Search results

  1. P

    Nape, Labda ukisoma hapa itakusaidia!

    Mbona Nape anataka kuanza vibaya!! Mtu mzima akifikia mahali anafananishwa na Makamba na Tambwe Hiza huko ni kutukanwa bila staha. Ajenge HOJA hata kama ni kweli Dr Slaa ni Fisadi, yeye hana serikali,hivy fedha za serikali ni salama kama CCM na Serikali zake wangekuwa wasafi. Baya zaidi ajenda...
  2. P

    Kardinali Pengo: Watawala siyo miungu; Maandamano hayana tatizo so far..

    Mimi namjua Kardinali Pengo. Alikuwa Head Prefect wetu pale Seminary ya Kaengesa. HAJUI maana ya neno WOGA. Kuna wakati tuligoma(kumbe hata wakati huo kulikuwa na migomo ya wanafunzi), akaona haki ya mgomo wetu akatumia busara kuchachamaa na sisi mbele ya mapadri viongozi wa seminary. Mgomo...
  3. P

    Tupende, tusipende: Tanzania inanyemelewa na udini!

    KIKWETE hana uwezo wa kuwa na udini wa aina yoyote. ni RAIS asiyejali tu mambo ya nchi. TUKUMBUKE siku alipokwenda Gongo la Mboto-alionekana akipiga stori na mkuu wa majeshi huku wote wawili wkicheka cheka wakati wanangoja briefing ya kilichotokea. NCHI NZIMA IMEJAWA MAJONZI kwa wahanga wa...
  4. P

    Ukata mkali waitafuna serikali- mgawo wa idara, taasisi wapunguzwa

    Tunashangaa, lakini walipotueleza Chadema kuhusu upungufu wa Kikwete na chama chake, tukasema wao ni kutoka North, na baadaye ati ni wakatoliki. Kikwete akafilisi Hazina ya nchi akitaka achaguliwe, tukasema Hazina ni yake. Tujute tu na kuapa kutorudia makosa tuliyofanya. Nina hakika ukata huo...
  5. P

    Pole Dr. Slaa, Pole CHADEMA

    Cdm wafanye kile wanachokiweza sana. Waende kwa wananchi wakaseme yale yanayotoka kwao na jinsi wanavyozibwa na ccm na spika wao. Tutawaelewa na kusubiri 2015 kuwapa haki ilioyopokonywa na ccm 2010
  6. P

    Makamba atumia Biblia kuwalaani Chadema: HUYU MZEE KACHANGANYIKIWA

    Ukiona Katibu wa chama chochote anapingana na wanachama wenzake, tena wenye heshima kubwa katika jamii,ujue bomu karibu kulipuka. Watoka nje ya CCM tunajiuliza Kikwete alipenda nini katika juha huyu wakati anamteua na anaendelea kuona nini ndani ya mtu huyu mpaka asichukue hatua yoyote...
  7. P

    Waziri Selina Kombani (Katiba na Sheria) na Hatima ya Katiba Mpya

    Hivi tunashangaa nini na haya maneno-hiyo ndiyo quality ya wateule wa JK. Ni lazima wafanane naye au wawe wajinga zaidi kidogo. Tujikumbushe busara hizi za RAIS wetu:Wasichana wanao pata mimba shulenii wana kihorohoro; Rais alikuwa anatania alipoonekana kuunga mkono watoa rushwa mbele ya maaskofu
  8. P

    CHADEMA sasa YATIKISHA NCHI..Idara zote serikali hapashikiki!!

    Rais hawezi kujisemea juu ya hili, maana walipomshauri kufanya akafanya bila kutafakari maumivu ambayo nchi ingepata, na sasa anangopja washauri wake wamwambie akaseme nini, maana yeye mwenyewe kama alivyo Makamba wake ni watu wa kulipuka tu. HIVI CCM WALISHINDWA KUSIMAMA NYUMA YA MTU MAKINI...
  9. P

    Ya Polisi na vyama vya siasa Tanzania

    Nchi zilizostaarabika zikisema polisi wana taarifa za kiintelijensia huwa wanawashughulukia hao wanaosemekana kupanga mipango ya ghasia, lakini hawazuii maandamano ya amani. Hapa kwetu imekuwa kisingizio cha ubeberu wa polisi na wa kikwete. Kikwete atatambua lini kwamba mabavu ya dola hayamalizi...
  10. P

    Magufuli aanza kulewa madaraka?

    Magufuli ni mlevi wa madaraka siku zote, na ameingizia nchi kwenye matatizo makubwa. Alivunja Nyumba Mwanza na serikali ikaamriwa kulipa. Alitoa nyumba na kumuuzia mtu asiyestahili, aktetea sehemu ya wazi kumilikiwa na mtu binafsi-Rose \garden- hivyo kuilazimish serikali kulipa fidia pale...
  11. P

    Nyumba yenye thamani ya bilion 4 Ridhiwani Kikwete anaishi na nani humo?

    Kama kweli ni ya kwke basi ni mwizi. Jamaa kamaliza chuo miaka sawa na urais wa baba yake, so kama yeye hakuiba basi baba yake kafanya madudu kwa niaba yake
  12. P

    Kwanini vyombo vya habari vilimgeuka JK?

    Isipokuwa UHURU, MZALENDO, HABARI LEO na DAILY NEWS, vyombo vingine vinaogopa kupoteza wasomaji maana vimegundua kwamba Watanzania hawataki utumwa wa mawazo, na HAWATAKI KABISA KUDANGANYWA
  13. P

    Nchi imemshinda na Chama chake kimemshinda; aombe wawekezaji?

    Ndiyo maana sasa nguvu za dola zinatumika badala ya nguvu ya kisiasa,na visingizio viko tele, cha kipumbavu kuliko vyote ni hiki cha "taarifa za kiinteligensia" Sasa twaelewa kwa nini alipozungumzia madai ya wafanyakazi alipambwa na majeshi.Tumshukuru Mungu NEC ilitmiza wajibu wake kwa mwajiri...
  14. P

    NCCR yadai CCM wameiba kaulimbiu yao

    Kaulimbiu inayosahaulika haraka inaonyesha mapungufu ya walioibuni-kwamba haikuonyesha mwelekeo mahsusi, hakukuwa malengo yenye manufaa kwa nchi, na kwamba ilibuniwa kuwanufaisha wenyewe tu. Vyama vikianza kuibiana kaulimbiu maana yake haviongozwi kwa maslahi ya nchi bali kwa nia yao ya kushika...
  15. P

    Kikwete's most embarassing statements...

    Na pale aliposema anawajua wala RUSHWA akawapa muda wajirekebishe je?
  16. P

    je ni nani mwenye mamuzi jiji la dar

    Hata Pinda alisha kuona mkanganyiko uliopo kwenye Jiji hilo, lakini pamoja na yote hayo Diallo wa Mwanza naye anataka nako huko kuwe mkanganyiko huo huo
Back
Top Bottom