Search results

  1. J

    sababu za TZ kushinda ICJ na MALAWI hizi hapa

    Kichwa cha habari na mada vinagongana. Kichwa kinasema sababu za Tanzania "kushinda.....hizi hapa", somo la ndani Tanzania tusiende ICJ! Is it me, who see this alone?
  2. J

    Kimenuka NHC, Wizara yamweka kitimoto Mchechu na timu yake

    Breaking news: Kamati ya Bunge Ardhi Maliasili na Mazingira imeamuru jengo pacha na liliporomoka linalo milikiwa na mbia yule yule na NHC libomolewe ndani ya siku 4 Hayo yamesemwa na Mwenyekiti wa kamati hiyo Mh James Lembeli baada ya kutembelea jengo lililobomoka leo. Katiaka ziara hiyo...
  3. J

    CHADEMA taifa vipande vipande! Soma barua hii ya Zitto

    Chama kina utaratibu wake wa kushughulikia haya, tuwe watulivu na kusubiri maamuzi ya viongozi. Tusi hukumu watu hapa hatuna facts hiyo barua yenyewe hatuna uhakika kama ni genuine au ya kutengeneza. Tuvute subra wakuu.........
  4. J

    Dr. Batilda Amsalimia Mhe. Ruto "Shikamoo"

    Huyu nae vipi....
  5. J

    Uwekezaji wa NHC - Mchechu awajibike

    Huyu owner mwingine kishatuambia "relaxed till then.." sasa sijui hii till then ina maana lile jengo pacha jirani pindi litakapo poromoka au sijui nini.... Babu wa watu wa kihindi anasulubiwa peke yake lupango huko. Bongo ni zaidi ya uijuavyo...
  6. J

    Uwekezaji wa NHC - Mchechu awajibike

    Mkuu hats off! Unapaka mavi kwa blush!
  7. J

    Kimenuka NHC, Wizara yamweka kitimoto Mchechu na timu yake

    Now you are talking.......... Umekuwa kama ndimu, hutoi maji mpaka ukamuliwe!
  8. J

    Kimenuka NHC, Wizara yamweka kitimoto Mchechu na timu yake

    Mkuu kinachotisha zaidi watu wa karibu wa Mchechu ndio hawa KUCHE aka JamiiBora, utaipata wapi "jamiibora" ikiwa maghorofa yanaanguka kila "KUCHWA"
  9. J

    Katibu wa CHADEMA kata ya Iguguno - Singida arudisha kadi

    Kweli Chadema sasa tishio, yaani katibu kata wa ushagoo huko kurudisha kadi ni big news!
  10. J

    Uwekezaji wa NHC - Mchechu awajibike

    Rudi kwa jina la awali la KUCHE na umtaje Joshi Kanji ni nani acha kuruka ruka na kubadili majina utoto huo. Nataka niku hakikishie jamaa yako Mchechu hatofanywa chochote hivyo usiwe na khofu mkate wako bado upo tu, na hao "WENYE mamlaka" hawana haja ya kusoma hapa, uozo uliopo kwenye serikali...
  11. J

    Kimenuka NHC, Wizara yamweka kitimoto Mchechu na timu yake

    KUCHE aka JamiiBora, Unapo badili majina jaribu kuwa a little bit smart, ( rejea kwenye nyekundu hapo ) Ushauri wa bure anzisha thread ya maafa ya Arusha tuwajue wa kuwajibika. Huu utoto wa kuandikisha majina mapya every now and then hausaidii katika kumtetea rafiki yako
  12. J

    Uwekezaji wa NHC - Mchechu awajibike

    Naona sasa hoja zimeisha vimebaki vioja!, wenye akili zao washakustukia unataka kumuokoa rafiki kwa kumjadili mtoa hoja badala ya hoja. Kwa hiyo sasa mada ni Joshi Kanji ni nani, kaoa karibuni, kijana sio riziki, (mkorogo) m-mbeya ana majungu yale yale alipokuwa shule nk. Endelea kuporomosha...
  13. J

    Uwekezaji wa NHC - Mchechu awajibike

    Sasa kama ningewataja hao kwa majina na kumuacha Mchechu mtu mwingine angeniuliza mbona Mchechu umemuacha! Hakuna mahala niliposema hao wengine hawahusiki bahati wengi washakamtwa na kesi zipo mahakamani, tatizo lako ni kutajwa Mchechu tu? Bahati mbaya zaidi kuliko zote ni nchi imeruhusu watu...
  14. J

    Ruvuma: Mlima wa hifadhi wauzwa bila ridhaa ya wananchi!

    Nchi yote ishauzwa seuze huo mlima wa hitombi ( majina mengine haya mtihani hata kutamka)
  15. J

    Uwekezaji wa NHC - Mchechu awajibike

    Mkuu naona umedandika Treni kwa mbele. Hao wengine ambao unadai sijawataja wengi wao tayari wapo lupango wanasubiri kesi zao, na kama unaona kuna wengine wamesahaulika hata wewe una wajibu wa kuwaanika, hapa haonewi mtu. Nimemtaja Mchechu sio kwa sababu nyingine yeyote bali ni kwa kuona...
  16. J

    Kimenuka NHC, Wizara yamweka kitimoto Mchechu na timu yake

    Watu 36 wamepoteza maisha wategemezi wao zaidi ya 100 hawajui wataishi vp wewe unaita kosa la kawaida? no wonder Mchechu anajibu kijeuri "...stay relaxed till then!..." Wafe watu wangapi ili isiwe "kosa la kawaida?"
  17. J

    Uwekezaji wa NHC - Mchechu awajibike

    Pasco, Tuwe wa kweli hapa, from the word go ulikuwa unamtetea Mchechu na mpaka sasa unaendelea kufanya hivyo, tena umeenda mbali zaidi kutaka awe Chief Secretary! ili amrithi mjomba wake Luhanjo! Mapenzi mengine ni kupitiliza.....
  18. J

    Kimenuka NHC, Wizara yamweka kitimoto Mchechu na timu yake

    Ticking bomb... time will tell.........
  19. J

    Kimenuka NHC, Wizara yamweka kitimoto Mchechu na timu yake

    Katika press conference yake ya jana Mchechu amenukuliwa akisema hayo hapo juu. Sasa swali, ikiwa watangulizi wake toka 1962 hawajaangusha hata jengo moja yeye anae pambwa hapa kuwa ni best CEO we ever had kishaangusha moja na jingine jirani na hapo hapo tuna hesabu siku tu
Back
Top Bottom