Search results

  1. emedichi

    Ndoa ndoano: Nilienda Kumzika Ibilisi Wangu

    sijajitangazia umiliki wake, pia sijajua kama hii imewekwa na mtambuzi tayari ila niisoma ikaniuma. I thought it is not bad to share it
  2. emedichi

    Ndoa ndoano: Nilienda Kumzika Ibilisi Wangu

    KUNA STORI HAPA NIMEKUTANA NAYO. KAMA NI KWELI, BASI KUMUAMINI BINADAMU NI KAZI NGUMU SANA. Nilienda kumzika ibilisi wangu! Ilikuwa ni ajali kubwa na hata mimi sijui niliweza vipi kupona. Dereva na mke wangu walifia pale pale kwenye eneo la tukio. Tulikuwa tukitokea Chalinze kurudi Dar...
  3. emedichi

    Ufugaji wa kisasa wa Nyuki: Faida, Utaalam na Masoko

    Ninataka kujikita rasmi kwenye ujasirimali ambao hautakua na risk kubwa. Nimefikiri Ufugaji wa Nyuki unaweza kuwa na tija kwa sababu hawahitaji chanjo, maji, umeme, ni kuweka mzinga na kwenda tu kuvuna kila inapojaa. Ni nani mwenye taarifa kuhusu mradi kama huu? - Ni wapi hasa kunafaa kwa...
  4. emedichi

    Zimbabwe: The turmoil, reconciliation, and the future!

    file:///home/student/Desktop/Zimbabwe.jpg
  5. emedichi

    Kikwete siyo safi! - yes I said it!

    Hapa kweli iko ISHU NZITO. Hawa wanangata na kupuliza sidhani kama wana tofauti wakoloni. Mkoloni alijulikana rasmi kuwa ni mnyonyaji, mkoloni wa leo anajiita ndugu, anafanana na sisi, tukilia njaa analia na sisi angali yeye ndio chanzo. Mmechuma lakini hatutawaacha mle kwa amani. Mafisadi wote...
  6. emedichi

    Wanasiasa: Kwa nini mnaficha majina yenu humu ndani wakati tunajua mpo?

    Naona kuna wenye sura za Mkapa, Lowasa nk. Nani ana uhakika ndio wenyewe? Wakitaja utathibitishaje ndio haswa na sio bandia? Anza kutaja jina lako kamilin wewe, uliko, unafanya kazi gani nk. Tukutambue.
  7. emedichi

    Wanasiasa: Kwa nini mnaficha majina yenu humu ndani wakati tunajua mpo?

    Hakuna haja ya kutaja majina. Makombora ndio muhimu. Wachukue maoni yanayotolewa huku wayafanyie kazi. Kama wana mada tata waianike wapate mawazo. Sidhani kama jina litasaidia chochote. Hata hivyo wanawezajitokeza watu bandia wakijidai ni wanasiasa fulani. Utajuaje kama wanadanganya? Hoja tu...
  8. emedichi

    Why did he divorce her?

    NImeikubali mkuu,
  9. emedichi

    The War Crimes Charges Against Al Bashir

    MJJ INAELEKEA HUU MGOGORO HUJAUFUATILIA VIZURI. Ni kwamba Bashir alishashinikizwa na umoja wa mataifa asitishe mauaji darfur. Kuna resolution 1706 ya baraza la usalama ambalo lilizitaka nchi ntyingine kuweka vizuizi vya kibiashara Sudan ili Bashir aridhie. Lakini hili limekua resolution bubu...
  10. emedichi

    Rostam Aziz of New Habari Corporation: The facts

    Baba Mkapa, na wewe fuata nyayo za Rostam. JItokeza ujitetee na hasira ya wananchi dhidi yako itaisha.
  11. emedichi

    Rostam Aziz of New Habari Corporation: The facts

    He claims to stand for the people, let the people's court remind him of his responsibility. Jitihada za kujisafisha hizi lakini ukurutu uliokolea kwa miaka mingi hauwezisafishwa kwa siku moja.
  12. emedichi

    Mzee Mwinyi awachomekea kizenji!

    mafisadi wote wanaongara kipindi hiki walilelewa kipindi chake cha uongozi. Aliacha mwanya ndio wanaufuata.
  13. emedichi

    Mzee Mwinyi awachomekea kizenji!

    Anataka kutuambia kuwa yeye hakusoma lkn alielimika ndio maana uongozi wake ulikua "BORA??" zaidi
  14. emedichi

    Mtikila, wenzake kufungua kesi dhidi ya mafisadi

    Kila kesi anayofungua huyu huanza kwa kishindo then huishia hewani
  15. emedichi

    Je, Viongozi wa Idara ambao ni Wachagga waachie ngazi!??

    Baadhi ya Mafisadi wakuu wa Tanzania: 1) Edward Lowassa.......Mchaga? 2) Daudi Balali...............Mchagga? 3) Nazir Karamagi............Mchaga? 4)Andrew Chenge.............Mchagga? 5) Nazir Karamagi.............Mchaga? MJJ UMESAHAU: Wachaga wote walioko Muhimbili na mahospitali...
  16. emedichi

    DR. USIJEINYWA HIYOO NI FEKI -Mamlaka ya Chakula

    Zote hizi TOILET CLEAHERS. Hasa ikishakuwa imetoka kiwandani. Wenyewe wanaotengeneza hawanywi!
  17. emedichi

    DR. USIJEINYWA HIYOO NI FEKI -Mamlaka ya Chakula

    Mtaalamu mmoja aliziita hizi zote ziwe zimethibitishwa au la ( coca cola, pepsi, mirinda, nk. Bia zote ) kuwa ni TOILET CLEANERS! risk ya kiafya iko kote, hasa kwa sababu ya kemikali.
  18. emedichi

    Foreign investor in racism row: "the work was never done"

    Hawa makaburu inaonekana sasa hivi wanataka kutufanya kama walivyokuwa wanawafanya waafrika weusi Afrika kusini. Mandela alipotimiza miaka 90 wiki moja iliyopita aliiambia dunia kuwa " The work was never done!" Alichopigania bado kiko. What we see now is exportation South African Racism to...
Back
Top Bottom