Search results

  1. L

    Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    hakika,Iryn anampenda sana Insider na next step ni umiliki.Anataka atambulike...what a strateguc move.. hata France sidhani kama ataenda ishi.Seems hawezi kuwa mbali na ntuwe
  2. L

    Tumefikia huku? kwamba mzazi anapata taarifa ya kifo cha mtoto kwenye soshomedia?

    Kwa hiyo inahalalisha kutoa taarifa kizembe hivyo?
  3. L

    Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    Iryn is very strategic...taratibu anaingia kwa Mama INSIDER MAN na Mama atamkubali
  4. L

    Ni wakati wa Musonda kuondoka Yanga

    Nakubaliana nawe...kuna ile mechi na Mamelodi ya marudiano alijitoa mno
  5. L

    Mambo 10 niliyoyaona leo Yanga Vs Simba

    Unawaita wa kawaida na wamekutoboa mara mbili..umetoka sayari gani ww
  6. L

    Ndoto ambazo nimekuwa nikiziota kwa muda mrefu sasa na kiukweli zinanitesa sana

    Kwa uelewa wangu mdogo...hizo zote mbaya..tafuta msaada wa maombi
  7. L

    Rais Samia kuwaongoza Watanzania katika kumbukizi ya miaka 40 ya kifo cha Waziri Mkuu mstaafu Hayati Sokoine

    Yawezekana ni njja ya kuwapoza Wamasai waliofukuzwa Ngorongoro
  8. L

    Tafakuri: Madaktari bingwa wa wanawake kuwa wanaume imekaaje?

    Wahimize mabinti zako wawe Gynecologists
  9. L

    Tafakuri: Madaktari bingwa wa wanawake kuwa wanaume imekaaje?

    Kwani mwanamke kwa Daktari anafuata huduma za kitabibu ama mengineyo?
  10. L

    Nayo ni hisani ya Rais Samia?

    Anawezeshaje?...
  11. L

    Kaa kimasta kijana, hisia sio mzigo mzuri kwako

    Some peoole think uanazme ni kuvaa suruali...it goes beyond that
  12. L

    Huenda Christina Shusho amechanganyikiwa au amelogwa?

    Daah..umeongea kweli,walioitwa na Mungu hawajaitika ila walijiita ndo wako front
  13. L

    Huenda Christina Shusho amechanganyikiwa au amelogwa?

    Kuna Miungu wengi ndo maana Biblia inasema tusiiamini kila roho bali tuzijaribu hizo roho kwamba zimetokana na MUNGU
  14. L

    Dada niliyekutana naye JF akawa mpenzi, leo tumetendana vibaya

    Mwanamke akikuumiza hisia zako bora move on,au kama ni lazima umuumize better find alternative ways,lkn kumla tigo mtu ambayesi tabia yake ni unyama,binti ama dada zako wakifanywa hivyo how will you feel?
  15. L

    Ewe mwanaume mwenzangu usitoe msaada wa pesa kwa ndugu yako au mtu yeyote mbele ya mke wako

    na ndo maana Abraham hakuomba ushauri kwa Sarah kuhusu kumtoa Isaac...kuna funzo kubwa hapa
  16. L

    Hukumu ya kesi ya ndoa inakaribia kusomwa, anataka tugawane mali wakati alinikuta nimesimama. Sitaki hilo litokee, nachanganyikiwa

    Sheria iko wazi sana,sio kila mazingira ya kuachana mgao huwa 50/50.Toka kesi inaanza ulitakiwa umshieikishe Mwanasheria
  17. L

    Sheikh Ilunga Hassan Kapungu 1957 -2014

    Mna Rais Muisilamu,viongozi wakubwa wakubwa Waisilamu..sasa si muuondoe?,
Back
Top Bottom