Mahakama Kuu imeiamuru Bodi ya Uchaguzi kutotangaza matokeo ya Urais hadi kura kutoka kwenye theluthi ya Majimbo zirudiwe kuhesabiwa
Hii ni baada ya chama kikuu cha upinzani, Malawi Congress Party(MCP) kwenda kushitaki wakidai kuwepo hali ya sintofahamu katika matokeo ya majimbo 10 kati ya 28...
Serikali kukatia rufaa uamuzi wa Mahakama ya Afrika Mashariki kuhusu vifungu vya Sheria ya Huduma za Habari ambapo imetakiwa kuhakikisha vinaendana na Mkataba wa Jumuiya Ya Afrika Mashariki
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe amesema Sheria ilitungwa na...
Gunfire was heard near the main military base in the Comoros capital on Thursday, hours after opposition candidates announced plans to unseat the president whose re-election this week they reject as fraudulent.
President Azali Assoumani was declared the winner in Sunday’s election with more...
Watu wenye silaha wameua takribani wafugaji 134 toka kabila la Fulani, katika shambulio la kikabila
Mauaji yametokea katika vijiji vya Ogossagou na Welingara huku Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa likiwa limetembelea Mali ili kupata suluhu ya machafuko yaliyosababisha vifo vya mamia ya raia...
Mkuu wa Mkoa wa Rukwa mh. Joachim Wangabo amemuagiza Kamanda wa Polisi Mkoa wa Rukwa ACP Mathias Nyangi kuhakikisha anafanya msako wa waganga wa kienyeji katika mkoa na kuwakamata wale wote wanaofanya uganga wa kienyeji bila ya kuwa na leseni halali za kuwaruhusu kufanya shughuli hizo.
Ametoa...
Wanamgambo wa Al-Shabaab wavamia jengo la Serikali Jijini Mogadishu na kuua watu takribani 11 akiwemo naibu waziri wa ajira.
Shambulio hilo la risasi lilitokea muda mfupi baada ya shambulio la kujitoa mhanga kwenye gari lililotokea karibu na jengo hilo.
Al-Shabaab wamekiri kuhusika na...
Chama cha Wananchi (CUF), Wilaya ya Tanga, kimefungua kesi mahakamani kwa ajili ya kuwachukulia hatua za kisheria waliokuwa wanachama wa chama hicho waliohamia Chama cha ACT- Wazalendo kwa madai ya kuchoma bendera na kadi za chama hicho.
Hayo yalibainishwa jana kwenye kikao maalumu...
Serikali imewahakikishia wajumbe wa kamati ya kudumu ya Bunge ya Kilimo, Mifugo na Maji kuwa kufikia tarehe 31 Machi 2019 wakulima wote watakuwa wamelipwa fedha zao kwani uhakiki umekamilika kwa kiasi kikubwa.
Hakikisho hilo mbele ya kamati hiyo limetolewa leo Tarehe 16 Machi 2019 na Waziri wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.