Search results

  1. sirdelta

    Makanisa yaliyopo Tanzania yakiamua yanaweza kujenga viwanda

    Kweli tumeshindwa kupata watu binafsi au wawekezaji mpaka tunataka makanisa ... tunarudi zama zile za wamissionari ....aaahhhhh ...Kanisani Kazi yake ni kuhubiri na kuleta amani. Tujijemge wenyewe na think tank wetu tutafika mbali
  2. sirdelta

    Mapenzi ya wanawake watu wazima ni matamu sana

    Sasa imagine uko isolation naeeeee kwa siku 14 tu
  3. sirdelta

    Je, ni kweli ukioa mwanamke Mtutsi lazima apandikize mtoto wao kwenye watoto wako?

    Aahhh ukiona unatembelewa na makak kibao kwako ujue waume wenzio
  4. sirdelta

    Shamba la zabibu Dodoma

    Dm plz nahitaji kuja liona
  5. sirdelta

    Sandstorm

    The dust devil
  6. sirdelta

    Taratibu gani nifuate nipate kibali cha kusafirisha mazao nje ya nchi?

    Nami napenda kujua hii kitu Sent using Jamii Forums mobile app
  7. sirdelta

    Simulizi ya Safari yangu ya kupanda Mlima Kilimanjaro

    Nataka kupanda naomba muongozo wa mazoezi Sent using Jamii Forums mobile app
  8. sirdelta

    Nakodisha mabasi kwa ajili ya safari/ shughuli

    Wanajamvi karibuni mniungeee mkono nakodisha mabasi kwa safari/ shughuli ( harusi,misiba,picknic,familytour,) zozote ndani na nje ya Tanzania Tuna Toyota coaster na Hino rainbow Ya abiria 28 na 45 ...full a/c, TV, fridge, na madereva wazoefu tupigie kwa namba +255 656 432 342 tunapatikana...
  9. sirdelta

    Route ipi nzuri kwa daladala mikoani

    Nahitaji kujua route IPI nzuri kwa basi abiria 45 hususan mikoani Asanteni
  10. sirdelta

    Dada wa kazi wa jirani yangu ananitafuta ubaya..!!

    Hawana akili hao ...Sasa hivi atakuambia ana mimba yako
  11. sirdelta

    Bei ya Dhahabu

    Naitaji kujua Bei ya dhahabu kwa Sasa na wapi walipo wanunuzi
  12. sirdelta

    Ivi mwanamke anayekupenda kweli anaweza kukunyima papuchi mpka siku atayoamua yeye au atakavyojisikia kukupa

    Papuchi ndio mahusiano mengineyo Ni mahaba tu Ukinyimwa ..jiongezeeeee
Back
Top Bottom