Search results

  1. mzalendokimathi

    Zanzibar na China zasaini mkataba wa mashirikiano ya kiuchumi na kiufundi!

    tutafanikiwa tu Mungu akipenda hata kama watanganyika hawataki,,washenzi wakubwa wale
  2. mzalendokimathi

    CHADEMA mna jipya gani kwa hili?

    sawa sawa mama umesema vyema vijiwe, mabasi na maeneo yoote hata wala unga wanaongelea chadumu kweli wameteka na wamewapa kazi na ajira vijana chadumu.
  3. mzalendokimathi

    Mdahalo: Hakuna wakati katika historia ambapo Zanzibar haikuitegemea Bara

    nijuavyo mimi katika karne ya 13 Zanzibar iliwa ni Empire na ikiitwa Zenji Empire, hapajatokea empire nyingine yoyote ndani ya africa yote,,sasa wakati huo hata neno tangnyika hakuna, halikuwepo na wala hathubutu mtu kujinasibu kuwa ilikuwepo tanganyika,, tanganyika katika historia ilizaliwa...
  4. mzalendokimathi

    Mdahalo: Hakuna wakati katika historia ambapo Zanzibar haikuitegemea Bara

    tupe yarehe hasa lini katika historia Zanzibar iliwahi kutegemea tanganyika?
  5. mzalendokimathi

    Muungano wa Serikali 3 ni bora Sana

    sasa ni miaka 50 kama muungano una faida kenya na uganda wangeomba kujiunga,,,suluhisho la dhulma hii aloianzisha nyerere ni kila umbape kuchukua ubao wake.
  6. mzalendokimathi

    Muungano wa Serikali 3 ni bora Sana

    wewe jf ni kama hiyo picha yako hapo juu unakaanyagwa tu,, au kwa lugha nyengine unapigwa pumbu.
  7. mzalendokimathi

    Dr Slaa asambaratisha CUF Kilosa

    mali na ghana hazikuwahi kuwa empire wewe umejifunza wapi historia au ndio makombo ya nyerere UPE?
  8. mzalendokimathi

    Dr Slaa asambaratisha CUF Kilosa

    waangalie wasije wakageuzwa kondoo wa bwana tu, manake hicho chadumu ni chaka katoliki so they should be careful .
  9. mzalendokimathi

    Dr Slaa asambaratisha CUF Kilosa

    sababu watu wa vijijini hawapati story nyengine badala ya kunywa gongo na chadumu hivyo lazima kwenye mabasi wazungumze hicho chama.
  10. mzalendokimathi

    KATIBA MPYA: hivi ndivyo wasemavyo watanzania

    Mungu alivyoumba nchi tofauti na hadi makabila tofauti hakuwa mpumbavu wala mwendawazimu alitaka watu wajuane kila mtu anakotoka na akae, ale, alime avune kilicho chake,,,muungano mwisho chumbe.:painkiller:
  11. mzalendokimathi

    KATIBA MPYA: hivi ndivyo wasemavyo watanzania

    Yap, mimi bila kukwaruza maneno naunga mkono kipengele cha 7, na kupendekeza muungano uvunjwe hauna maana yoyote hasa kwa Zanzibar,,,kila mtu achukue kilichokuwa chake,,,miungano ya kijinga, kitapeli na kihuni yameshapitwa na wakati,,,,kila mtu akamate chake.
  12. mzalendokimathi

    Ni kwa nini rais wa serikali ya mapinduzi Zanzibar hapewi nafasi ya kukagua gwaride la muungano?

    acheni kuleta mada za kitoto na kijinga. sababu muungano niw atanganyika ndio wanaoufagilia Zanzibar hawana haja na muungano na ndio maana miaka yooote shehere zinafanyika tanganyika zikienda kufanyika kule kwa kuwa watu wana akili na hawataki muungano wakutotokea watu wengi kusherekea upuuzi huo.
Back
Top Bottom