Search results

  1. P

    Haki msingi kwa mashoga zitambuliwe

    Candid Topic ulionzisha ni haki za msingi za mashoga , sio hi habari mpya unayoleta ya kuwasaidia kutoka huko walipo nani amekwambia wanataka kusaidiwa huko waliko wako fine na wanawachotetea wao ni haki zao za msingi , ungeazisha basi hiiyo topic ya kusaidia mashoga watoke walipo maana hizo...
  2. P

    Haki msingi kwa mashoga zitambuliwe

    Mimi nilikua najibu tu hoja ya mchangiaji ili kama anaona magay walaaniwe na ahame maana wataambukiza tabia, pia afanye hivyo hivyo kwa wazinzi, wanaotembea na wake za watu na watoto , sio kwamba nakubalina na alicho sema , maana kama kuhama atahama sana kila mwezi wako kibao au dhambi zingine ruksa
  3. P

    Haki msingi kwa mashoga zitambuliwe

    Hivyo hivyo na hao ambao wanaofanya ufulka nje ya ndoa au wanaotembea na watoto wadogo , waliozaa nje ya ndoa zao na walevi kwa sababu ya pesa au umaarufu wanashawishi hizo tabia zao waogopwe kama ukoma na ukiweza hama na walaaniwe hawafai
  4. P

    Haki msingi kwa mashoga zitambuliwe

    Kwahiyo kama hatufuati misaafu ambayo wengi ndio wanaiquote wakiwasema gays , niambie wanafuata nini na kumbuka kuna watu wamezaliwa hivyo na biologicaly proven chromosomes whatever na hao nao vipi ?
  5. P

    Haki msingi kwa mashoga zitambuliwe

    Utasema sana pinga tuu ninachosema fact after fact, sio matusi tuu , ******* ni binadamu kama walevi , wavuta sigara sioni bashing yao au kunyimwa haki Nitawatetea sana I don't care about you or anybody else I just put fact mtu azipinge kwa facts na mjadala sio matusi, mnataka tuu watu wote...
  6. P

    Haki msingi kwa mashoga zitambuliwe

    Candid nimeuliza mbona kwenye dini hiyo hiyo utumwa umehalalishwa ? Kwwnye biblia imeandikwa wafiraji na wafirwaji hawatauona ufalme wa mungu , pia imeandikwa wasiokiri kwamba yesu ni bwana na mokozi wao hawataingia ufalme wa mungu na wote wana dhambi okay , sasa basi na waislamu nao watengwe na...
  7. P

    Haki msingi kwa mashoga zitambuliwe

    Hapo ndio nilipotaka ufike kwa hiyo wewe tatizo lako na magay ni afya tuu au kuna kingine maana kama ni afya kuna , wavuta sigara, wanywa gogo na madawa ya kulevya na hakuna mtu anawabash kama magay Second afadhali umenijibu mimi sikujua ni gay maana nimekwambia na fanya tuu na mke wangu na...
  8. P

    Haki msingi kwa mashoga zitambuliwe

    Kwa raha zangu , umebaki matusi tuu huna hoja ya kujibu, tena umenitia munkari ngojea nikanunue betri maana ziliisha overusage
  9. P

    Haki msingi kwa mashoga zitambuliwe

    Tena napendab sana bila hivyo hakuliki wala hakulaliki jaribu tamuu
  10. P

    Haki msingi kwa mashoga zitambuliwe

    Tena napenda sana bila hivyo hakulaliki
  11. P

    Haki msingi kwa mashoga zitambuliwe

    Maandiko hayo hayo wanayotumia kubash magay yanasema enyi watumwa watumikieni mabwana zenu , uguse hapo uwaone wanavyokuwa wakal, tulibaguliwa kwa hayo maandikko tukafanywa watumwa tukafungwa minyororo, hayo hayo na sisi tunayatumia k kubagua mashoga , tuachie tuu tuchukuliwe tuwe watumwa and...
  12. P

    Haki msingi kwa mashoga zitambuliwe

    Mzito umekosea yeye sio bwabwa ila mimi ndio bwabwa wa siku nyingi
  13. P

    Haki msingi kwa mashoga zitambuliwe

    Watu wanatumia bibilia na kuran ku justify maana imeandikwa fine hapo waisilamu na wakristo wanaungana kuwafanyia ubaguzi magay, kiama pale watakapofuata bibilia na kuran hizo hizo kwa mambo wanayotofautiana na yako mengi tuu, tubaguane na huko ? Kwanini tuna pick na kuchoose wakati vitabu ni...
  14. P

    Haki msingi kwa mashoga zitambuliwe

    Candid, Kuna watu wanazaliwa wako hivyo na nina mifano mingi tuu, kama kuna mtu alisoma forodhani primary miaka ya 70's anatakua anamjua kijana alikuwa anaitwa Tony , yaani tukiwa wadogo kabisa tulikuwa tunamwita kisura alikuwa ana tabia zote za kike , yeye saa zote yuko na dada yake hata...
  15. P

    Haki msingi kwa mashoga zitambuliwe

    For Gay Bashers Sasa na sisi ambao tunapenda wake zetu watutie vidole tupo kundi gani, maana msipoangalia tutagraduate twende huko au na sisi ndio hivyo tena , I am just sick and tired of this gay bashing they are humans and wana right zao , mtaniweka kundi gani mimi maana naenjoy sana you...
  16. P

    Hivi ni Kwanini Marekani Hawaulizi Vyeti ?

    Ni PM tuu nitakuunga uwe na ujuzi tuu wa utalaamu fulani unaohitajika , usijali kama cheti kikiwa kina GPA ndogo maana sijui hata kubwa ni ngapi au huna cheti una professional experience yote sawa
  17. P

    Udini: Uchambuzi wa Mobhare Matinyi

    mapogolo Damn you are good mambo yanaflow nimekukubali na uchambuzi wako , hivi ndio vitu tunavyotaka wachambuzi wenye mantiki Pia nakumbuka kuna wakati Serikali ilipiga marufuku watu waliotoka seminary kuchaguliwa kwenda form V shule za serikali miaka ya 80s , maana walikuwa wanafaulu...
  18. P

    Nimeamua kujitangaza ya kuwa mimi ni Freemason

    Jamanii aisee bongo kazi kweli kweli yaani freemason ni kama chama cha kawaida tuu , tuko kibao tunatoka kanisani na kwenda huko its just another networking associatio but mostly for business , watu waimani tofauti , sijui kama mtu akiwa yanga mnajali kama anaabudu shetani au mpagani, mimi hapa...
  19. P

    Hivi ni Kwanini Marekani Hawaulizi Vyeti ?

    Sio hivyo dada yangu , watu wengi sana marekani hawafanyi hizo kazi ni uongo sana , watu wakiwa shule ndio wanazifanya kujipatia kipato , but mimi na watanzania wengi tuu hatujawahi kufanya hizo kazi huo ndio ukweli na watu hawaulizwi vyeti huku na mimi nilishangaa sana maana niliajiriwa mpaka...
  20. P

    Hivi ni Kwanini Marekani Hawaulizi Vyeti ?

    Duu marafiki zako wote marekani ndio wanachofanya ? Ungekuja Diaspora Meetings za huku ndio ungejua watu wanafanya nini ? Hakuna kuosha vyombo wala nini
Back
Top Bottom