Search results

  1. shimwemwe

    CHADEMA isiposhinda Urais 2015 itakufa

    Kama ana mapenzi si angek?a kupiga kura
  2. shimwemwe

    CHADEMA isiposhinda Urais 2015 itakufa

    Aliyeandika naona buku 7 bado zinafanya kazi
  3. shimwemwe

    Bongo star search 2015

    Siasa jamani madam Rita asante
  4. shimwemwe

    Njoo Ubungo darajani uchimbe dhahabu,shimo limetema

    Njoo Nzega sehemu inaitwa Namba Saba Lusu kumejaa kwa wiki tangia wamewapa wananchi wachimbe.
  5. shimwemwe

    Updates: Nzega Makanda tupe Updates CHADEMA kuwasha moto leo

    yaliyojili ni mazuri na watu walikuwa wengi Mh. Mbowe na Tundu Lisu ndo waliweza kufika viwanja hivi.
  6. shimwemwe

    Updates: Nzega Makanda tupe Updates CHADEMA kuwasha moto leo

    hapa watu wanazidi kukusanyika, na wazee wenyewe na rungu zao wapo karibu. vijana kwa wingi wanajitokeza picha baadae.
  7. shimwemwe

    Updates: Nzega Makanda tupe Updates CHADEMA kuwasha moto leo

    kwa taarifa za uhawakika Nzega leo Chadema ndani ya Nzega makanda waanza kusogea karibu hivyo tupeane habari zinazojiri. nategemea safari ya kutoka Urambo tayari viwanja vya Parking kama kawaida
  8. shimwemwe

    Mchumba, Mchumba mchumba

    asante ndugu nitumie basi maana muhimu age inaenda.
  9. shimwemwe

    Mchumba, Mchumba mchumba

    asante ndugu maana watu kuona njia yangu mbona mafanikio yapo, mi namkaribisha yoyote.
  10. shimwemwe

    Mchumba, Mchumba mchumba

    hellow, mm ni me natafuta mchumba wa kike. sifa zangu; umri wangu ni miaka 35,ni mfanyakazi naishi nzega,mrefu,mweusi kiasi. sifa za nimtakae awe mkristo,elimu kuanzia kidato cha nne,umri miaka 25-30. Haijalishi hata kama hana kazi maana uwezo wa kumtunza ninao. Kwa walio serious,tafadhali...
  11. shimwemwe

    Naomba msaada wenu wanaJf

    kwa ninavyoona mimi mitandao ya jamii zaidi haijanya kazi yoyote zaidi kuna maneno mengi hasa sarufi imearibika sana kwa sasa, inagwa wageni wangependa kusoma kiswahili kupitia mitandao ya kijamii.
  12. shimwemwe

    Pesa katika mapenzi (PICHA)

    pesa ni kila kitu chezea babu wewe jirani my dear neba babuuuuu
  13. shimwemwe

    Rangi ya ch*pi

    kuna rafiki yangu sana yeye akifika kazini lazima kumetisha swali la muhimu ni rangi gani umevaa na ndani siku moja kavaa nguo rangi ya chui vipi leo ndani kasema amevaa mabaka mabaka. najua akisoma hapa atakumbuka na kufurahi sana rangi ya vyupi hivyo, nampa ofa j3 nitampeleka dukani achague...
  14. shimwemwe

    Yaliyojiri nilipo pigwa mkono na Traffic Police wiki jana

    siku moja natoka Dodoma nipo na gari la IT trafik mmoja kasimamisha gari kituo kati ta ITIGI na Siginda. dreva akatoa 1000 kumpa bila aibu trafik kasema "hapa hakuna wa buku umewaacha huko ulipotoka" kweli nimeamini kwamba barabarani kuna biashara nzuri inawanufaisha trafik vizuri.
  15. shimwemwe

    Sikumkimbia Dr. Slaa New Africa Hotel

    There are currently 419 users browsing this thread. (106 members and 313 guests) Rudi mchumi uone uliyokuwa unayatafuta.
  16. shimwemwe

    Amenisababishia ulemavu wa maisha kwa makusudi na sasa hanitaki tena!

    ASANTEje tutegemee story no.3 maana ulisema zipo 5. pole kwa kukosa DUDU!!!
  17. shimwemwe

    Amenisababishia ulemavu wa maisha kwa makusudi na sasa hanitaki tena!

    kiasi fulani nimefaidi chai chungu maana nimepitia nakuta angalau umesogea. Asante sana kwa somo.
  18. shimwemwe

    Amenisababishia ulemavu wa maisha kwa makusudi na sasa hanitaki tena!

    sijatoa haki ya msingi hadi mda huu CHAI TAMU kweli mwambie Makunga naye arudi nimeona niache siku mbili nimerudi naona bado ngoja nilale lkn ndo hivyo hapa nilitaka kuzimiwa comp CHAI hii tabia siyo kbs usiku wote watu wamo tu. Usiku mwema Chai chungu msalimu TOTO lako la kiume toka kwa Ntiba.
  19. shimwemwe

    Amenisababishia ulemavu wa maisha kwa makusudi na sasa hanitaki tena!

    asante sana CHAI TAMU lakini style yako tangia jana nafatilia hadi, lkn najikuta ujamaliza sasa unanifanya niwe mtumwa wa JF tena sana.Ndugu yangu MAKUNGA hebu nisaidie maana naona wewe umekimbia kabisa kwa sasa na ndo hivyo baba WIT kanishika vibaya.
Back
Top Bottom