Search results

  1. nasssen

    Wenye connection ya kazi Viwandani wanisaidie

    Ungejaribu kuweka details kidogo kama vile aina ya kazi, fani uliyo na uzoefu nayo, na ngazi pia. Hii inaweza ikarahisisha ili upate msaada kwa haraka.
  2. nasssen

    Mke wangu kanisave "Mbwa" kwenye simu yake

    Mbwa = Mume bora wa amani.
  3. nasssen

    Napenda mke wangu anisusie tukiwa faragha

    Jeffrey Dahmer was something else man. Hahahahaha....naona mwamba nae ana dalili zote za necrophilia.
  4. nasssen

    Hivi wairaq wapoje kitabia?

    Nahisi nimeisoma vibaya hii comment.
  5. nasssen

    Hivi unajua ni kiasi gani bosi wa ofisi anayofanyia mkeo anavyomla mkeo?

    Mkuu, Kuoa au kuolewa ni zaidi ya haya yote uliyoyaandika hapa. Kumbuka kuwa ipo siku utazeeka na pengine ukapatwa na magonjwa ambayo yatahitaji mtu wa karibu sana kukuhudumia. Mtu wa kwanza ambaye ataweza kukuhudumia kwa moyo wote ni mke wako, then wanakuja watoto na mwishowe ndugu wa karibu...
  6. nasssen

    Ukiniona nipo kwenye ndoa na sijawahi kukupa kadi ya harusi kwa ajili ya mchango; usiniletee kadi yako ya mchango wa harusi

    Unakuta mtu hadi pete ya ndoa ananunua kwa michango ya watu. Sasa unakuta watu wanatoa kwa manung'uniko weee....unadhani hiyo ndoa itatoboa hata mwaka?? Mimi siwezi kuchangisha senti ya mtu aisee. Bora nisifanye sherehe kabisa.
  7. nasssen

    Remote Control - Dell Projector Type 1550

    Wakuu habari za muda huu? Nina uhitaji wa haraka sana wa remote control ya dell Projector aina ya 1550. Ninaomba kwa yeyote mwenye nayo anijulishe.
  8. nasssen

    Ninahitaji smart TVs affordable na brand nzuri kwa bei nzuri

    Hahahahaha....hili dude lilituyymbisha wengi sana aise.
  9. nasssen

    Ninahitaji smart TVs affordable na brand nzuri kwa bei nzuri

    Mkuu...naweza pata wapi hii aise? Naomba nisaidie.
  10. nasssen

    Ninahitaji smart TVs affordable na brand nzuri kwa bei nzuri

    Hahahahaha....umenichekesha sana mkuu
  11. nasssen

    Ninahitaji smart TVs affordable na brand nzuri kwa bei nzuri

    Niko Dar lakini naapendelea at least 55"
  12. nasssen

    Ninahitaji smart TVs affordable na brand nzuri kwa bei nzuri

    Habari ya muda huu wakuu! Ninahitaji smart TVs affordable na brand nzuri kwa bei nzuri. Kama unafahamu duka au wakala wa kuuza TV zenye ubora (original) na warranty halisi naomba unisaidie. Shukrani.
  13. nasssen

    Msaada wa kibiashara

    Nashukuru sana mkuu! Nimekuelewa vizuri sana ndugu. Asante kwa muda wako kunielewesha nini cha kufanya, yani umenipa somo zuri sana. Ngoja nizunguke, nikae chini nifanye mchanganuo mzuri na wa kina. Asante sana tena sana!!
  14. nasssen

    Msaada wa kibiashara

    Wakuu, naombeni ushauri ndugu zangu mliobobea kwenye bishara za hapa na pale hasa jijini Dar es Salaam. Mimi nina mtaji wa milioni tano tu kwa sana ambao nataka nijaribu kuuzungusha kwenye biashara. Naombeni mawazo nifanye biashara gani ambayo itanilipa vizuri ukiachana na changamoto ambazo...
  15. nasssen

    Nyumba ya inapangishwa Mbezi Samaki

    Hiyo ndogo pekeyake sh. ngapi mkuu?
  16. nasssen

    Natafuta chumba cha kupanga Dar

    Kipo wapi?
  17. nasssen

    Madini aina ya Zinc ore na Lead ore yanahitajika!

    Mkuu....unajua kuwa ore ni mwamba unaokuwa na madini? Yani mwamba ghala ambao haujachenjuliwa kutolewa madini. Kama unataza zinc au lead yenyewe basi toa hiyo ore ya mbeleni. Ahsante
Back
Top Bottom