Kwa vyovyote vile hiyo nchi itakuwa ni Uganda, maana tayari kulishawahi kutokea mlipuko kwenye Club kama sikosei.
Kwenye issue ya urais bado ni kizungumkuti, maana haiko specific sana.
Eeh Mola epusha haya mabalaa, na ikiwezekana mwepushe sana na haya madhila Check Bob wetu, bado hata katiba...
Rais wa nchi, club ya soka au chuo kikuu?
Maana siku hizi kuna marais wengi. Kuna hadi rais wa Watanashati hapa Tz.
Na kama kuna utabiri wa club kulipuliwa basi kuna dalili rais atakayetekwa ni rais wa watanashati, Bob Junior au Diamond.
Kinyume na hivyo basi huyu 'Check bob' wetu pale...
Kama ikitokea leo Malinzi akashindwa basi nitakuwa mnyonge sana. Simkubali kabisa kabisa Nyamlani, he is a bad man to me and to the many people. Ni mlafi mkubwa sana.
Yeye na Tenga ni wafitini sana.
Itanikumbusha 2012, uchaguzi wa Arumeru-Mashariki siku ambayo CCM tulipoteza jimbo letu...
Kuna maslahi binafsi. TFF kwa sasa kuna mpunga mwingi, mtamu na msafi ile mbaya.
Tenga ni mjanja sana, anajua kula na vipofu, ni mzuri katika kuficha makucha yake.
Yeye na JK bado sijaona tofauti, bora wengine wachafuke lakini yeye abaki msafi.
Unakumbuka issue ya Kaijage?
Nabashiri matokeo yatakuwa sare sare, yaani wagombea watafungana kwa kura, kama Simba na Yanga vile.
Kinyume na hapo mambo ya Mr.Mushi na Ufoo Saro nahisi yatatokea!!!
Naona Nyakarungu umeibuka leo na hoja mfu na kisha umepotea hewani ghafla.
Ndugu yangu acha woga, unafiki na Uzandiki, karibu CCM tena hadharani tufanye siasa za kistaarabu kuliko kujificha humu Mitandaoni kwa aibu na kuizodoa CHADEMA wakati walishakufukuza kwa aibu.
Kumbuka pia wengi wao huwa pia wanarudi CCM na huko watapokelewa kishujaa, kwa nderemo na vifijo na kisha kuzawadiwa vyeo vya bure.
Hivi ni kwanini huwa wanafafana sana?
Pia usisahau kuwa, wote inasemekana huwa wanalipwa kisirisiri na CCM yangu kwa kazi hiyo na pia hupendwa na kupongezwa sana na wanaCCM.
Kwa mfano Shitambala, Juliana Shonza, Chagulani Matata, Mwampamba, Habibu Mchange nk.
Hivi ni kwanini wanafanana hivyo?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.