Hivi mnajua hata wizara husika ilisha choka tangu zamani?kila mara wanabadili mfumo wa elimu na ilipo choka zaidi ni walipoamua kutoa mitihani yenye majibu ya kuchagua yote,hata asiyejuwa kusoma ameshedi vizuri,je hatafaulu?hebu Wizara husika itulie,itafakari ijaribu kuleta maboresho.Kwanza iwe...
Tanzania sio nchi Masikini,tuna mlima Kilimanjaro unoingiza fedha nyingi za kigeni,madini pekee ya tanzanite,nk.Tatizo letu ni usimamizi mbovu,siasa chafu,uongozi usio bora,tamaa ya kujilimbikizia mali,kukosa uzalendo mfano mchanga wenye madini kusafirishwa nje,kwani wenye mamlaka hamuoni?zaidi...
kwani zina chukuwa muda gani?kwa maelezo zaidi ni kwamba ukianzia hiyo tarehe 6,hesabu siku 12 mbele ambayoo itakuwa tarehe 17/12 kuanzia hapo ni siku nzuri hadi tar.24/12 kwa maelezo zaidi piga simu na.0684023898
Kwanza kabisa wanasema sindano 1 huzuia kupata mimba kama mwaka mmoja,kwahivyo itabidi awe mvumilivu kwa muda na pia atumie chai ya tangawizi ili kuwezesha siku zake zikae vizuri au aende hospital kusafishwa kizazi
Nadhani rais ajaye itabidi awe Mkapa kupitia chama kingine cha siasa,maana vyama vilivyopo vimefilisika sera,vinginevyo bora jeshi litengeneze nchi kwanza.
"Wanangu msijali ninakwenda safari,nikirudi nitawaletea pipi"Bado tunasubiri pipi(maisha bora kwa kila Mtz)tulizoahidiwa zitakuja lini?au baba hajarudi? Ila inaonekana amerudi na ametuletea pipi zenye ladha ya ndimu na ukwaju ambazo ni mfumuko wa bei,migomo,maandamano,vurugu za kidini,madai ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.