Search results

  1. Mwl Ngasa

    Je, wajua kuwa Ariel sharon toka 2006 alipozimia bado hajazinduka?

    ushauri,; kama huelewi vzr kuhusu mambo yanayohusisha IMANI ni afadhali ukakaa kimya!
  2. Mwl Ngasa

    Polisi ajipiga Risasi sasa hivi

    salary sliiiiiiiiiiiiiiiip! hahahhhhhhhaaaaaaaaaaaa! unanikumbusha tarehe ya watoto kufungua shule!
  3. Mwl Ngasa

    Walimu wachapana Makonde ofisini kwa kutuhumiana kula pesa za kisima cha shule huko Sengerema..!!

    waalimu ni kioo cha jamii ndo maana kupigana kwao kunaleta picha halisi ya walimu wa sasa ambao wengi ni wale waliopitia kozi fupi au crush program!
  4. Mwl Ngasa

    Mwanamziki wa Bendi ya FM Academia auawa China baada ya kukamatwa na madawa ya kulevya.

    poleni wote mlioguswa na msiba huu Mwanamziki aliyepata kutamba na Bendi ya FM Academia ya jijini Dar es Salaam, Rapa, Haristot Shungu ameuawa nchini China huku kifo chake kikitawaliwa na utata mkubwa. Kwa mujibu wa chanzo makini kilichopo nchini China, rapa huyo...
  5. Mwl Ngasa

    nawaonea huruma waaislam!

    Siku zote nimekua nikisikia kuwa waislam wanaonewa,wanahujumiwa, wananyimwa haki zao, wanadhulumiwa sasa kwa hapa tz sijui hata nijieleze vipi kwani mfumo wa maisha na imani zao ndo unaowapeleka huko wanapotaka kuwa. Mimi nina ndugu zangu kwenye familia ni waislam na sisi ni wakristo sasa...
  6. Mwl Ngasa

    kwa nini walimu Bongo tunadharauliwa sana?

    pamoja na kuwa walimu katika serikali iliyoko madarakani tumebezwa mpaka na viongozi wa ngazi ya juu kua wanajua kua "we are underpayed" na kama tunaona kazi hii ni ngumu tuache kazi, still hata jamii yote inayotuzunguka haithamini kabisa swala la mwalimu sijapata sababu hasa ni nini? the way u...
  7. Mwl Ngasa

    mnajua mhamo wa ruwazo? sababu kuu ambayo imeangusha watahiniwa wengi CSEE2012

    kunasababu nyingi ambazo zmechangia kwa wanafunzi kufeli mtihani kidato cha nne mwaka 2012/2013 lakini mimi kama mwalimu ambae ni mtaalam katika fani hii navyojua kuwa kuna kitu kinaitwa mhamo wa ruwazo "Paradigm shift" yaani kunamabadiliko kidogo juu ya kujifunza na namna ya kupima kama somo...
  8. Mwl Ngasa

    Mabomu na Risasi za moto zarindima Kinondoni Moroko Dar usiku huu!

    kwanza kwa nini hawaweki bumps? unajua kuanzia pale ben pub mpaka kituo cha kanisani kila mwaka lazma tupoteze wenzetu wengi tu hivi kweli serikali gani hii kipofu ktk karnee hii ya digitali?
  9. Mwl Ngasa

    Mabomu na Risasi za moto zarindima Kinondoni Moroko Dar usiku huu!

    inasikitisha sana mwanzoni roho yangu ilivumilia lkn baadae niliona hakuna haja ya kuwa na serikali!
  10. Mwl Ngasa

    Waziri Mulugo: Tanzania ilitokana na muungano wa visiwa vya Pemba na Zimbabwe

    jamani huku wizara ya elimu ni kichaka cha vilaza yani tunao kama huyo mahofisini wamejaa kibao! halafu kwani mishahara haitoshi? mnadanganywa msiojua ni kwamba huku kunawatu wanpandishana vyeo kwa kujuana kuna kaorgan kanaitwa tsd hako ndo kanafanya mwl alietoka chuo kikuu tena bright teacher...
  11. Mwl Ngasa

    Lowassa aanza kueleweka, atoa agizo kwa wananchi...

    EL jembe kama hutaki subiri uchguz ukifika utaona!
  12. Mwl Ngasa

    Tatizo la kutokuwa wawazi kwa watoto wetu wanaoanza kupevuka linagalimu future za vijana wengi!

    mh! hiv kweli unazaa au unapata mtoto halafu unategemea bibi yako akulelee! kukosa plan kunaweza fanya m2 awe na sababu nyingi na zote zikaonekana sawa kwa mtizamo wake lakini kulea ni kulea tu! hakuna cha generation wala tehnology hapa! you might have knowlege but if u lack wisdom u r almost a...
  13. Mwl Ngasa

    Tatizo la kutokuwa wawazi kwa watoto wetu wanaoanza kupevuka linagalimu future za vijana wengi!

    Kupenda kila mtu anaruhusiwa, lakini baada ya kupenda unachukua tahadhari gani? watoto wengi kuanzia miaka 14...... wanajikuta wanatumbukia kwenye ngono ambazo hazina kibali hivyo kufanya maisha yao ya shule kuwa hatarini hii ni kwa sababu tu eti sisi utamaduni wetu hauruhusu familia au jamii...
  14. Mwl Ngasa

    Jaribio la kugomea Sensa: Mwitikio wa Serikali

    mimi bnafs naangalia wapi wanakosea na bado nafanya kazi kama mtumishi wa umma inapobidi nasaidia kwani semina zote zipo mashuleni ambako ndipo walimu tulipo.Madawati, viti vya kukalia huduma ya choo, breakfast, stionary na wanapogota inabidi waseme. Kwa ufupi mm naelewa mipaka ya siasa na...
  15. Mwl Ngasa

    Sperm donor needed

    mh! atangaze dau uone mafuriko ya sperms!
  16. Mwl Ngasa

    mchumba ni tofauti na mpenzi?

    wawapi unaemfikiria?
  17. Mwl Ngasa

    mchumba ni tofauti na mpenzi?

    duh! wewe kweli umenibamba!
  18. Mwl Ngasa

    Mama aondolewa katika sensa

    haya huyo mmemfikia kwa sababu yuko maeneo yanayofikika cc huku yan wapo wengi!
Back
Top Bottom