Tafadhali naomba mnifahamishe,Lowasa na Mgombea mwenza wamepitishwa kugombea na Mkutano Mkuu wa Chadema,vyombo vya habari vinaandika ukawa wapata mgombea wa urais,mbona Ukawa hamjakutana kutoa baraka zenu au ndo hivyo tayari mmeshamezwa na Chadema,nyie kama Ukawa ushiriki wenu ukoje katika...
Mkutano mkuu wa Chadema umempitisha Lowasa kuwa Mgombea urais na Juma Duni Mgombea mwenza,vyombo vya habari vinaripoti kwamba Lowasa amepitishwa kuwakilisha Ukawa,mwanzoni mlitwambia kwamba baada ya kila chama kupendekeza jina ka mgombea,Ukawa wangekutana na kutoa jina moja,hata kama mlikwisha...
Wazee wa matamko ambayo siku zote hatujui mwisho wake huwa ni upi,endeleeni na matamko,Bunge linasonga mbele,mwisho wa siku Rais atasaini miswada na hatutawasikia tena
Kama anayajua hayo kwa nini hoja zake hizo hakusubiri apinge akiwa ndani ya Bunge ili kuwe na kumbukumbu kwenye Hansard,ili hao Wabunge wa bunge lijalo waseme Mnyika aliwahi kusema hivi na kweli imetokea,vinginevyo hana hoja zaidi ya kutafuta umaarufu nje ya Bunge,hoja hupingwa kwa hoja na siyo...
Hii Miswada hawa jamaa walikuwa wanalia kila siku iingie Bungeni,hasa muswada kuhusu masuala ya gesi,leo miswada imeletwa wanaikataa,kwa nini wasisubiri ikasomwa wakapinga kwa hoja,hofu yao ni kuwekwa masuala ya uwazi kwenye sheria hizi jambo ambalo linawafanya wakose hoja za kuongea kwa wananchi
Waziri Mkuu Mh Pinda amesema nchi inaendeshwa kwa misingi ya sheria,yeyote atakayeleta vurugu na fujo na akazuiwa na akakaidi atashughulikiwa, naunga mkono agizo hili,
Hivi yale Maandamano aliyotueleza Mr Zero kwa kuweka siku kadhaa kuhusu Rasimu ya Katiba mpya,na yale ya kumtaka Waziri wa Elimu ajiuzuru yameishia wapi vile
Waziri wa Nishati na Madini amewambia chadema kuwa wajifunze kutengeneza bajeti kwa kutumia takwimu katika hoja zao na siyo porojo,matusi,kejeli na maneno yasiyo na maana kila wanapowasilisha bajeti zao,jaman chadema karne hii haitaji porojo.
Mh Mnyika,hivi ni kweli kanuni za Bunge huzijui,zinakupiga chenga,una haraka au ndo ile ya kutaka uonekane ukiongea na picha kesho ionekane ukurasa wa mbele wa Tanzania daima,namshukuru Mwenyekiti aliyeongoza Bunge leo Mh Mhagama kwa kuwa imara na kuzima miongozo yako na kuifafanua kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.