Search results

  1. C

    Things Fall Apart in CHADEMA

    Hatuwezi kwenda ivo na tnataka maendleo ya taifa na c vurugu na upuuz uco na maana unakuja na suruhisho gan?jihoji
  2. C

    Kabla hajakuambia ukaandamane muulize Kama na familia yake itaandamana?

    Hawana akili ya kujihoji emu fikilia familia yako,ndugu ka unategemewa na mda wako na takafakari utapata nn kwa kuandamana kwa upuuz ucokuwa na maana yeyote,ccm inawaandalia maisha watanzania na cdm n vurugu na fujo ndo maana hawatakuja kufanikiwa na wanelekea mwishn
  3. C

    Things Fall Apart in CHADEMA

    Ivi kwa cdm mapinduzi n kumwondoa ccm madarakani? Watanzania hatutaki mapinduz hayo tnataka elimu kama ilivo japo c over night but gradually na tnaamin tutafika tu!tjipange na ccm daima!
  4. C

    St. Johns university

    Eti aliochaguliwa wanaaanza masomo lini na form je
  5. C

    Nashukuru Mungu sijapangiwa IFM !!!!

    MI NADHANI KUSEMA IFM NI CHUO CHA FAILURE UMEKOSEA,KWANI MWANAFUNZI NDO ANAFAIL KOZI UNAFUNDISHWA NA KUPEWA MAELEKEZO!! cio chuo!!naamini unakikubali na ungetamani! ILA HUO NI MTAZAMO WAKO NA KILA MTU ANA MAWAZO YAKE SABABU KUNA AMBAO NAO HAWAKIPENDI SAUTI!!! MTU ANAFUATA ALICHOKIOMBA!!! KIRIHO SAFI
Back
Top Bottom