Search results

  1. B

    Kumbe kufufuka ni noma!

    Fundi selemala alipewa oda ya kuchonga jeneza kwenye msiba ambao ulikuwa niwakusafirisha kwenda kuzika mkoani. Alijitahidi kuchonga jeneza faster lakini ikashindikana akakamilisha kazi usiku. Alipomaliza akawapigia simu wafiwa kuwa jeneza liko tayari nao wakamwambia kodisha gari ulilete tutakuja...
  2. B

    Mwigulu amvisha mbwa bendera ya CHADEMA

    Mbona mi naona fresh tu! Kama wanataka na mbwa ziwe na itikadi kwani kuna ubaya gani? Mimi mbona mbwa huwa namchukulia poa tu, kwanza ni mlinzi shupavu labda ingekuwa paka ninge urgue maana yeye anakismati cha kupendwa na wachawi
  3. B

    Dr Slaa afanyiwa hujuma Morogoro

    Sikuzote anayenyanyasika ndio kipenzi cha wanyonge!
  4. B

    Polisi: Tuko tayari kumlinda Ulimboka!

    Hivi aliposoma hii habari alipata usingizi kweli? Ni mawazo tu
  5. B

    Mkutano wa CHADEMA Ruaha, Kinamama Pipoooooooz..!!

    Kiongozi hapo kwenye red kasi imeongezeka sana! Nilikuwa kijiji flan huko Wilayani Magu about 28kms interior bumby road from the main road to Musoma lakini nilikuta wazee wametundika kwenye nyumba zao bendera za CDM! Sikuamini but that is the situation
  6. B

    Joyce Banda: I shall die for the land of Malawi!

    Acha ajibaraguze tutawatandika kweli ooh! Akamuulize yule muasi wa comoro, chezea baba Miraji huyu mama!
  7. B

    Tanzania: Bahari Beach Satellite City

    Hivi Somalia kuna biashara gani mpaka izalishe matajiri wa kuja kuwekeza Tanzania? What i know ni kwamba hawa jamaa wanapasuana usiku na mchana na wanashida vibaya mno mpaka wengine wanaamua kupakimbia kwa kupakiwa kwenye makontena kama unga wa ngano. Ina maana hizi opportunities...
  8. B

    Orodha ya wagombea uvccm taifa hii hapa

    Naona kuna magamba mapya humu yanaingizwa kwenda kuongeza nguvu ya magamba sugu! Ngoja tuone
Back
Top Bottom