Search results

  1. MduduWashawasha

    Msaada wa ushauri na kisheria kuhusu Mafao ya kufukuzwa kazi kutoka PSSSF

    Miaka miwili utakuwa imechanga miezi 24 ambayo ni cha mtoto sana.Sikushauri ufuatilie mafao kwani sijui kuna fao gani hapo labda la kukosa ajira lakini sijajua undani kwani inaonekana umefukuzuwa na sijui ni kwa sababu gani. Nakushauri tafuta kazi kwingine huko mbeleni michango itakuja...
  2. MduduWashawasha

    African-Americans ni wabaguzi kuliko wazungu, waliporudishwa Afrika waliwauza wenzao kama watumwa

    Lazima watuchukie kwani kiuhalisia ni kwamba sisi ndio tuliwauza kwa wazungu.Kipindi kile machifu walikuwa wanauza wale wanaoonekana kuwa legelege na wenye akili mbovu.Ndio mana hata huko waliko mpaka leo majority wapo wapo tu.Hawataki elimu ndio maana kutoboa maisha haiwezekani na kuishia kuwa...
  3. MduduWashawasha

    Promotion za leo jeshini zimenistua

    Nakwrnda kwenye quote ya kuwa zodoa Yanga.Kusafiri kea sasa kunataka mzunguko mkali sana na kama myu anakataa options zilizopo anataka direct flights.zipo ? Makocha wamepanda maroli toka Tomania mpaka wapi sijui ndo wakaokoteza ndege.Kijogoo wa simba naye hivyo hivyo kaja na mashua na vitu gani...
  4. MduduWashawasha

    KLM kushindwa kuja Tanganyika

    Tuna bahati hata kwa wao kuplan route ya Africa.Nimeangalia routes watakazoanza giants airlines za Uarabuni hakuna hata ruti moja ya Africa kuondoa SA.
  5. MduduWashawasha

    Je, ni kweli maambukizi ya COVID-19 yamepungua nchini au ni propaganda tu?

    Muda tu ndo utatupa ukweli.Ila huwa nashangazwa na hivi vimashine vinavyopima joto.Unapima kinasema una joto nyuzi 32.4.Si joto la maiti hilo ? Yaani sijui hata kama inawezekana kuvifanyia calibrations
  6. MduduWashawasha

    PSSSF yawaliza wastaafu Dar, yawanyiwa mafao ya Februari wakiwa hai na wamehakiki Januari

    Ilikuwa ishu ya Systems mazee sio mtu kuwa sadist au ukosefu wa fedha
  7. MduduWashawasha

    Wanamuziki wengi hawana Vibali vya kuishi Nchini

    Kuna coment juu hapo nadhani haijakaa sawa.Orchestre Kamale , ORchestre Les Kamalee pamoja na lipua lipua na orchestre Veve zote zilikuwa chini ya kampuni moja ya Verckys Kiamungana Mateta
  8. MduduWashawasha

    Wanawake warusha Air Tanzania kwa mara ya kwanza.

    Kwa hiyo hata ile Dar Lux,Shabiby na Ndenjela zinazoendeshwa na wadada hutapanda ?
  9. MduduWashawasha

    Afande Sirro tafadhali mtake radhi Afande Mambosasa

    Yaani kweli mtu anasema Inspecta General amuombe msamaha mtu wa chini yake! kuna msemo unasema mkubwa huwa hakosei hata kama yy amewahi fanya alichokemea lkn mkuu ni mkuu tu.Yaani ukute Rais anamuomba msamaha mkuu wa mkoa kivipi ?
  10. MduduWashawasha

    Vodacom kukubali ombi la Yanga ni zaidi ya udhaifu ktk biashara

    Write your reply...muanzisha kamba unajua kwann Yanga inaitwa timu ya wananchi ? mbona Simbwa hamjiiti hivyo
  11. MduduWashawasha

    Rais Magufuli - Mema Yake Hayaonekani?

    Wakio South wanadai kesi imefunguluwa na jamaa anayejiita Captain Roy mmiliki wa DAS Air.Wengine wanasema kuna mtu anajifanya Capt Roy tapeli flan toka Pembeni ya Ziwa Victoria anayeishi SA.Wengine wanasema case imefunguliwa na SAA .Ila hawa SAA waluwahi kuiba vifaa vya maintenance toka Hangar...
  12. MduduWashawasha

    Rais Magufuli - Mema Yake Hayaonekani?

    Wanadamu hawaangaliagi wema hata siku moja.Utafanya mema 999999 na kosa moja lkn utahukumiwa kwa hilo kosa moja
  13. MduduWashawasha

    Tunasema ndege mali ya wakala wa ndege za Serikali,imejaa nembo za ATCL, wadeni wetu wana haki ku-lift the veil kujua mwali anayefichwa!

    Aliyrqnzisha hii thread sijui kama amewahi kufanya research kuhusiana na Historia ya ATCL hata kwa kusoma tu Wikipedia.Underperfimance ya Air Tanzania kwa ujumla ilisababishwa na Menejiment isiyoridhisha na masuala ya mtaji mdogo .Kwann nn ndege wamekodishwa ni ukweli kwamba wana madeni mengi...
  14. MduduWashawasha

    Kweli jana hawakuruka kwenda Nduli?

    Nimepita mahali tofauti tofauti na kukutana na malalamiko ya abiria wa shirika letu pendwa kwamba hamkurusha ndege kwenda destination mliyozindua juzi tena bila maelezo yoyote.Nachelea kutoa conclusion ngoja tusubiri maelezo yenu
  15. MduduWashawasha

    Air Tanzania yaongeza safari za Dodoma

    Soon watakuja na ruti nyingine matata sana.Kaeni mkao wa kunywa.
  16. MduduWashawasha

    Rubani wa ndege ya ATC No. TC103 airudisha ndege parking baada ya kuhisi tatizo kwenye runway

    At tge end of the day nimeifuatulia hiyo ndege flightradar24 na inaonekana iriruka saa 5 na dk 24 usiku kurudi Dar.Na hakika rubani atakuwa alitoa maelezo juu ya tatizo lililokuwepo kwani aborted take off sio jambo la juu juu tu.Na pua ATCL naamini watakuja na ya kwao baada ya kupata report ya...
  17. MduduWashawasha

    Rubani wa ndege ya ATC No. TC103 airudisha ndege parking baada ya kuhisi tatizo kwenye runway

    sijaelewa vzr.Ndege ilishakwenda mpaka full thrust aka abort kabla ya v1 ? au alikaa kwenye runway na kurudi Apron ?Ww ulikuwa abiria au Msindikizaji ?
  18. MduduWashawasha

    Jana nimekula mzigo leo nimeamka Naumwa

    ...ngoja nikuandikie vipimo uende mahabara wakimakiza utarudi kwangu nikushauri
Back
Top Bottom