Search results

  1. G

    first year udsm mbadilike.....

    ni noma...mimi sipendi kweli kulala na.mtu ila last year ikabidi nimsaidie dada flani hivi kwa imani kwamba dis year Mungu ataniona tu.thnx God nimepata chumba..ni majangaaaa
  2. G

    Boom haliwatoshi wanafunzi wa elimu ya juu

    hata ujibane vipi hela haitoshi na haitatosha kamwee
  3. G

    Kuwaunga mkono na kuwatia nguvu wenzetu[heslb na manyanyaso yao]

    kabisa yani...inauma sana ukiangalia population ya wasomi haifiki hata robo ya population ya Tanzania nzima na bado serikali haitilii mkazo elimu ilihali ina uwezo wa kusomesha kila mwanafunzi tena buree
  4. G

    Room inauzwa Main Campus UDSM

    acheni mambo ya ajabu bhana..huo ndo mfumo ulivyo..mtu anauza ili apate cash apange au achukue room bora zaidi so sio mpango wala nini kumtukana huyo dada
  5. G

    accomodation

    wale waliokosa accomodation kuna room inauzwa mabibo hostel.....mwenye hitaji apige namba 0712532341....bei maelewano
Back
Top Bottom