Search results

  1. franciswilliam

    Kipi chuo kikuu bora Tanzania?

    Dogo huwajui necta eeehh....subir matokeo yatoke,we post habr za vyuo bora afu baada ya matokeo 2ckuckie huku kisa necta wabaya,,,,be patient :smile-big:
  2. franciswilliam

    Hii ndo top ten ya vyuo vya kata bongo,vijue kabisa usije ukadanganyika kuvichagua kwa wadogo zangi

    hakuna lolote,,,,bado tu hujaelimika wewe ? Hakuna chuo bora hata kimoja,,,chuo bora ni kichwa chako,,,,we wa wapi kila cku unaelimishwa ? Badilika kijana
  3. franciswilliam

    wale 1st year Mzumbe

    Mbona foleni ni ndogo aisee,,,,,,njooni 2,,,,
  4. franciswilliam

    Admission letters UDSM

    unadownload medical na nyinginezo kasoro admission letter ndo haipo kwenye web yao,,,,karibu vyuo vyote sasa ndo ivoo
  5. franciswilliam

    Bachelor of Accountancy and Finance (BAF)

    BAF ipo mzumbe,,muccobs,,ardh.,,KIU,,,RUAHA,,,ST JOHN,,,na kuna faculty nyingne ambazo application zake na qulification zake ni kama baf,, mfano bcom ya udsm na udom,,,bankin & finance na accountn ya ifm,,,IAA,,na nyinginezo nying,,,,,,,,,,,Na huwa kama mmechunguza qulufication requirements...
  6. franciswilliam

    Kilichojiri HESLB ndani ya gazeti la NIPASHE.

    daaa,,,sasa kama ni hivyo mbona hali mbaya kwa waliofungua vyuo tayar ?
  7. franciswilliam

    Why UDSM is ranked number 1 , 2 and 3 in TANZANIA

    kama wengne tunaenda vyuo vya kata ngoja tutakutana kwenye AJIRA
  8. franciswilliam

    Why UDSM is ranked number 1 , 2 and 3 in TANZANIA

    weweeeee,,hamna kilaza.,,,labda we ndo kilaza........! tena koma
  9. franciswilliam

    Maprofessa wa Vyuoni Sijui wakoje!!!

    Yap c vbaya na haya kakawa yanaletwa huku ili mda mwingine tucheke kidogo,,,na ndo jinsi maisha yanavyoenda so kila siku kulia lia 2.......LETA NYINGINE KALII,,,,hahahahahahhaaaaaaa
  10. franciswilliam

    Ni kwa vipi mtu anakuwa lecturer

    Wama jf naomba mnisaidie kwa anayefahamu jinsi m2 anvyoweza kufanya hadi awe lectuer chuoni
  11. franciswilliam

    Nashukuru Mungu sijapangiwa IFM !!!!

    me kaniboa kwel...daaaaah
  12. franciswilliam

    Nashukuru Mungu sijapangiwa IFM !!!!

    Anayedic chuo flan hajisom,,,et utackia kampuni yanatangaza nafac za kaz alafu mwishoni wanasema **ANGALIZO---Awe amesoma UDOM*** ACHENI MAMBO YA KIZAMANI,,,SWALA C CHUO,,,SWALA NI efficiency ya kaz,,na kupata kazi
  13. franciswilliam

    Ukitaka kujua kama umekuwa ADMITTED na TCU do this

    tcu tumbo langu joto joto,,,achien bac icho ki2 ?
Back
Top Bottom