Search results

  1. holmaa holy

    UDOM kinanuka Jumatano

    Majitu mengine MAPUMBAVU...... Eti jitu zima linapondea UDOM!!!!! Uwiiii ukifuatilia utakuta kamaliza bachelor yake TEKU masters MUM!!!! We c ndo ----- mzoefu. Nyooooo........ kichwa kikubwa ndani hakuna kitu. Wengne wanajshaua tu, na bachelor zao za MU na UDSM vyeti wanalalia chini ya godoro...
  2. holmaa holy

    Eti ni kweli wanawake wana tabia ya kupitiliza?

    nicpo dekezwa hiyo ndoa nitaiona shubiri. kama nakupa heshima yako kama mume sio boyfriend, kwanini usinidekeze? ntaona unanijali kwakweli. hiyo ya kikurya STUPID!!!!!!!
  3. holmaa holy

    Mnaotafuta wachumba hapa JF...

    dah! i really enjoy the posts... but mimi navojua ndoa au mahusiano yanyodumu maranyingi wahusika wanakua ni watu waliofahamiana kitambo kabla hata ya kuwa wapenzi. unatafuta mchumba humu JF ukimpata mlemavu UTAMPENDA siku utakapoonana nae?? unampa ahadi kibao online, i luv u. unazmwaga...
  4. holmaa holy

    Seriously Natafuta Mchumba

    anatafuta mchumba! iyo amri ya sita muibanjue yanini? akiwa mkeo mtaibanjuwa hadi utampenda mkeo..... au ndo uchumba wa zama hizi upendo unapimwa kwa kuitangua amri ya sita????????
  5. holmaa holy

    jamani hayo matokeo ya tcu mbona wengine hatuyaoni?

    kuangalia matokeo ya post za chuo 2012/2013 unafanyaje?
Back
Top Bottom