Search results

  1. M

    Nampongeza Aweda kwa kujilipua na hoja ya madawa ya kulevya ya (Mengi vs Nzowa )ITV , lakini....

    Ila bwana viongozi wa chadema huwezi kwa kujilipua wote wako kama baba yao Dr Slaa. Nilidhani ile hoja angehofu maisha yake kama mleta mada alivyosema. Ila inaonekana viongozi wengi wa Chadema akiwepo Aweda hawana hofu na kifo.
  2. M

    Siri za kifo cha Kamanda Barlow zavuja, kamanda wa Polisi Muna atajwa! Taarifa zamfikia Pinda

    PJ, Wewe ni mtu unayeheshimika sana hapa jf, hupaswi kumjibu punguani Mgonjwa Chris Lukosi.
  3. M

    Siri za kifo cha Kamanda Barlow zavuja, kamanda wa Polisi Muna atajwa! Taarifa zamfikia Pinda

    Mkuu, kweli kuchakachua ni jadi yenu; Yaani hata taarifa tu unachakachua, huoni aibu hapa Jamvini; Huko JWTZ Alijieleza vya kutosha na wanajeshi walimwonea huruma wakampa Nauli na Tsh 10,000/= ya kula njiani ilie aende Bungeni huku wakiwa wamemkabidhi namba za simu za wabunge 2 wa upinzani ili...
  4. M

    Baada ya SUGU Kupachimba..TBC yarusha habari ya CHADEMA kuhusu Zitto

    Wewe umesema kweli, Kazi ya zitto ni kupunugaza kasi ya chadema. Hotuba yake Tabora ni kumpinga bosi wake Slaa ili kuwachanganya wanachadema nchi nzima. Shame on you zitto.
  5. M

    Katuni: Bunge letu na dhihaka toka Kenya

    Huu ndo ukweli mchungu whether we like or not.
  6. M

    Tukio la Mlipuko wa Bomu Arusha: Victor ndiye aliyembeba mlipuaji kama abiria wa boda boda

    Haya ndo yalikuwa maelekezo ya Shehe Ilunga, SASA tunashangaa nini?? Hivi yuko wapi? Magazeti ya Al nuur kazi zao kila siku ni kuhubiri chuki tu. Hali hii lazima izuiwe na serikali. Siku moja Radio imani ikatangaza kwamba Mabomu ya Gongo la Mboto yamelipuliwa na wakristo kwa sababu waislamu ni...
  7. M

    Jamani, katika hili JK apongezwe!!

    Wewe una matatizo ya akili, kwa kweli. Hilo sina shaka nalo.
  8. M

    Tukio la Mlipuko wa Bomu Arusha: Victor ndiye aliyembeba mlipuaji kama abiria wa boda boda

    Kwa nini waharakishe kumtaja hadharani Victor Ambrose, lakini vijana 4 wa kiarabu hawatajwi majina yao? Kuna nini hapa kinawatatiza Pinada na Emanuel Nchimbi. Unafiki ni mbaya sana.
  9. M

    Hizi ndizo sababu halisi za kukatishwa ziara ya JK uarabuni?

    Natafakari na kuunganisha dots zangu.
  10. M

    Waziri Mkuu afunguka TBC kuhusu mabomu Arusha

    Sijajua kwanini jambo linalowahusu waislamu kunakuwa na woga wa kuliweka wazi.
  11. M

    Waziri Nchimbi atiwa kitanzini Bungeni, hoja kujadiliwa kikao kijacho

    Wewe bado unaumwa. JF huwezi, inabidi urudi tena marekani ukababe masufuria NA kuwadekia wazungu.
  12. M

    Waziri Nchimbi atiwa kitanzini Bungeni, hoja kujadiliwa kikao kijacho

    Namsubiri mgonjwa wa Dr xx aje ajitutumue hapa. Namwona yuko humu. C L umepona??
  13. M

    Nimepata mil 10 ghafla, nataka ninunue mchele kisha niuze mwezi 10. Je, kuna zao lingine bora zaidi?

    Wadau ktk muda ambao sikutarajia nimepata mil 10 kutokana na mikopo kwa wafanyakazi niliopewa na benki yangu kama mfanyakazi - sikutegemea kabisa japo nilikuwa natafuta fedha hizi muda mrefu. Sasa nataka niende Morogoro ninunue mchele kisha niweke ktk Godown halafu nitauza bei ikipanda. Kwa...
  14. M

    Viongozi wa dini watoa tamko la amani

    Hili tamko ni aibu, sitaki idhaniwe kuwa limetolewa na waislamu, labda kama ni NGO inoyotetea uislamu tu.
  15. M

    Parties free to form alliances

    Hapa lazima ccm watakuwa wamepanga jambo, ila mimi nadhani inaweza kuwa jambo jema kwa chadema pia mbele ya safari.
  16. M

    Kasoro kubwa katika video ya Lwakatare

    I like JF, hii thread ndo itakuwa imezima moja kwa moja proganda zao. JF mwisho.
  17. M

    Maandamano Dar kupinga kudhalilishwa kwa viongozi wakuu wa serikali ya Tanzania...

    Heri kuandamana kumpongeza mzungu msema kweli kuliko kuandamana kumpinga msema kweli.
  18. M

    Kosa la Odinga na ushindi wa Kenyatta... tunalo la kujifunza

    Uhuru hajashinda, nitachangia kesho baada ya matokeo rasmi.
Back
Top Bottom