TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amefanya uteuzi wa wakuu wa Mikoa 26 ya Tanzania Bara, ambapo kati yao 13 ni wapya, 7 wamebakizwa katika vituo vyao vya kazi, 5 wamehamishwa vituo vya kazi na 1 amepangiwa Mkoa Mpya wa Songwe.
Uteuzi...
Kwa hili Mnyika anastahili kusuifiwa na si kulaumiwa. Uwekezaji huo (kama ni kweli) utamwezesha kupata faida endelevu ambayo inaweza kufanya mambo mengi kuliko yule ambaye fedha zote amezipeleka kwenye miradi ambayo haizalishi
Kama hicho ndicho kiolichotokea, kwa nini maisanze kuwalaumu hao wajumbe wa Bodi ambao walikubali kutoa fedha na kumpatia mtu miwngine kinygumke na matumizi yaliyoidhinishwa?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.