Search results

  1. M

    Dozi kamili ya "MVUNGE" plzzzz!!

    jamani io miti iko aina nyingi nn mbona me nilio uona hautoi hayo ma utomvu
  2. M

    Nikipata majibu ya maswali haya narudi CHADEMA

    hakuna atakaethubutu kuleta majibu ya maana,hata dj mbowe anajua hilo wataishia kutoa povu tu
  3. M

    Arusha- Ukweli mchungu!

    Acha kuchochea ukabila bila sababu za msingi
  4. M

    Maandamano makubwa nchi nzima

    Tuanze kuonyesha kupinga hilo ongezeko hata kama ni tetesi ili isitokee kweli.
  5. M

    Maandamano makubwa nchi nzima

    watapunguza imani kwa wananchi
  6. M

    Maandamano makubwa nchi nzima

    Bora wanifukuze,ila nitasimamia ukweli daima.
  7. M

    Dr slaa,Mbowe Mbatia,Lipumba na wapinzani wengine mnamuogopa nani kwa hili?

    Mbona kimya,hamsemi chochote (i stand to be corrected) kuhusu wabunge kulipwa milioni 160 za mafao ya kustaafu.Au fedha hizi kwenu ni ndogo.ONYESHENI UZALENDO WENU KTK HILI.
  8. M

    Maandamano makubwa nchi nzima

    Jamani kama kuna wakati wa kuonyesha uzalendo kama watanzania ndio sasa,tuungane wote kupinga upuuzi huu wa wabunge kulipwa milioni 160,hilo ni ongezeko la zaidi ya asilimia 200,kutoka milioni 43 walizokuwa wakilipwa mwanzo kama mafao ya kustaafu ubunge baada ya miaka...
  9. M

    Wanademokrasia popote mlipo tembeeni vifua mbele, wahafidhina wameanza sisi tutamaliza kabisa

    Sio kila anaedai demokrasia ndani ya chama ni msaliti,acheni kudanganya watu.
  10. M

    CHADEMA Yaanza Operesheni PAMOJA DAIMA: Helkopta tatu Kutumika!

    we jamaa kauzu kishenzi tangu ujiunge 2011 hujalike any comment Join Date : 18th November 2011 Posts : 237 Rep Power : 461 Likes Received281 Likes Given0
Back
Top Bottom