Search results

  1. J

    Msekwa, Lowassa kuonja Ukonga?

    Hamna lolote. Msekwa si nguzo ya chochote. The guy is so poor kwenye kujieleza. Halafu busara zake za kijinga kweli. Na angekuwa nguzo si angeisaidia CCM kushinda Tarime.
  2. J

    Yona na Mramba: Mashtaka na yatokanayo

    Mawaziri Tanzania ni miaka 40!
  3. J

    Tanzania's Worst Websites.

    For the benefit of reducing the possibility of confusion between "opinions" and "facts", we would appreciate if you put down the creteria you used to come to the conclusions you made on the wort websites! This will, of curse, help us to continue contributing on those next to the worst...
  4. J

    Canada and Tanzania to begin negotiations on FIPA

    Kuna NW mmoja wa serikali ya Kikwete aliwahi kwenda mbele ya Bunge akiwa na jibu la swali tofauti na lile aliloulizwa. Akalisoma almost lote kabla hajajua kwamba anajibu vitu tofauti na alivyoulizwa. Aliposhtuliwa ikamchukua mda mrefu sana akitafuta jibu la swali sahihi kwa aibu. Spika akaamua...
  5. J

    JF Karibuni Tanzania Professionals Network

    Ndugu S. Mtsimbe, Mimi kama mmoja watanzania ambao wangeweza kujiunga na TPN nina machache ambayo ningependa kushauri na kupata ufafanuzi kabla ya kujiunga. 1. Nimepitia tovuti yenu, nimekutana na makosa kadhaa ya wazi ya lugha. Nadhani ni vizuri tovuti hii kwa sababu inawakilisha...
  6. J

    FAMILIA: Je, Unahitaji kuwa na Ndoa Imara, yenye Furaha na Amani? Soma hapa...

    Ukiingia kwenye ndoa ili kutafuta furaha umeliwa. Na watu wengi wamefanya kosa hili. Wengi wanadhani ndoa ni sehemu ya kutafuta furaha na utifilimu (completion) - it's wrong. Ndoa nimuunganiko wa watu wawili wenye furaha na walio kamili wanaunganika na kuwa mwili mmoja. Kwenye ndoa unaingia...
  7. J

    My Powerful Sermon

    Hey dear moderators, I've been busy studying my Bible; and was ready for a powerful sermon here on the Forum for the good of us all, just to realize that I do not have "enough privileges" to preach on the Dini/Imani section. What happened?I'm a baptized (Biblical baptism) practising christian...
  8. J

    The Pursuit Of Extramarital Happiness

    BUBU ataka kusema I'm afraid this is a ticking time bomb! However, Will and Jada deserve some congrats for theirs is one of the longest hollywood marriages. Just like Denzel Washington
  9. J

    Mkapa above the law?: Allegations

    Maelezo yako mengi ni sahihi. Tunaloshindwa kuelewa ni kama unatofautisha makosa ya uwezo mdogo wa utendaji na makosa ya jinai. Makapa inawezekana akwa Rais bora Afrika na dunia nzima kwa ujumla. Shida ni kama akiiba - anakuwa mwizi. Kwa maneno mengine ni kwamba kama mtu ametenda kosa la...
  10. J

    Tovuti ya maoni ya wananchi imeishia wapi?

    Mtu mmoja alisema tusiwe tunailaumu serikali kila kitu. Eti hayo ni matatizo ya wananchi wenyewe.
  11. J

    Tafsiri ya Kiswahili ya Breaking News

    Tafsiri sahihi ni Habari Mpya. Isipokuwa kwa lugha ya kiingereza maneno yanoyutumika yana weight na impact zaidi na yamezoeleka sana na hivyo yanaweza kumvuta msikilizaji zaidi. Hivyo kutufanya tuanze kutahayari kutafuta maana ambayo inaweza pia kuwa na impact kama hiyo ndio tunapojikuta...
  12. J

    Wanawake kwakweli wanachanganya

    No wewe si Mama. Kwani na wewe ni demu?!!
  13. J

    Vigogo waliomuua Amina Chifupa

    Huyu Mzee aache kujikanyaga sasa. Yaani ameamua kuanza kutafuta umaarufu kwa nguvu kupitia kifo cha mtoto wake???!!!! Eti amekufa kama Nabii Isa......KUFURU hii. Amina si ndo huyo tunasikia alikuwa anarukaruka kama kindege tu .... anafananishwa vipi na manabii???!!! Alikuwa na maajabu...
  14. J

    CHADEMA kweli ni shwari au ni kauli za kisiasa tu ?

    Huyo Chacha is totally a joke. Alikutana na ubunge kwa bahati mbaya sana wakati mpuuzi mwingine mkubwa zaidi wa CCM alipozidisha wizi, uchawi na uzembe. Baada ya hapo ubunge jimboni hapo ukawa ni "loose ball". Na wananchi walikuwa wamechoka kiasi ambacho hawakuwa tena wanataka mbunge mwenye...
  15. J

    Kikwete's Stooge Foreign Policy?

    This is foolishness! Africa is not so scarce of strongmen that it can justify evils and deaths for the 84 year old weak Mugabe to fufill his selfish ambitions.
  16. J

    Top Ten footballers Tanzania ever produced

    Wacha kabisa. Yaani orodha yako haina jina la Nicodemus Njohole - are you serious 11. Peter Tino 12. Ramadhani Mtemi 13. Kocha Mchezaji - Hassani Hafif 14. Ardolph Rishard 15. Leodgar Tenga 16. Jela Mtagwa 17. Mohammedi Kajole 18. Ahmed Amasha
  17. J

    Naona kijana anaanza kuchemka sasa!

    Mjadala Mzuri Huu, Ingawa Hauna Mwisho. Conclusion: it's So Deep For A Fool To Understand A Wise Word!
  18. J

    Naona kijana anaanza kuchemka sasa!

    Naelewa sana. Tatizo nililonalo inawezekana ni kukufanya wewe uelewwe. Anyway don't worry about it. Endelea na maisha tu mama. There's more to life than this discussion. Best of luck
  19. J

    Mwakyembe augua ghafla Bungeni

    Hata hivyo hatujawa na hakika. Viongozi wa Tanzania wana jeuri bwana. Wanaweza kufanya lolote tu kama ukiingiz kwenye anga zao.
  20. J

    Naona kijana anaanza kuchemka sasa!

    You implied here kwamba mimi namsemea Zitto. Ndicho nilichoamua kukusaidia kwamba mimi sikumsemea. Nilishangaa na kujiuliza. Kuna tofauti. I hope you can understand this, this time around!!!
Back
Top Bottom