wale wote mliochaguliwa mu wameishatoa allocation for accomodations xo angalieni mapema kama jina halipo jipange kulipa off campus maana ni gharama....na pia wametoa unatakiwa kulipa kiac gan kama ada na michango mingine kulingana na mkopo uliopewa.....for more info tembelea web ya chuo
Hawa mu nao cwaelewi wameandika ukipata chumba ndo ulipie wakat kwenye join wameandika utakapoonyesha pay in slip hapo hapo utapewa room xo utasecure room vipi without paying first? Na wameongeza idadi ya wanafunz tena nimeona majina kwenye web yao.........af kwenye join wamesema kulipa mwisho...
ni kweli waliosoma st kayumba kwa kiasi kikubwa wamepata mikopo na ni kiasi kikubwa ili weng wao wenye div one na two...mimi nipo bba na nimepata wa kutosha pale mzumbe ingawa olevel nimesoma private na advance ya kata....na best angu kasoma pandaili ya mbeya ada yao ilikuwa zaid ya mil moja na...
Baada ya web ya mikopo kuto funguka now inafunguka na kunamabadiliko kama majina hayaonekani bali una search jina au unaandika index no then unasearch fasta utaona umepata au laa......c hivyo tu kuna majina yapo wamepewa mkopo ila wanamatatizo kidogo wamepewa cku 14 kurekebisha ili...
me cpo muce ila ni mwenyeji wa pandi hizo nastay iringa town.....kuhusu kiasi cha kwenda nacho kwa upande wako ni michango tu mingine ya chuo ingia kwenye web yao nadhan ipo kama caution money,identity card etc...na kuhusu vyumba vipo vya kutosha karibu na chuo ni wewe tu kuelewana bei na mwenye...
co kute mzumbe ni 1785000 meal allowance na ni tsh 7500 kwa siku ingia kila web ya chuo utaona hiyo kitu na field co kwa wote ni kwa wale ambao wanazo mfano education
inadepend na facult mfano wa education lazima atoe na ya field ya cku 56 sh elfu kumi kwa siku....wengine mnatoa ya meal na stationary tu kama hauna field mwaka wa kwanza.....kwa wale wenye field kama edu chukua mshiko uliopata den toa ya meal,stationary na ya field na cla kila chuo hela ya...
me pia mzumbe i heard msul wa pale c wa kitoto n i lyk dat thing cz hatuend chuo kucheza ni kusoma ataecheza ni uamuz wake hata mimi nikicheza bac ntakuwa nishatafuta chuo kingine cha kukimbilia cz nimejitakia
ile ni institute na weng wanaoenda pale full ubishoo af na pepa zao very simple na best angu yupo pale yaan cjaanza chuo ila maswali nilijibu karibu yote had yeye alishangaa akaniona najua kumbe hakuna kitu pepa yenyewe easy af watu kibao kuna facult inaitwa social protection wamepelekwa na tcu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.