Search results

  1. T

    Viwanja vinauzwa - Kitopeni, Bagamoyo

    Maana yangu ni kwamba hakuna kiwanja cha Tshs 6000-7500 per square meter Kitopeni.Kwa taarifa yako Tshs 12,000/= ni bei ya kutupa.Unaandika vitu usivyojua na bila kufanya utafiti.Ina maana hao raia unawasemea wao hawana akili, ni watoto?Je,ni wewe uliwasaidia kutafuta hiyo pesa.Elewa Watanzania...
  2. T

    Viwanja vinauzwa - Kitopeni, Bagamoyo

    Hello,tunaomba kujua kama una taarifa za viwanja au kiwanja Kitopeni Bagamoyo kwa bei hiyo ya Tshs.6000-7500 per square meter au hata pungufu ya 12,000/= per square meter.Tafadhali tujulishe haraka tutavinunua vyote na hata kama ni kimoja!!!!
  3. T

    Viwanja vinauzwa - Kitopeni, Bagamoyo

    Ahsante sana kwa ushauri wako. Ni kwamba hatupendi kuuzia mbuzi kwenye gunia,tunawashauri sana wateja wetu kufika eneo husika na kujionea viwanja kabla ya kufanya uamuzi;huu ni utaratibu ambao haujapata kufanyika katika miradi mingine yoyote ya uuzaji viwanja uliyowahi kuisikia.Kwa maelezo zaidi...
  4. T

    Viwanja vinauzwa - Kitopeni, Bagamoyo

    Viwanja vimeandaliwa miundombinu yote na kulipiwa gharama zote za hati ambayo unapewa mara tu baada ya kukamilisha malipo.Hatufikirii kukaa na hati ya kiwanja ambacho kimekwisha kulipiwa,hivyo tungependa muamala (transaction) wa mauziano ukamilike kwa mara moja.
  5. T

    Viwanja vinauzwa - Kitopeni, Bagamoyo

    Tunashukuru kwa maoni yako, zaidi tungekuomba ukafanye utafiti kwanza ili uwe na uhalali wa kuzungumza hivyo. Kwa taarifa yako bei ya Serikali imefikia Tshs.20,000/= per square meter na bado viwanja havikutosha.Inategemea unazungumzia eneo gani,kiwanja cha aina gani na kwa wakati gani.Bei zetu...
  6. T

    Viwanja vinauzwa - Kitopeni, Bagamoyo

    Ahsante sana kwa maoni yako. Bei zetu ziko chini sana, sana, sana.Siyo kwamba tutawapata ila tumekwisha kuwapata na siyo kwamba wana haraka bali wanajua thamani ya viwanja vyetu,hivi nakujibu tayari tunahisi viwanja havitoshi!!!!!!
  7. T

    Viwanja vinauzwa - Kitopeni, Bagamoyo

    Tunashukuru kwa maoni yako, zaidi tungekuomba ukafanye utafiti kwanza ili uwe na uhalali wa kuzungumza hivyo. Kwa taarifa yako bei ya Serikali imefikia Tshs.20,000/= per square meter na bado viwanja havikutosha.Inategemea unazungumzia eneo gani,kiwanja cha aina gani na kwa wakati gani.Bei zetu...
  8. T

    Viwanja vinauzwa - Kitopeni, Bagamoyo

    Viwanja vimeandaliwa miundombinu yote na kulipiwa gharama zote za hati ambayo unapewa mara tu baada ya kukamilisha malipo.Hatufikirii kukaa na hati ya kiwanja ambacho kimekwisha kulipiwa,hivyo tungependa muamala (transaction) wa mauziano ukamilike kwa mara moja.
  9. T

    Viwanja vinauzwa - Kitopeni, Bagamoyo

    Tunashukuru kwa maoni yako, zaidi tungekuomba ukafanye utafiti kwanza ili uwe na uhalali wa kuzungumza hivyo. Kwa taarifa yako bei ya Serikali imefikia Tshs.20,000/= per square meter na bado viwanja havikutosha.Inategemea unazungumzia eneo gani,kiwanja cha aina gani na kwa wakati gani.Bei zetu...
  10. T

    Viwanja vinauzwa - Kitopeni, Bagamoyo

    Mahali/Location: Kitopeni, Bagamoyo. Mita 800 kutoka barabara ya lami itokayo Dar (kilomita moja kuingia mjini Bagamoyo na kilomita 5 kutoka Kiromo View Resort kuelekea Bagamoyo - planned, surveyed & prime area). Majirani: Ali Hassani Mwinyi Secondary School,Dunda Secondary school,Hotel...
Back
Top Bottom