Maswali unayouliza hayana mashiko kabisa. Ni bahati mbaya sasa umekosa hata chembe ya hekima na busara katika kufanya shughuli hiyo ya umma. Ingekuwa ni kampuni yako binafsi hakuna ambaye angepiga kelele lakini kwa kuwa unakalia ofisi ya umma, just count on me, you wont take time. Hiyo dosali...
Inaonekana Lowassa anawauma watu sana. Mwacheni mwenzenu aendeleee kujisafishia njia ya kwenda Jengo Jeupe. Wakati nyie mnalilia tu na kumsema sana, yeye amekaa kimya anaendelea kuchanja mbuga. Sasa hivi watanzania, wanajua vizuri nani ni mpiga porojo tu nani ni mpiga kazi. Ikifika 2015...
Viongozi wa TBC lazima mtambue kwamba chombo hicho kinaendeshwa kwa kodi yetu wananchi. Kwa nini leo mmekatisha matangazo ya moja kwa moja bungeni wakati wananchi wakiwa na hamu ya kujua kinachoendelea kuhusu uamuzi wa naibu spika wa kumtoa Mhe. Tundu Lissue nje? Laana ya matendo yenu itawafuata...
Hakika ni shetani tu anayeweza kufanya hujuma hii dhidi ya binadamu. Naamini ipo siku Mungu atafunua uovu wote huu hadharani na watanzania wote tutashuhudia.
Ndugu zangu wanajamvi,
Kama kuna jambo ambalo nimebaini limewagusa wengi ni vifo vya ndugu zetu wawili waliobanwa na lori lililopata ajali kwenye barabara ya Morogoro - Chalinze. Jambo linalowasikitisha wengi ni kwamba taarifa za kubanwa kwa ndugu zetu hao chini ya lori zilitolewa mapema...
Jamani jamani jamani ndugu zangu watanzania, ccm ifanye uovu gani mtambue kuwa hiki siyo chama cha siasa bali ni kundi la majambazi wenye lengo la kuiangamiza nchi hii??????? Hivi angekuwa Mkuu wa Mkoa au Wilaya au kiongozi yeyote wasingemwokoa? Kweli ndugu zetu wanakufa huku wanajiona na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.