Nimejaribu kuchunguza juu ya tawala mbali mbali hasa kwny nchi yetu ya Tanzania, nikagundua kuwa dhana nzima ya NIDHAMU ya utumishi hasa kwenye utumishi wa umma IMEPOTOSHWA na badala yake imeletwa dhana mpya ya KUJALI MASLAHI BINAFSI KWANZA.
Unadhani chanzo chaweza kuwa ni nini na tunawezaje...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.