Search results

  1. M

    Simba kumkosa mbuyu twite kosa ni la rage

    ama kweli hii ndio simba na yanga,hii yote ni Yanga kutafuta magoli 6 kwa nguvu zote hata kupora mchana wa jua kali!!!!
  2. M

    Exclusive interview with Mohammed Dewji

    1.je ni kweli kampuni zake ukiacha kazi unafunguliwa mashtaka ya uwizi?? 2.je,na yeye ni mmojawapo wa kiongozi anayewatetea wahindi wanaoishi nhc kwa muda mrefu wasitolewe kwenye nyumba hizo na wauziwe?? 3.je ni kweli huwa anawapa mikopo watu wenye asili ya kiasia kwa kuchukua hati zao za...
  3. M

    Kauli ya Mh. Aden Rage dhidi ya Mh. Msigwa si ya kiungwana!

    hivi kwanini watanzania hatuna uzalendo wa kuheshimu watanzania wenye asili nyingine??hakuna nchi duniani inayoendelea na wazawa peke yake ndio maana toka zamani wakulima na wafugaji walikuwa wanahama hama ili kutafuta maendeleo,sasa mimi naona itungwe sheria mtu yeyote atayemwambia mtu wewe sio...
Back
Top Bottom