Search results

  1. Executivesister

    Mimi ni mkristo lia lia ila mambo anayoongea Mohamed said kabla ya uhuru yanafikirisha yasipuuzwe na yafanyiwe kazi

    Hakuna dini duniani ila kuna Mungu wa kweli, katika historia ya dini ni kwamba lengo la kuzieneza ni kugawa Waafrika na kuwatawala. Hao wote walio kwa mwamposa wana matatizo ya afya ya akili. Wale masheghe waliofungwa nao hivyo hivyo kwa sababu kuna Waislamu wakubwa katika nchi hii wanajua jinsi...
  2. Executivesister

    Tuwe Wakweli, Rais amechoka ila wapambe ndio ving'ang'anizi 2025 agombee

    Akili yangu imetulia haswaa, ndio maana ni msomi niliyejiajiri kufundisha watu kuendesha makampuni, walipe kodi kwa wakati ili serikali ipate mapato maisha yakae sawa kwa watu wote, hakuna haki bila wajibu kupenda kupewa pewa haki bila kutimiza wajibu wa msingi ndo kunakofanya wazungu wanatunga...
  3. Executivesister

    Tuwe Wakweli, Rais amechoka ila wapambe ndio ving'ang'anizi 2025 agombee

    Ushauri wako nitazingatia kiongozi, naheshimu mawazo yako, na wewe ni mtu mwenye busara sana, nikiangalia uandishi uliotumia niseme tuu kwamba unajua maana ya friza na friji.Kwa heshima hiyo siwezi kusema nimewahi kusafiri au sijawahi in short sitapingana na wewe unaona mbali. Nije kwenye mada...
  4. Executivesister

    Tuwe Wakweli, Rais amechoka ila wapambe ndio ving'ang'anizi 2025 agombee

    Ukweli ni kwamba ubongo wa mwanadam wa miaka 25 na ule wa miaka 75 ufanyaji kazi wake ni sawa sawa, kama unabisha kasome kwa watafiti wa masuala ya ubongo unaowafahamu, wazungu wanajitahidi kuwapa wanaume wafanye kazi za nyumbani ili ku unlock creativity iliyokufa,sisi huku kwetu wanaume...
  5. Executivesister

    Tuwe Wakweli, Rais amechoka ila wapambe ndio ving'ang'anizi 2025 agombee

    Mwanamke huwezo huongezeka kuliko mwanaume, kwa sababu mwanamke huongezewa majukum ukiondoa yale ya asili. Mfano kukiwa na wageni 100 nyumbani mwanamke anahusika na maandalizi ya hao wageni watakulaje watalala wapi, logistics zao za kusafiri warudi walikotoka watasafirije, kama wanahitaji...
  6. Executivesister

    Nusu ya Madaktari wafeli mtihani. Serikali acheni kudahili vilaza wa "D" kwenye taaluma inayogusa uhai wetu

    NAKUELEWA SANA MKUU, HIZO DIVISION I ZA SIKU HIZI ZA KUPEANA TUU
  7. Executivesister

    Kazini imekuwa ngumu kwangu msaada

    Una low level ya negotiation techniques, lakini una ability kubwa kwa sababu huyo boss wako hajaona uwezo wako tafuta kazi sehemu nyingine waone uwezo wako, ni ngumu sana kulipwa mshahara zaidi ya ule mlikubaliana. Yaani mimi nilipata hiyo kesi, nilionea mtu huruma nikamuanzishia mradi kwa...
  8. Executivesister

    Hayati Magufuli alisimama kidete Sheria ya Kulinda Rasilimali za Tanganyika ikatungwa. Leo hii Mkataba wa Bandari upo kinyume na sheria hii

    Jmani magufuli alishakufa na wafu hawajui neno lolote, na ukiona unatumia kioo kuona makosa ya mfu maana yake wewe unajiangalia mwenyewe kwa upande wa giza. Kumbe ugejiangalia kwa upande wa nuru mimi Mkristo ningesema hivii Wafu hawajui neno lolote kwa hiyo ndo maana mama naanjua kupika vizuri...
  9. Executivesister

    Hayati Magufuli alisimama kidete Sheria ya Kulinda Rasilimali za Tanganyika ikatungwa. Leo hii Mkataba wa Bandari upo kinyume na sheria hii

    Ndio alisimamia ndio maana Samia anafuata nyayo zake kwa kuwapa watu chakula kikubwa kitaifa ambacho kitapikwa na kikipikwa vizuri. Na Magufuli ndie aliewapinga watu ambao wnataka kutumia watu kukataa mkataba huu. kwa akili ya kawaida msemo wa there is no mapochopocho ya bure in watu weusi...
  10. Executivesister

    Maswali kwa Profesa Musa Assad kuhusu mkataba wa Bandari

    MKATABA WA BANDARI POINT ZAKE NI CHACHE TUU TUJIULIZE HAO MNAOPINGA MKATABA WA BANDARI NENDENI BANDARINI MKAWAULIZE WALE WAFANYAZI WANAOOGOPA KUPOTEZA KAZI KAMA WAKITOKA PALE WANGEPEDA WAKAFANYE KAZI SEHEMU GANI, HII ITASAIDIA KUONDOA HOFU.NA KAMA ITALAZIMIKA KUPUNGUZA WATU HAO WATAKAOPUNGUZWA...
  11. Executivesister

    Nahitaji kuonana na Rais, nina jambo la kuzungumza naye

    Jamani naomba mtu anayeweza kunipeleke mguu kwa mguu kwa Mama bila maswali mengi, nimewatafuta watu wengi ambao naamini wangenipeleka wananizungusha. Ina maana sisi raia tukitaka kumuona Rais ni ngumu hivi? Nina agenda ya msingi sana kwa taifa na mimi Sio mwanasiasa kabisa ni mwananchi wa...
  12. Executivesister

    Nusu ya Madaktari wafeli mtihani. Serikali acheni kudahili vilaza wa "D" kwenye taaluma inayogusa uhai wetu

    Mfumo wa elimu pia mbovu sana, failures ndo wanakuwa waalimu, jamani nyie haya mambo magum sana, mi nlisoma Kayumba nikiwa na ndoto za kuwa Dr, mwalimu anakifundisha matango pori sikuamini matokeo yanatoka nimefeli Physics na Mathematics nikaangaliwa masomo nliyofaulu sana nikapangiwa HGK...
  13. Executivesister

    Selection ya kidato cha tano kuna mengi ya kujifunza

    Sitasahau nilikuwa mwanasayansi nguli wa familia nkapangwa HGK, mama akaniambia ukifika kule utabadilisha, kufika shule kombi za sayansi zimefutwa, kuna HGE, EGM, HKL, HGL. Na mzee baba mwenyewe HGK shule ipo mbali, nikaenda kwa mkuu wa shule akaniambia sasa hapa kwanza tuliangalia masomo...
  14. Executivesister

    Kudharaulika kumenipa maisha Leo mwaka 5 Nina uelekeo mzuri

    Jamani tuwe na fikra chanya, kwa watu kutoka kijijini kuja mjini, ni kitu cha kawaida kabisa mtu yupo njiani ndo anakwambia nakuja, hasa kwa vijana wanaoamini kuwa maisha ya mjini ni mazuri sana, sasa si bora hata ndugu, mi house girl amepanga na kaka yake aje mjini kutafuta kazi, nashangaa tuu...
  15. Executivesister

    Msaada: Miguu kutoa harufu

    Kunywa maji ya kutosha Hakikisha una Soksi zaidi ya dozen moja namaanisha pea 12 na kuendelea. Kausha miguu kabla ya kuvaa viatu. Kila siku kabla ya kulala chukua punje nne za Kitunguu swaumu saga kilainike pitisha katikati ya vidole ulale ukiamka asbuhi osha miguu. Kama hupendi harufu ya...
  16. Executivesister

    Kuna wanaume wanaishi kwenye ndoa ngumu nyie

    Mimi najitegemea in fact, lakini hakuna maisha mazuri kama mke na mume kuwa marafiki, mume kumhudumia mke, na mke kumheshimu mume, naenjoy mume wangu akiniwekea vocha nikienda saluni lazima atauliza unataka sh ngapi kama nywele ni elfu 20 na ninajua siku hiyo hana kitu ntamwambia nahitaji 10...
  17. Executivesister

    Dawa ya kome ni nini?

    Twanga Kitunguu swaumu punje 2 au tatu kulingana na unene wa kidole chako, weka palipoathirika funga hapo kwa kitambaa ni vizuri Utangulize kitu kischopitisha maji ili wakati wa kulala harufu ya swaumu isikukere acha kwa masaa 12 yaani jioni hadi asbuhi, kama hutoki toki funga kwa masaa 24 mdudu...
  18. Executivesister

    Hakuna msichana mzuri wa sura na tabia anafikisha miaka 25 hajaolewa

    Ni kwa sababu wewe au ndugu yako mliwahi kushiriki kwenye utoaji mimba ndo maana, wanangu wote ni responsible kids kama mama yao,na hakuna mwenye shida yoyote, sishangai ukinishambulia hivi kwa sababu hunijui na mimi sikujui ninachoandika usikichukulie binafsi utaumia sana. Muda wote huo...
  19. Executivesister

    Hakuna msichana mzuri wa sura na tabia anafikisha miaka 25 hajaolewa

    Sipo hapa kujitetea hili ni jukwaa la kuelimishana, nina watoto 3 wa mwisho ana 3 years, nina ndoa yenye Furaha kwa sababu I live my life hata watu wengine nawashauri hivyo, ishi maisha yako na uwajibike na maamuzi utakayoyafanya, hakuna anaehusika na kufeli kwangu kwenye kitu chochote, wanawake...
Back
Top Bottom