Search results

  1. Nokla

    Ndoa ya DUBE na Azam FC sheikh ni TFF, Hana mkataba?

    Lakini mbona suala la feisal TFF walikuwa upande wa Yanga? Maana FEI baada ya kuvunja mkataba Yanga walikimbilia TFF ambapo Feisal alifeli mara 3 zote aliambiwa ni mali halalai ya yanga. Kama anataka kuvunja mkataba akubaliane na Yanga kwanza? Ila sasa kuna wacha-mbuzi na wacha-kuku ndio walizingua
  2. Nokla

    lets be real, Mzize is just another Kibu Denis

    Basi ile ofa ya mil400 tunaituma kwa kibu denis. Aya umefurahi?
  3. Nokla

    Mkataba wa Dube Haupo kwenye mfumo wowote

    Mkataba wa messi ndio ulikuwa balaa simba, yaani jamaa alikuwa anapewa ugali na dagaa baada ya kuwasanua simba wakaja na mkataba wa uongo hata wa chief mangungo afadhali hahahah
  4. Nokla

    Unamkumbuka Mr Ebbo kwa kipi?

    Asante machinga bila nyinyi tusingeishi.....
  5. Nokla

    Huo sio Mpira, Kuna namna naona kuna Kundi Limeibuliwa la kuwalazimisha Mashabiki wa Yanga wakae Kimya,Yani Linalazimisha.

    Kuna mazingira ya upagaji wa matokeo, simba hii iliyodhofu ndio inawatisha yanga. Sasa naona watu wanaandaliwa kisaikolojia
  6. Nokla

    CAF Confederation Cup yafutwa. Msimu ujao kutakuwa na mashindano mawili tu

    Sasa kama issue ni point na hao simba et al hawashiriki CAFCL inakuaje miaka ya mbeleni watabaki vipi na hizi timu zinazoongeza point zitaishia wapi?
  7. Nokla

    Utabiri: Mechi ya Yanga na Simba ya tarehe 20/04/24 inaweza isifanyike kwasababu ambazo hazitaeleweka kwa mashabiki wa soka au mchezo kuvunjika

    Mnafiki kolozdad wewe, simba akishinda mechi inayokuja ni kwa sababu ya maelezo kutoka juu, eti achukue ubingwa mavi ya kuku. Last season si alishinda mechi ya pili je alichukua nini? Wao kama wanayo hiyo spirit kama unavyojinasibu tungeona kwa ihefu na mashujaa
  8. Nokla

    Ni kweli Simba SC ya sasa ina 'dema dema' na kukatisha Tamaa, ila Yanga SC nawaonya acheni Kubweteka, Kutudharau na Kumaliza maneno yote sawa?

    Simba anaweza kutufunga kama ilivyokuwa msimu uliopita ili kunusuru mpasuko zaidi ila sio kuchukua ubingwa. Ata draw mechi nyingi na hata kufungwa huo umafia wamengeutumia kwenye mechi na mashujaa tuondolee unafiki wako hapa wa kujifanya unajua kila kitu.
  9. Nokla

    Mashabiki wa Yanga wafurahia timu yao kufungiwa na FIFA, TFF

    Ulitaka waanze kuwaporomoshea matusi akina Hersi kama wafanyavyo wanathimba. Timu ikishinda anasifiwa chama na kibu d ila ikifungwa matusi kwa mangungo wa msovero na try again?
  10. Nokla

    Nashauri uongozi wa simba sport club, usipeleke timu uwanjani tarehe 20/4/2024

    Game za simba na yanga hazipo hvyo kwahyo usiogope kiongozi
  11. Nokla

    Refa na Mkufunzi wa FIFA akataa goli la Yanga

    Hii ni kazi ya mashabiki, ndio kazi yetu kupiga kelele focus tunaiachia timu. Kumbuka hapa tunatambiana tu simba na yanga basi. Kwahiyo kila mtu anatanua msuli wake. Haina maana ya kubadilisha jambo lakini walau tukiongea nyongo zinapungua.
  12. Nokla

    Refa na Mkufunzi wa FIFA akataa goli la Yanga

    Hapa uchira hatuna watu wajinga kama wewe
  13. Nokla

    Refa na Mkufunzi wa FIFA akataa goli la Yanga

    Sisi tumeona ni goli, kwakuwa huyo jamaa yako na yeye anakisia tu. Basi sisi tumeona ni goli
Back
Top Bottom