshitaki Baba yangu mzazi, sheria ipi nitumie?

    Komaa na maisha, ukifanikiwa, baba yako atakutafuta.
  11. Kig

    Kesi madai ya fedha mahakamani inahitaji dhamana?

    Habari zenu watalaamu na wadau wa sheria. Naomba kujua kama mtu akifikishwa mahakamani kwa kudaiwa fedha ya mkopo na mtu binafsi, atatakiwa kuandaa wadhamini wa kumdhamini akiwa mahakamani?
  12. Kig

    Wanawake acheni tabia ya kuwaambia wanaume wakaoge ndipo mfanye mapenzi

    Kuna watu ukimwambia akaoge anaona umemtukana
  13. Kig

    Mwenza wangu kaomba nimkopeshe hela

    kama anaomba mkopo 20,000 tu unakimbilia jf kuomba ushauri, akikuomba 50,000 ya saloon si utahama mji kumkimbia
  14. Kig

    Magari kufanana namba za usajili

    pole. hapo nahisi umeuziwa gari ya wizi
  15. Kig

    Morogoro: Lori la Mafuta lapata ajali na kulipuka, watu 104 Wapoteza maisha na wengine kujeruhiwa...(Picha zinaogofya)

    KUNA WAJINGA WENGINE AMBAO HUWA WANAPAKIA ABIRIA NA MADUMU YA PETROL KWENYE MABASI HASA MABASI YA VIJIJINI. NI HATARI SANA
  16. Kig

    Baada ya kwenda Dodoma kikazi ameanza dharau “kama zote”

    amepata mwenzio anayeweza kazi. sasa kama wewe unampwelepweta tu unategemea nini?
  17. Kig

    Baada ya kuishi naye zaidi ya mwaka, nimegundua ana mtoto wa miaka 9!

    hizo ni mojawapo ya changamoto za kuoa mtu usiyemjua kwa undani. unakuja kumjua kwa undani wakati tayari mambo yameharibika. cha msingi kaa naye chini, muulize ujue sababu za kukuficha. ila ninachokiona hapo alikuficha ili usimuache kwa hiyo ametumia ujanja kuhakikisha anapata mume kijana...
  18. Kig

    Crossroads: Ex wa mke wangu wanaendelea kuwa karibu na wife hadi sasa

    haya ndio matatizo ya kutumia hila ili kuvunja uchumba wa watu ili mke umuoe wewe. Pili wewe umeanza kucheat kabla yake. sasa ni zamu yake. Na ukizingatia kumuacha huwezi yaani umefariki umeoza kwake atakuchezea kama baskel ya watoto. Ushauri, vumilia maana umeyataka mwenyewe.
  19. Kig

    Hatimae mzee kavuta 98m za kiinua mgongo

    mwambie mzee wako aoe binti wa miaka 20 au 30 hata 40, bila shaka hizo hela hazitakosa matumizi
Back
Top Bottom