Search results

1. M

Ikulu sio usukani wa kurudishia visasi

Hivi kweli ukawa mmekosa mtu mpaka mpokee mtu ambaye nyie wenyewe mlikuwa mstari Wa mbele kusema ni Fisadi Tena mkazunguka nchi nzima mnisema wananchi wasimchague...leo hii mnamuona msafi eti sababu mnaichukia ccm...hata mfanye nini Lowasa hawezi kumfikia magufuli kwa utendaji,kupendwa na...
2. M

Ikulu sio usukani wa kurudishia visasi

HIVI NDIVYO LOWASSA ALISHIRIKI RICHMOND *********************************** *Nyaraka zaonyesha kila hatua aliweka mikono yake. *Uthibitisho wa kuibeba Richmond watolewa peupe. *Kumbe ndiye aliipora Tanesco kazi ya kusaka mzabuni. *Wizara ya Nishari na Madini ilisubiri maamuzi yake...
3. M

Ikulu sio usukani wa kurudishia visasi

HIVI NDIVYO LOWASSA ALISHIRIKI RICHMOND *********************************** 26th October 2009 *Nyaraka zaonyesha kila hatua aliweka mikono yake. *Uthibitisho wa kuibeba Richmond watolewa peupe. *Kumbe ndiye aliipora Tanesco kazi ya kusaka mzabuni. *Wizara ya Nishari na Madini ilisubiri maamuzi...
4. M

Nyumba inauzwa

Nyumba inauzwa maeneo ya Tabata Segerea karibu na kanisa la kkkt,ina vyumba vinne vya kulala na vyoo vta ndani pia,ina sebule pamoja na dining room,ina fensi ya ukuta wa kisasa,ina maji na umeme pia.kwa ulinzi na huduma zote za kijamii zinapatikana karibu,iko sehemu nzuri kwa wote wenye magari...
5. M

Mama leah timber supplier

Tunauza mbao za aina zote...za kuchemshwa (za dawa au treated) na zisizochemshwa..kwa maelezo zaidi wasiliana na namba zifuatazo 0715292319 au 0719352293 .Ukihitaji...tafadhili ni PM (Private Message)
6. M

Shukrani zangu kwenu wanajamii forum katika sector hii

sijaliona hilo tangazo kwenye rules za jr...au lipo wapi mheshimiwa ili nilisome zaidi.nitashukuru ukinielekeza.
7. M

Difference of these two courts

"District court na Resident court.. ni mahakama zenye mamalaka sawa,na hakimu wanaohusika katika mahakama hizi wana elimu sawa yaani wote wana degee ya sheria...tofauti inakuja kwenye kusikiliza kesi za jinai.kwanini District court zimepewa mamlaka hayo na Resident court hazijapewa hayo mamlaka...
8. M

Shukrani zangu kwenu wanajamii forum katika sector hii

"Nashukuru sana kwa wale wote ambao walifanyia kazi Tangazo ambalo nililitoa hapa miezi michache ya nyuma,kwani watu mbalimbali wamekuwa wakipiga simu na kuulizia zaidi na wengine wamefika kabisa katika ofisi zetu na kuhudumiwa vizuri!.... Ninawashukuru sana kwa kuwa tumeaminiana bila kuonana...
9. M

Mbao!mbao!mbao!na vifaa vingine vya ujenzi soma hapa!

mheshimiwa sisi sio madalali....hii ni ofisi na inashughulika na maswala ya ujenzi!tunavuna kutoka kwenye msitu wa serikali wa Mafinga Iringa na pia misitu ya watu binafsi Mfindi!.kwahiyo huna haja ya kuhisi utaibiwa au kuna udalali unafanyika.....hapa unaongea na ofisi.
10. M

Mbao!mbao!mbao!na vifaa vingine vya ujenzi soma hapa!

MH.nguzo za umeme na bei yake 1.mita 13 sh:300,000 2.mita 12 sh:280,000 3.mita 10 na mita 9 ni sh:200,000 na oda pia tunapokea!.
11. M

Mbao!mbao!mbao!na vifaa vingine vya ujenzi soma hapa!

jamani...maelezo yote nimetoa mwanzo!mawasiliano nimetoa...na nikasema kwamba kwa maelezo kama hayo unayoyauliza tuwasiliane kwa namba hizo hapo juu...kama zisingekuwepo basi ningefanya hivyo!inamaana nikikutajia bei hapa hutaitaji kupunguziwa?hili ni tangazo na kwa maelezo piga namba hizo...
12. M

Mbao!mbao!mbao!na vifaa vingine vya ujenzi soma hapa!

nguzo zina ujazo tofauti,sawa urefu futi hizo je ujazo unataka upi? ndio maana nikasema tuwasiliane ili tueleweshane vizuri.na hii ni biashara ya muda mrefu hivyo wizi haupo kila kitu kimesajiliwa na risiti ya kupita nazo barabarani utapewa mkuu.
13. M

Mbao!mbao!mbao!na vifaa vingine vya ujenzi soma hapa!

unahitaji saizi gani?
14. M

Mbao!mbao!mbao!na vifaa vingine vya ujenzi soma hapa!

JAMANI SITANII...am serious!
15. M

Mbao!mbao!mbao!na vifaa vingine vya ujenzi soma hapa!

2 by 4 kwa mita moja shilingi 2300,2 by 2 mita moja shilingi 1150.2 by 6 kwa mita tunauza 3300.FISHERBOARD 12000 kwa piece moja ya nane,moja ya kumi shilingi 16000 kwa piece.
16. M

Mbao!mbao!mbao!na vifaa vingine vya ujenzi soma hapa!

asante kwa txt yako na kwa kujali pia....tafadhali naomba wasiliana nasi kwa namba hizo hapo juu.
17. M

Mbao!mbao!mbao!na vifaa vingine vya ujenzi soma hapa!

nashukuru kwa txt yako...ila naomba uwasiliane nasi kwa namba hizo hapo juu!
18. M

Mbao!mbao!mbao!na vifaa vingine vya ujenzi soma hapa!

kwanza asante sana kwa txt yako!iko hivi,,,hatuuzi kwa piece...tunapima kulingana na urefu wa ubao..vipimo ni mita na futi!kwa maelezo zaidi tafadhali wasiliana nasi kwa namba hizo hapo juu.....
19. M

Mbao!mbao!mbao!na vifaa vyote vya ujenzi soma hapa.

kwa upataji wa vifaa bora vya ujenzi ambavyo ni 1.mbao za aina zote ambazo ni treatedtimber na syplus 2.hardwood yaani mbao ngumu...ambazo ni mninga,mtondoo,mlingoti na mkongo 3.gypsum za kutoka thiland,china na tanzania 4.singboard,misumali na rangi. 5.mabati ya kutoka kiwanda cha arafa,ya aina...
20. M

Mbao!mbao!mbao!na vifaa vingine vya ujenzi soma hapa!

KWA WATU WOTE WANAOHITAJI VIFAA VYA UJENZI AMBAVYO NI:
1.MBAO ZA AINA ZOTE....TREATEDTIMBER MBAO NGUMU NA SYPLUS
2.HARDWOOD YAANI MBAONGUMU AMBAZO NI...MNINGA,MKONGO,MTONDOO,MLINGOTI
3.GYPSUM KUTOKA THILAND,CHINA,TANZANIA
4.SINGBOARD,MISUMALI,RANGI,CEMENT ZA...
Back
Top Bottom