Search results

  1. matuse

    Kama tumefikia hatua ya kuachia watuhumiwa kwa sababu za kisiasa, Taifa letu linaelekea pabaya sana

    Halafu mtoa mada amesahau kwamba kina Babu Seya na Kina Lulu walitolewa kwenye mazangira kama hayo hayo, Dad is coming
  2. matuse

    Waziri Nchemba: Maiti Saba wa Mto Ruvu ni wahamiaji haramu

    Mh, tusije kuwa na sisi tumepata Idd Amin wetu maana yanayoendelea hapa nchini Mungu tu ndo anajua
  3. matuse

    Mwili wa Samweli Sitta wawasili JNIA

    Tena unakuwa cleared kama mizigo mingine pale swissport.
  4. matuse

    CHADEMA tafadhali sana, mtatuulia vijana wetu

    Halafu eti wewe Fyonza una masters na ni mbunge wangu!!!! kweli bongo haiishi vituko
  5. matuse

    Lowassa kuhamia CHADEMA na kugombea Urais: Ni Ulaghai, Unafiki na Uzandiki Uliotukuka

    Wewe si team Magufuli toka zamani? na ulisema mtatangaza ushindi mapema kabisa kabla ya kujua Chadema wanafikiria nini? sasa tuachie Fisadi wetu si tunajua tutamtumiaje kuirudisha nchi yetu kwenye misingi.
  6. matuse

    Land Cruizer Mpya za ACT Wazalendo zinamilikiwa na nani?

    Mi nilitaka kujua tu lakini nimeshindwa kupata jibu la maana, maana kama ni mzalendo kwa nini asitumie majina ya chama kama anavyojibainisha? au kwa nini asitumie majina yake tujue moja?. maana anasema yeye ni maskini kama mimi.
  7. matuse

    Land Cruizer Mpya za ACT Wazalendo zinamilikiwa na nani?

    Kwa wale mlio ndani ya ACT wazalendo naomba mnisaidie kutafuda taarifa kuhusu umiliki wa magari hayo. Nina uhakika hayajasajiliwa kwa jina la ACT wazalendo, Most likely yanamilikiwa na Zitto mwenyewe au familia yake. Nawasilisha
  8. matuse

    CHADEMA yafunika Tunduma leo tarehe 21 Aprili,2015

    Nawewe umekuwa jini? jifunze kuwa na kumbukumbu juzi hapa umesema wewe ni mwana ubungo na mmemchoka mnyika, leo hii umekuwa mwana tunduma? tunduma hatuna mtu kama wewe.
  9. matuse

    Kwa haya matokeo, Je, Zitto hakubaliki Kigoma?

    Ndio maana sisiwenye uelewa kidogo tunawashangaa mnaodai chadema ni chama cha wachaga. Badilikeni na siasa zenu chafu tuikomboe nchi pamoja
  10. matuse

    Ni sahihi kwa Mbowe kulala Hotel ya Dola 700 kwa siku huku wafuasi wake wakishindia Mikate na Maji?

    Heri yako mfuasi wa Likwete maana umeamua kujitoa ufahamu. Kwa kuwa hujui kwamba msafara wa kikwete mpaka mamesenja wanasafiri business class.
  11. matuse

    Mwigulu Nchemba on STAR TV - Medani za Siasa

    Kwa huu ufukara mliowalazimisha kuishi nao ni watanzania wangapi wana umeme na/au kumiliki tivii we mburula!! wakati mwingine muwaonee huruma watanzania wenzenu
  12. matuse

    Yona: CHADEMA wameshindwa kujenga GHOROFA kwa RUZUKU ya chama, CUF wameweza

    We Mbwiga hivi kumjengea mwanao ghorofa na kumpa elimu bora kipi bora? No matter ndo maana sisi watanganyika hatuendelei chini yenu mamburula wa Magamba
  13. matuse

    CHADEMA imetuangusha, Ni wakati sasa wa Mbowe kuachia ngazi!

    Kwani wakati ule Zitto yupo (2010) chadema ilipata kura ngapi chalinze? uwe unatumia akili angalau kidogo we mjahidina
  14. matuse

    Huyu ndiye Kinana ninayemfahamu, mwalimu wa siasa na kiongozi mwenye Upendo

    Halafu mimi na wewe tulikuwa chama kimoja!!! Mbaya zaidi wewe ulikuwa kiongozi wangu?? Mungu naomba uniepushie mbali hii isije kujirudia maishani mwangu.
  15. matuse

    Josephine unazidi kumharibia Slaa, hutakaa uwe First Lady wa nchi hii

    Mbona mwalimu wa shule ya msingi (darasa la kwanza)ameweza kukaa ikulu miaka kumi?
  16. matuse

    Maamuzi magumu: Hii kadi ya CHADEMA adhabu yake risasi na petroli...

    Umewahi kujiuliza kwa nini magazeti yenu ya Uhuru na vibaraka wao hayana mvuto? nenda uliza wauzaji watakuambia
  17. matuse

    Hivi mh. Mbowe umeturogea wapi wanaCHADEMA

    Hivi gari ya Mbunge ni ya serikali ee!!, kweli unahitaji kuwa jasiri sana ili kuyatetea magamba
  18. matuse

    Hivi mh. Mbowe umeturogea wapi wanaCHADEMA

    Si nyie na vibaraka wenzenu akina MM mlisema chama hakina hela? inawauma eee!! mtasubiri sana mwendo huu huu mpaka 2015
Back
Top Bottom