Search results

  1. K

    Malipo ya dhambi ya kura ya wazi ni hapahapa

    Mvutano wa jinsi ya kupiga kura, na mawazo mazuri ya kutaka kura ziwe za siri ili kutunza mahusiano na baada ya hapo, tumeona kura ya wazi inavyoanza kuleta madhara mwanasheria wa Zanzibar out, je angelipiga kura ya siri yangetokea hayo jamani? ikumbukwe japo kulikuwa na hiari ya kupiga kura ya...
  2. K

    Mwenyekiti wa IPP ndugu Mengi, nia yako ni kuongeza watoto yatima?

    Mkuu nashukuru sana kwa kunielewa na nimemtaja muhusika mkuu ili kuleta msukumu mkuu kwake kwamba yeye kama mmiliki anapaswa kuhakikisha kila kitu katia kampuni yake kinaenda sawa. Kwahiyo kwasababu yeye anadhamana hiyo ni lazima tumlaumu yeye. Na kwasababu anafanya kazi kubwa iliyotukuka...
  3. K

    Mwenyekiti wa IPP ndugu Mengi, nia yako ni kuongeza watoto yatima?

    Tumieni muda kusoma na kutafakari vizuri, mtaelewa tu ila mkitaka pruuuu mpaka maka haya bwana
  4. K

    Mwenyekiti wa IPP ndugu Mengi, nia yako ni kuongeza watoto yatima?

    Jamani watanzania kama tujuavyo Mwenyekiti Mengi amekuwa msaada na nguzo kubwa sana katika jamii yetu ya Tanzania na amekuwa mstali wa mbele kuwapigania wanyonge katika kupata stahili zao. Pamoja na hilo bado ninakitu ambacho kinanipa maswali nayo ni hivi;- Ikiwa kiongozi huyu anawakusanya...
  5. K

    Mwigulu Nchemba - wananchi hawana imani na uteuzi wako/Asha Rose Migiro-anaonekana katumwa

    Uchungu nilionao juu ya nchi hii na masikitiko ya moyo ninayoyapata ninapoona watanzania wenzangu kama wewe ndugu yangu moyo wako unataabika, ni dhahili kwamba hakuna hata mtanzania mmoja anafurahia serikali iliyoko madarakani na udhalimu wao wanaotufanyia. Niulize swali hivi machungu yote...
  6. K

    Mmemsikia Mrisho Mpoto anavyomwambia mjomba wake achutame?

    Tafadhali nifafanulie kwa yapi hayo ambayo hayasadifu na fasihi yake?
  7. K

    Mmemsikia Mrisho Mpoto anavyomwambia mjomba wake achutame?

    Nenda kwa google andika Waite Mpoto itakuja pale tafuta audio maana video iko demo tu
  8. K

    Mmemsikia Mrisho Mpoto anavyomwambia mjomba wake achutame?

    Mpoto ni kati ya watu muhimu sana nchini hasa kwa nasaha zake za msingi sana kwa mjomba wake ambao tunamjua, lakini baya zaidi nyimbo zake za kujenga na kuonya uozo wa jamaa zetu hazipewagi nafasi za kutosha sana katia radio na tv zetu ile zile nyimbo za kijinga ndo sana tu tena zinazofundisha...
  9. K

    Hayahaya watanzania timu mpya ya mawaziri ndo uanjani tena jiandaeni maumivu

    Eti waTanzania wenzangu hivi mnaonaje hao mawaziri walolekwa kwa mfano mh Adam Kigoma Malima na wengine wale mnaowajua hivi wanatija kweli, au ndo tutafanyaje tena maana wote wameoza sasa inabidi ucheki kilichona ufadhali. Hivi vigezo vya kuchagua ni vipi au ndo yale anayoyaimba Mrisho Mpoto...
  10. K

    Kilio cha Mlalahoi: Kupanda kwa bei ya umeme wanasiasa mko wapi?

    Watanzania wenzangu kwakweli nahisi kushindwa kuishi, hapa nilipo ninakaratasi yangu ya luku nimetoka kununua umeme wa tshs 20,000/= skia nilichokipata, TOTAL UNIT COST: TSHS 9768.44 (31.9 KWH @ 306.22/KWH) VAT18%, EWURA 1%, REA 3% TSHS 2,149.06 DEBT COLLECTED...
  11. K

    Ni kweli Iringa inataka kupatiwa hadhi ya kuwa jiji?

    Mchango wako unatia moyo sasa tukazane kutoa msukumu kwa wanaoongoza kuhakikisha mambo yanakwenda kwa kasi zaidi ya hapa ninasema kwa wanaoongoza nikiwa na maana kwamba tunaoongozwa tunahitaji sana mabadiliko lakini wawakilishi wetu wanaokaa kupanga mipango na kuweka vipaombele ndo...
  12. K

    Kesho, Jumatatu ni siku ya mapumziko Tanzania Bara na Zanzibar

    Wadau nimeskia eti kesho imeombwa iwe siku ya mapumziko kusheherekea sikuu ya mapinduzi ya Zanzibar, je wenye uhakika je ni kweli?
  13. K

    Hizi ndo athari za kupanda kwa bei ya umeme

    bwana wee si unajua tena ukinogewa na lugha za kimakabila ndio inakuwa hivyo tena lakini usahihi ni lugha mkuu ahsante
  14. K

    Siasa za CCM: Kodi juu, Umeme juu, maji juu, Gesi juu, Kiwanja juu, Mshahara uleule

    Nimeweza kukuleta karibu ndugu yangu kwakweli sio moshi wa kuni lakini maana yangu ni kufanya tatizo kuonekana kubwa kuliko wanavyofikiri.
  15. K

    Tufunike macho yetu tuiombee nchi yetu ya kifisadi, iongoke kwa bwana mungu.

    Ee Mwenyezi Mungu mwingi wa rehema tuko mbele zako kwa unyenyekevu mkubwa kuiombea nchi yetu pendwa ya kwamba uinusuru katika katika janga hili la ufisadi na ujangili unaofanywa na watu ambao tuliamini ya kwamba ndiwe uliowapaka mafuta kuongoza. Tazama Mungu mateso ya watoto wako ni zaidi ya...
  16. K

    Upigaji kura bungeni sio mzuri

    Mdau habari za siku, unakumbuka mada yetu hii ya kura bungeni na majibu yako? nimeona nikukumbushe tu kuwa mwakani ulosema imepita na sioni hata dalili au mie ndiko niko nyuma ya wakati?
  17. K

    Ni kweli Iringa inataka kupatiwa hadhi ya kuwa jiji?

    Vigezo ni uchumi wa mkoa, nikiwa na maana ya uchumi wa watu na na maendeleo ya mkoa kwa ujumla yaani miundo mbinu na mengine yafananayo, idadi ya watu n.k
  18. K

    Ni kweli Iringa inataka kupatiwa hadhi ya kuwa jiji?

    Ndugu zangu nimeshangazwa sana na tetesi hizo ambazo kama ni kweli basi haziendani kabisa na maendeleo ya Mkoa, Kwa mnao ifahamu Iringa embu niambieni kuhusu miundo mbinu na kipekee ya barabara ikoje? tuna barabara moja tu inayokatisha katikati ya mmji ambapo waheshimiwa wakija ikiblockiwa...
  19. K

    Hizi ndo athari za kupanda kwa bei ya umeme

    Wewe mawazo yako nafikiri tulisoma shule na darasa moja maana tunaongea rugha moja lakini nashangaa mengine kwanini hayaelewi au ndio vibaraka wanaandika vitu hata haviingii akilini. ni kwamba pesa hizo si kwaajili ya kusaidia umeme vijijini embu nambie kwahiyo umeme ukishakwenda vijijini ndo...
Back
Top Bottom