Search results

  1. Peter Kilanga

    Je Halali Kwa Balali Kuzikwa Usa?

    hivi jamani naomba kufafanuliwa ni jinsi gani marehemu MH Dalali kufikia hatua ya kuzikwa USA
  2. Peter Kilanga

    Hivi Chuo Tanzania ni UDSM tu?

    Jamani watanzania mimi ni mwanafunzi lakini naomba swali hili nisaidiwe jamani kulijibu.Ni kwa kipindi kirefu nimesikia migogoro ndani ya chuo kikuu cha Dar Es Salaam. Chuo kiku cha dare s salaam ni chuo maarufu sana duniani kifupi cha chuo hicho hujulikana hivi UDSM.Chuo hiki kimebujikwa na...
  3. Peter Kilanga

    Kiwango cha Elimu Tanzania: Nani alaumiwe?

    NI takribani mwezi mmoja sasa tangu majibu ya watahiniwa wa kidato cha nne kutoka. Nimekuwa nikijiuliza mara kwa mara ni vipi na kwa jinsi gani swala zima la kiwango kidogo cha elimu kitolewacho hapa kwetu Tanzania hususani katika zile shule zimilikiwazo na Serikali. Nimekuwa mfuaatiliaji na...
Back
Top Bottom