Search results

  1. T

    Safari za Kikwete zazaa matunda...

    Hivi unapogundua kuwa baba ako kaenda kuwachukua watu baki ili waje kula pilau iliyopikwa na wewe mwenyewe alafu wewe ukakosa ila kukiwa na mlenda anajifanya anakupenda!!!huo ni unafiki uliopitiliza!!!
  2. T

    Hongera waalimu kwa kugoma kulipa fidia

    Jamani hivi tunafahamu ya kuwa sisi wananchi ndio Serikali yenyewe? Tatizo letu hatujifahamu ndio tunaburuzwa,walimu wakigoma inatakiwa nchi nzima tunagoma na kuhakikisha hakuna litakoloendelea mpaka jamii ya kimataifa iingilie kati. Tuache kuwa watu wa maneno tu, vitendo ziro, hivi bila...
  3. T

    Dk. Ulimboka: Ninayejua ukweli ni mimi...

    Swala la kuogopa mtu au kufa halipo kikubwa ambacho tunatakiwa watu wote tujue ni kwamba huu ni muda wa mabadiliko na kiongozi wa kweli ni yule ambae anatokana na misukosuko[crisis] na hii ni kwa maeneo yote. Hivyo tuache unafiki bali watu wanaoonesha nia hiyo tunatakiwa kuwaunga mkono...
Back
Top Bottom