Search results

  1. Cie

    Kilimo cha zao la Ufuta: Masoko, Mbinu na Ushauri Toka kwa Wadau

    Hata mie ninapanga kulima eneo la Msata maandalizi ni lini? Shamba nimeanza kusafisha.
  2. Cie

    Ufugaji wa Kuku wa Kisasa: Fahamu Mbinu, Faida, Changamoto na Masoko

    Wajasiriamali wenzangu...Vifaranga vinapatika kwa order. Mniwie radhi nimeshindwa ku download pictures..niitajithidi niweke wakati wowote inbox me kwa maelezo zaidi.. Karibuni sana
  3. Cie

    Ufugaji wa Kuku wa Kisasa: Fahamu Mbinu, Faida, Changamoto na Masoko

    Kweli kaka Pleo umeongea kwa busara ya hali ya juu...nitaweka picha ndiyo maana nikapendekeza kuwasiliana kwa kutumia inbox messages Wako waliopata maelezo waliohitaji Hata hivyo kwa kifupi: Kuku hawa ni aina ya Hubbard ambao wanafugwa sana katika bara la Asia na kusini mwa Afrika kama...
  4. Cie

    Ufugaji wa Kuku wa Kisasa: Fahamu Mbinu, Faida, Changamoto na Masoko

    sawa boss nitakuwekea picha za vifaranga
  5. Cie

    Ufugaji wa Kuku wa Kisasa: Fahamu Mbinu, Faida, Changamoto na Masoko

    wafugaji wenzangu, kwa wale wanaohitaji vifaranga vya kuku wa kisasa wa nyama Broilers wasiliana nami kwa kutuma private message (inbox me) Karibu
  6. Cie

    Ufugaji wa Kuku wa Kisasa: Fahamu Mbinu, Faida, Changamoto na Masoko

    Kwa wale wanaohitaji vifaranga vya kuku wa nyama (Broilers) inbox me
  7. Cie

    Ufugaji wa Kuku wa Kisasa: Fahamu Mbinu, Faida, Changamoto na Masoko

    Kwa wale wanaohitaji vifaranga vya kuku wa nyama (Broilers) inbox me
  8. Cie

    Nyumba inapangishwa Moshi eneo la Soweto

    Nyumba ya vyumba vitatu (including Master Bedroom) Moshi manispaa eneo la Soweto karibu na hospital ya St. Joseph...Nyumba ina servant quarter imezungushiwa fence na ina geti. inbox au tuma private sms au simu 0787 930430 kwa maelezo zaidi
  9. Cie

    Nguruwe wa mbegu na nyama

    nilikuwa nahitaji dume la mbegu na jike la mbegu...unauzaje...nipo bagamoyo karibu na Baobaob sec...ni inbox kwa maelezo zaidi
  10. Cie

    Ufugaji na kilimo unalipa sana

    Hongera sana Mkuu...Habari nzuri hii inatupa moyo wengine ....nimeanza kufuga nguruwe sasa ....soko lake niaje?
  11. Cie

    Ufugaji wa Kuku wa Kienyeji na Masoko yake

    Kwa wale wanaohitaji vifaranga vya kuku wa kienyeji wanaojulikana kama chotara ... wasiliana kwa namba 0787 930430 -- Lucy Karibuni
  12. Cie

    Marketing Executive is urgently needed in Dar es Salaam

    Additional information: Working hours: Monday - Friday from 08.00 - 17.00
  13. Cie

    Marketing Officer anatakiwa Dar katika Training co inayokuwa kwa haraka sana

    Anatakiwa mtu wa Marketing katika Training Company inayokuwa kwa haraka. Vigezo na masharti: Awe mchapa kazi, mbunifu na nidhamu ya juu ya kazi. Awe na uzoefu wa kufanya marketing angalau miaka mitatu. Mshahara ni mzuri na Ukivuka malengo unapata bonasi. Siku za kazi ni Jumatatu hadi Ijumaa...
  14. Cie

    Marketing Executive is urgently needed in Dar es Salaam

    Marketing Executive is urgently needed in Dar es Salaam. Skills required: Drive and determination; be creative to marketing; good negotiating and interpersonal skills; a high standard of computer literacy. At least three years experiences in the field. Attractive salary package. Send your CV to...
  15. Cie

    Marketing Executive is urgently needed in Dar es Salaam

    Marketing Executive is urgently needed in Dar es Salaam. Skills required: Drive and determination, Creative to marketing trainings, good negotiating and interpersonal skills, a high standard of computer literacy. At least three year experience in the field. Attractive salary package. Send your...
  16. Cie

    Nyumba inapangishwa MOSHI

    Imeshapata mpangaji
  17. Cie

    Nyumba inapangishwa MOSHI

    nyumba imepata mteja kwa bei ile ileeeee.... Amsterdam unaitaji mgao:clap2::wave:
  18. Cie

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    Mtu mwenye kuipenda Tanzania ni yule anayejali maslahi ya nchi yake na sio wale wanaokwiba fedha za walala hoi kwa kutengeneza migao ya umeme
  19. Cie

    Nyumba inapangishwa MOSHI

    pooole ...hahahahahah ni wewe usie nazo hizo ndo wapata shiiiiiiida kwa taarifa wapo wanaopanga hadi 500000 hapa hapa moshi
  20. Cie

    Nyumba inapangishwa MOSHI

    ina vyumba vitatu vya kulala + master bedroom, public toilet, kitchen, dinning na big sitting room. Pia ina servant quarter. Shs. 300,000/- kwa mwezi
Back
Top Bottom