Tunakuja Zenji hivi punde,usijali mkuu.Chama chetu ni mikakati na muda ukifika,chombo kitakuja huko tu. M4C is for the whole of Tanzania na kila sehemu itafikiwa kabla ya 2015 hivyo CCM na wapambe wao CUF hawana pa kujificha.
Hata rais kikwete na waziri Pinda kutokujua kwanini wananci ni maskinini CHADEMA inahusika.Hata kwapo kwa nyoka wenye ndimi mbili ndani ya CCM ni CHADEMA inahusika.Hata rushwa kwenye chaguzi zao za ndani, CHADEMA inahusika.Hata rais kuwataka CCM wasitegemee polisi kuwatetea dhidi ya hoja za...
Ahaa! Sasa naanza kupata maana ya CCM ambayo imejificha.Watu wa inteligensia ya mwema na wale wa ssit watakubaliana nami kuwa CCM ni CHAMA CHA MADUDU aka CHAMA CHA MAOVU,muungano wa watu wenye uroho wa mali na kazi yake kubwa ni kuhujumu uchumi na kuongeza umaskini wa wengi lakini wamejiingiza...
Lucas usiogope nginja nginja dhidi ya chama cha majoka kwani ninyi ni wenye ndimi mbili.Enyi kizazi cha nyoa, wana wa majoka,mtaifilisi nchi yetu hadi lini?Tukimaliza zomea zomea na nginja nginja itafuata gwila gwila.
Mtasema sana,mtaweweseka sana,chadema itazidi kuwachana.Mbowe ni mwenyekiti wetu na anazungumza lugha yetu ambayo wageni msio wakwetu hataielewa.Siasa zetu si za kubishana,ukweli twaambiana na tofauti zetu twavumiliana kwani upinzani si kuchafuliana bali mchafu ni kwa uchafu wake tu.Kwa taarifa...
Wewe kiranga umefanya kwotesheni gani kwenye lawama zako au nalo ni swali la kibongobongo tu?
Wana jf jueni kuwa twendwa hakufanya vile bila ya kutendwa na si ajabu akakanusha kuwa hakutoa agizo hilo au amekaririwa vibaya. Cdm hawezi kuitenda kitu naye atabaki wa kutendwa tu na ccm.
Kwa mara nyingine tena, mheshimiwa Rais wetu ambaye anaweza kuingia kwenye vitabu vya jines kwa rekodi yake ya kushindwa kuwachukulia hatua wahalifu ambao anadai kuwajua wakati anayo mamlaka ya juu ya nchi, ameongeza msamiati mwingine kwenye kiswahili; 'nginjanginja'. Baada ya kulikosa kwenye...
Ni vema atafute haki lakini kwa mfumo wetu, nahisi itakuwa kama kesi ya jenerali Kombe, yaan kupewa fidia vihela vichache na kisha mheshimiwa atatumia mamlaka yake kuwaachia huru watu wake kwani walikuwa wanatekeleza majukumu ya invisible characters waliowatuma.Kamhanda anajua hili na ndio maana...
Kama ulikuwa hujui,TAKUKURU ni TAasisi ya KUzuia KUpambana na RUshwa.
Kazi yake kuu ni kuzuia mapambano dhidi ya rushwa na ndiyo maana iliisafisha richmond na ikamsafisha Chenge.
Hiyo ni janja ya kuwapumbaza wananchi tu ili wenyenchi waendelee kuila na kuifilisi.
kwa kifupi, TAasisi ya...
We unashangaa ya Mbowe, mimi nimeona msafara wa ikulu ukiwa na mabango ya CCM na mmoja wa waliokuwemo alituambia kishabiki 'mtaisoma hiyo' pale mlimani city.
Sijui kwa upeo wako hii nayo unaisemeaje kama si mnazi wa CCM.
CDM wanaonekana kuunga mkono vurugu na udini,ni mtazamo tu,si lazima iwe hivyo.
CCM wanafanyavurugu hata kutoleana bastola na wanachochea udini hata kwa ilani yao ya uchaguzi,ni uhalisi tu,hivyo ndivyo ilivyo.
Inahitaji hata kB 1 ya ufahamu kuona tofauti kati ya CDM na CCM.
CHADEMA ni chama cha...
HIZI NI KAMPENI MFU ZA CCM NA VIKARAGOSI VYAKE.CHADEMA TU MAKINI NA HATUJAANZA MCHUANO HATA WA MWENYEKITI WA KITONGOJI. HATUNA MAKUNDI AU TIMU KAMA WAO NA SOTE NI JESHI MOJA LA KAMPENI YA USHINDI CHINI YA KAMANDA MKUU MBOWE NA TUTAPAMBANA NAO KATIKA UWANJA WA KIDEMOKRASIA NA SI VINGINEVYO.
TUKO...
Wanajamvi naomba mtumie lugha nzuri kwani si waislamu wote wenye mawazo hayo na nina hakika hiyo alhamisi haitakuwa kwa wanafunzi wote,labda watoto wa huyo shehe tu.
Kwa habari ya kuungwa mkono, sidhani kama mkuu wa nchi anahusika au anawaunga mkono kwa vyovyote vile kwani anajua alisoma na...
Karibu kwetu chadema,Karibuni Bagamoyo,
Pekeee ni chetu chama, kututuliza mioyo,
Kwa wababa na wamama, vilema na vibogoyo,
CCM ipate zama, dua yetu ndiyo hiyo.
Karibuni magomeni, wananchi tuwashike,
Awape nguvu manani, Chalinze yote mteke,
Mkoa wote wa pwani, Ngome kuu ijengeke,
Kuwa chama...
Mwalimu wa history na economics? Haiingii akilini mwalimu wa historia asijue historia hata ya nchi yake.Ni aibu zaidi kama 'mwalimu' anagundua ulimi uliteleza baada ya siku kadhaa.Nadhani tatizo ni gamba juu yake limekuwa gumu sana.Chama chake ni cha magamba hivyo si ajabu kuwa hivyo.
Hivi hiyo...
'The way out hapa ni kuiondoa ccm madarakani ili tuwe na a fresh start, ccm ndio wameharibu kila kitu kwenye hii nch. WAMEDUMAZA ELIMU, HIVI UNADHANI KAMA NCHI TUNAWEZA KUFANYA NINI BILA ELIMU??? Nchi zilizoendelea zinathamini elimu na utaalamu, sisi ndo kwanza elimu imejaa mizengwe. wasomi...
Cdm haina sera ya matusi hivyo wanachama wake jihadhalini na mtego huu wa chama cha matusi msiwe wafuasi wake pasipo kujua. Waelezeni wapinzani wetu sera zetu kwa hoja na baadae watagundua kuwa CDM si kama wadhanivyo kuwa ni wachaga na kanisa bali cha watu wote wapenda haki na maendeleo endelevu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.