Search results

  1. M

    Urais 2015, Rushwa vyaitesa CHADEMA

    kwa mujibu wa TUNTEMEKE dr. amepora sh. 140m
  2. M

    Chadema na pigo la mameya, ccm na vurumai la vijana

    CDM noma baada ya kumaliza kusafisha mameya sasa wameamua kuingia kwa viongozi wao wenyewe. kufuatia tuhuma zilizo mkabili katibu mkuu wa chama hicho Dr. wilbroad Slaa za ubadhilifu wa shilingi za kitanzania zaidi ya 140m (source TUNTEMEKE) na katibu wake msaidizi zitto kabwe a.k.a mr...
  3. M

    Tathmini: M4C Fundraising Dar wapi hapakuwa sawa na nini Kifanyike

    kuwa na akili fupi kama ya kuku ni noma aisee, maana jogoo akikimbizwa tu anafikiri anataka kuchinjwa, bila kufikiri jike nae akimwona tu jogoo anakimbia anafikiri anataka kupewa mambo. sasa wewe nae umesikia kichwa ukawaza yale yalee ya kugongwa, mi sipo huko shekhe nimefunga. nicheki baada ya...
  4. M

    Tathmini: M4C Fundraising Dar wapi hapakuwa sawa na nini Kifanyike

    M4C chama alichokianzia mwanadada mmoja na jamaa fulani nchini wingereza akiwa na objective kubwa ya kusambaza matawi yake ndani na nje ya nchi na kukusanya fedha nyingi kama mnabisha tembeleeni Movement for Change | Home waasisi wake wanaitwa Stella Creasy/Ed Miliband .na ninasikia mara baada...
  5. M

    Tathmini: M4C Fundraising Dar wapi hapakuwa sawa na nini Kifanyike

    Kwenye kauli zake na kampeni zake mashuhuri duniani, mweshimu miwa barack obama alikuwa akitumia slogan ya yes we can. Nashangaa kama jamaa anafikiri bado watanzania hawana TV, nitanukuu kauli yake ya jana mara baada ya nassari kuongea alisema "YES WE CAN" mbona sioni kauli hata moja ya...
  6. M

    Chadema na pigo la mameya, ccm na vurumai la vijana

    kwa hiyo unamaanisha CDM sikuhizi kuna meya war, mimi nilifikiri wanawatoa kwa operation sangara. anyway ndani ya baraza la madiwani hata vyama vingine wamo hivyo sidhani kama CDM wana meya war nafikiri wameumbuka au kwani na ile ya zito ni meya war? if so what about tuntemente quotation
  7. M

    Chadema na pigo la mameya, ccm na vurumai la vijana

    siku akijiunga tu na JF naacha kumshabikia...... kwani hujui sababu yangu kubwa ya kutokumkubali dr. na mbowe ni kuacha kufanya mambo ya msingi na kujiunga na JF afu uko bize kweli na uwanja wa mapenzi na mahusiano au unafikiri sijui kuwa wewe ni dr. slaa
  8. M

    Chadema na pigo la mameya, ccm na vurumai la vijana

    ushabiki ni kitu cha ajabu sana sasa mtu kama sugu alichaguliwa kwa lipi we mtu anapanda jukwaani badala ya kuwaeleza watu wa mbeya atawafanyia nini yeye anarapu tu tena nyimbo zenyewe za majungu. ndo maana wakipata tu wanaanza kuogelea, dr. slaa 180m, zitto bilionea
  9. M

    Chadema na pigo la mameya, ccm na vurumai la vijana

    nikikukumbusha mengi utalia na mi chipendi. meya wa mwanza alifukuzwa na baraza la madiwani na kwa tuhuma 11 na moja ikiwa ni kula rushwa. fatilia about the other five fired mayors and then tip me. ukishindwa nitakutumia reference but uchilie
  10. M

    Chadema na pigo la mameya, ccm na vurumai la vijana

    mm chichemi sana but vp kuhusu mauwaji ya kimbari waliyofanya madaktari kipindi cha mgomo au umesahau kwa kuwa haukuwa ICU. kama umechahau vp khs mauwaji waliyoyafanya CDM pale singida.
  11. M

    Chadema na pigo la mameya, ccm na vurumai la vijana

    ni imani yetu dhidi ya chama hasa katibu wake maana alipita taifa zima kunadi watu wake, sasa asilimia 100 inapokuwa batili nani alaumiwe katibu mwenyewe yaani dr. au wapiga kura mi nafikiri tuache ushabiki usiokuwa na maana katibu (dr. Slaa) kwanza atueleze anasababu zipi za kutufanya tumwelewe...
  12. M

    Chadema na pigo la mameya, ccm na vurumai la vijana

    tuiombee CDM, mwenyezi Mungu mwingi wa rehema aiepushe na mabalaa inayoyapata kama vile ubadhilifu alioufanya muheshimu miwa zitto kabwe na mafisi wenziwe kwenye taasisi nyeti ya taifa na fedha alizokimbia nazo mweshimu miwa mwingine dr. slaa kwa kukimbia na fedha za chama shilingi 140m. kama...
  13. M

    Chadema na pigo la mameya, ccm na vurumai la vijana

    Siasa hizo za kusomea ndizo siasa za kijinga zaidi duniani, na viongozi wote mashuhuri na waliofanikiwa hakuna hata mmoja aliyesomea siasa. Nape ni kichwa kimoja, na swala la wamuweke nani na wamtoe nani, ni swala la kijinga, chadema wameshindwa na wameprove failure. Swala la kutengeneza ajira...
  14. M

    Chadema na pigo la mameya, ccm na vurumai la vijana

    Hapa hakuna munkari wala nini,kumbuka taifa hili litakombolewa na vijana wenye uchungu na taifa hili, na si magenge ya wanaharakati walioungana na kujiita chama cha siasa,makundi ya watu walio shindwa maisha na kutaka kutudanganya watanzania kuwa wanauchungu. Miji yote waliyopewa wameshindwa na...
  15. M

    Chadema na pigo la mameya, ccm na vurumai la vijana

    Have you not seen the corollation?. Watanzania tumekuwa tukiaminishwa katika mabadiliko,kumbe ni gear ya kundi fulan kutafuta namna ya kula,hawana lolote. Big up sana john deya. Leteni mabadiliko kwa vijana wenzenu. We akili yako iko hovyo na hauna maendeleo ndio maana huoni tofauti. Acha mambo...
  16. M

    Chadema na pigo la mameya, ccm na vurumai la vijana

    Unafikiri mambo ya msingi ni yapi hayo?. Usipotoa suport kwa vijana wanaojitokeza, utabaki kuwa na mambo ya jikoni, inaonekana ni tabia yako kujipa promo. Mi namsaport na nampa big up sana. Kaza buti mkikomboe chama
  17. M

    Chadema na pigo la mameya, ccm na vurumai la vijana

    kufuatia kufukuzwa kwa kundi zima la mameya wa chadema ( mameya 6 yaani 100% ya mameya wao wote) kwa tuhuma za wizi, rushwa na ubaradhuli wao. vijana wa CCM waendelea kung'ara. huyu ni mmoja wa vijana ndg. John Deya (wa kwanza kulia) walioamua kujitosa kwenye uchaguzi wa makamu m/kiti UVCCM Taifa. v
Back
Top Bottom