Search results

  1. Makutano Show

    Makutano Show: Exclusive Interview na Prof Ibrahim Lipumba

    Wana-JF Jumamosi hii katika kipindi cha Makutano kuanzia saa tisa mchana nitakuwa na Profesa Ibrahim Lipumba. Nitazungumza nae kuhusu mambo yanayogusa medani ya kisiasa, na pia mtazamo wake kuhusu hali ya nchi kwa sasa. Kama ilivyokuwa kwa vipindi vingine napenda kupata maswali toka hapa...
  2. Makutano Show

    Makutano Show: Exclusive Interview na Mhe. John Mnyika - Oct 06, 2012

    Kipindi kinakuwa Magic FM kuanzia saa tisa kamili hadi kumi na mbili jioni.
  3. Makutano Show

    Makutano Show: Exclusive Interview na Mhe. John Mnyika - Oct 06, 2012

    Wana-JF Jumamosi hii katika Makutano nitakuwa na Mbunge wa Ubungo kupitia CHADEMA, Mheshimiwa John Mnyika. Na kama kawaida ya kipindi tutagusa kuanzia maisha yake ya kawaida mpaka kwenye siasa. Kama ada, kipindi kinaendeshwa na maswali mengi kutoka kwa wananchi hivyo napenda kuchukua fursa hii...
  4. Makutano Show

    Makutano Show: Alichokisema Mhe January Makamba

    Wana-JF Kama nilivyowaambia Jumamosi nilikuwa na Mhe January Makamba ambapopamoja na kuelezea maisha yake ya kawaida ya kisiasa pia alijibumaswali yenu. Moja ya vitu alivyosema ni kuwa hana mpango wa kugombea Urais. Alisema anaamini nafasi ya urais inahitaji mtu ambaye amejiandaa...
  5. Makutano Show

    Makutano Show: Mahojiano Maalum na Mhe. January Makamba - Sept 29, 2012

    Wana-JF Wiki chache zilizopita nilipata udhuru sikuweza kuendesha kipindi na kukusanya maswali toka hapa JF, na sasa nimerejea. Katika Makutano Jumamosi hii natarajia kuwa na Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia Mheshimiwa January Makamba tukijadili maisha yake ya kawaida na...
  6. Makutano Show

    Exclusive Interview na Mheshimiwa Mathias Chikawe

    Jumamosi katika kipindi cha Makutano nitakuwa na Mbunge wa Nachingwea ambaye pia ni Waziri wa Sheria na Katiba Mheshimiwa Mathias Chikawe tukiongea mambo mbalimbali ikiwemo suala la Katiba mpya. Mheshimiwa Waziri anataka kupokea maswali na maoni toka JF, unakaribishwa kuuliza na yatamfikia. Pia...
  7. Makutano Show

    Exclusive interview with Mohammed Dewji

    Tuliiwea labda hukuona, kwa fida ya wengine hii hapa link ya mahojiano yote
  8. Makutano Show

    Exclusive interview with Mohammed Dewji

    Alijibu maswali yote ikiwa ni pamoja kutolea ufafanuzi kiwanja kilichokua na mgogoro
  9. Makutano Show

    Exclusive Interview: Waulize maswali Nape Nnauye na Ruge Mutahaba

    Wana-JF Kwenye Makutano Jumamosi hii atakuwepo katibu wa itikadi na uenezi wa CCM Nape Nnauye na baadae mkurugenzi wa Clouds Media Group Ruge Mutahaba. Moja ya vitu atakavyoiongelea Nnape ni kuhusu kauli yake ya kuwa CHADEMA ina wafadhili nje ya nchi na kuwa harambee ya M4C Jumamosi Serena...
  10. Makutano Show

    Exclusive interview with Mohammed Dewji

    Katika kipindi cha Makutano Jumamosi ijayo mgeni atakaeongea na Fina Mango ni mbunge wa Singida Mjini Mheshimiwa Mohammed Dewji atakaeongea masuala mbalimbali ikiwepo maisha yake binafsi, ya kisiasa na kibiashara. Kama una swali lolote ambalo ungependa Mheshimiwa Dewji alijibu tafadhali uliza...
  11. Makutano Show

    VIDEO: Mahojiano na Mh. Zitto Kabwe katika Makutano Show

    Kwa sasa ni redioni na maswali yanasomwa hewani lakini ikifikia hatua ya kwenda kwenye TV hapana shaka yatapita maswali/maoni yenu.
  12. Makutano Show

    VIDEO: Mahojiano na Mh. Zitto Kabwe katika Makutano Show

    Asante sana itafanyiwa kazi na mtajulishwa
  13. Makutano Show

    VIDEO: Mahojiano na Mh. Zitto Kabwe katika Makutano Show

    Magic itaanza kusikika Mbeya very soon
  14. Makutano Show

    VIDEO: Mahojiano na Mh. Zitto Kabwe katika Makutano Show

    Magic FM kila Jumamosi 3-6pm
  15. Makutano Show

    VIDEO: Mahojiano na Mh. Zitto Kabwe katika Makutano Show

    Ibambasi Kwa sasa Kipanya anafanya kazi Redio nyingine si unajua mambo ya mikataba ya ajira. Nitafurahi pia kufanya nae kazi ka mara nyingine. Asante sana kwa ushauri
  16. Makutano Show

    VIDEO: Mahojiano na Mh. Zitto Kabwe katika Makutano Show

    Edson Website ya Magic FM inafanyiwa matengenzo kwa sasa lakini kabla ya kipindi kingine Jumamosi itakuwa hewani na tutaiweka hapa ili wadau wote muweze kusikiliza.
  17. Makutano Show

    VIDEO: Mahojiano na Mh. Zitto Kabwe katika Makutano Show

    Part 2 maswali karibu yote ni ya JF
  18. Makutano Show

    VIDEO: Mahojiano na Mh. Zitto Kabwe katika Makutano Show

    Shukrani Sizinga Kipindi ni kila Jumamosi kuanzia saa tisa hadi kumi na mbili jioni. Kuhusu live kwenye TV ondoa shaka liko ndani ya mipango itakapokuwa tayari nitakufahamisha. Asante sana.
  19. Makutano Show

    VIDEO: Mahojiano na Mh. Zitto Kabwe katika Makutano Show

    Wadau wa JF Nawashukuru sana wote mliochangia katika kipindi cha kwanza cha Makutano kilichorushwa Magic FM kuanzia saa tisa mchana hadi kumi na mbili jioni kwa kumuuliza maswali Mheshimiwa Zitto Kabwe na pia kutoa maoni. Nilijaribu kadri ya uwezo wangu kumuuliza maswali yenu na aliyajibu...
Back
Top Bottom