Search results

  1. N

    mchumba ni tofauti na mpenzi?

    Mchumba anaheshimiwa zaidi maana pande zote mbili wanamtambua.Mpenzi ni kama kudanganyana tu mda mwingine mnakutana gest biashara inakwisha.
  2. N

    Kama ndio hivi...wacha wapendwe tu.

    Hawa wazee wa siku hizi hawafai kabisa,wanajidai wanaenda na wakati,kwanza shughuli yenyewe hawaiwezi,ukimpeleka puta anaweza akufie kifuani buree.
  3. N

    Dr. Ulimboka yupo mafichoni, kuzungumza wakati wowote!

    Jamani ni jambo la kumshukuru Mungu sana kwa kumrudisha huyu kijana wetu akiwa hai. Na wahusika wa tukio zima watajulikana sasa,nadhani huko waliko matumbo yanawaka moto.Mungu alitaka kuwaumbua tu.Wajiandae sasa.Hawana utu kabisa,kumpiga mwenzao vile waliona sawa? Wataipata.
Back
Top Bottom