Search results

  1. K

    Naenda UJERUMANI nikuletee nini??

    niletee galaxy note three,naskia huko bei rahisi.
  2. K

    I love africa

    tafadhali naomba uniambie hiyo picha umeitoa wapi...
  3. K

    huawei ascend y300

    je,hii simu ni nzuri?.nisaidieni kwa kunipa sifa zake.Nahitaji kuinunua.
  4. K

    MSAADA:huawei ascend y300

    je,hii simu ni nzuri?.maanake nataka kuinunua..
  5. K

    lugha muhimu!!!!....

    kuna jamaa mmoja alikuwa nchi ya uarabuni.Alipo kuwa anataka kuvuta sigara yake akagundua kwamba hana kibiriti..Bahati nzuri mbele yake kulikuwa na mwarabu,tatizo likaja kwamba hajui kiarabu,basi ili aeleweke akamwambia yule mwarabu "give me JEHANNAM"...
  6. K

    usifungue hapa utashangaa

    ha ha ha haaaaa,kweli lakn...
  7. K

    Majina ya vituo vya daladala sehemu mbalimbali

    Buguruni kuna kituo kinaitwa malapa....basi gari ikikaribia kufika utamsikia konda anasema "malapa mpo? au anasema"wale wa malapa njooni mshuke",basi inakuaga balaa...
  8. K

    mazuzu

    bado cjaipata point yako....
  9. K

    mazuzu

    mazuzu watano waliambiwa watengeneze tv za maboksi,wanne wote wakatengeneza kasoro mmoja akabaki ameshikilia karatasi wakajua amepona.alipo ulizwa kwanini ajatengeneza akajibu YANGU MIMI FLAT SCREEN.......
  10. K

    msaada plz......

    jamani nahitaji kupunguza tumbo.nifanyeje??...(niwe na six parts)
  11. K

    duh!.....hii balaa

    Girl:baby lets go to the Zoo. Boy:am not yet ready to meet ur family.....
  12. K

    tejaaaaa!!...

    teja aligombana na babaake.akatoka nje akiwa amekasirika akaenda moja kwa moja hadi kwenye geti la makaburi afu akabandika picha ya babaake chini ya picha akaandika "COMING SOON"
  13. K

    Msaada jamani, please!

    duh..sawa wakuu
  14. K

    Msaada jamani, please!

    ndio preta
  15. K

    Msaada jamani, please!

    yaani ni kidogo kidogo kweli sio masiara hata ungekuwa wewe mzizimkavu na wewe father ni lazima mngeona aibu 2
  16. K

    Msaada jamani, please!

    mi nina tatizo la uume wangu kuwa mdogo.mda mwingine naona hata aibu kufanya mapenzi na msichana.juzi juzi 2 nimekataa kufanya mapenzi na demu wangu kwa kutoa visingizio kibaaao.nisaidieni ndugu zangu kwa namna yoyote ile.
  17. K

    samsung galaxy

    Asante sana mkuu.
  18. K

    samsung galaxy

    jamani wakuu,hv kati ya (galaxy y duos) na (galaxy y au galaxy young)ipi ni nzuri kuanzia kwenye speed ya internet na ufanyaji wa kazi kwa ujumla.
Back
Top Bottom