Search results

  1. H

    Hotuba za Mwalimu Julius Kambarage Nyerere

    ilikuwa mwaka 1997
  2. H

    CCM washambulia msafara wa CHADEMA, wampiga Mwandishi wa Habari, wakimnyang'anya kamera

    asante nndondo,very true and straight ngoja tupambane labda mabadiliko yatakuja kabla hatujatoka kwenye ujana ila kubwa ni kujitambua na kuweka mipango kazi mizuri ya kufikia malengo thabiti,kila kijana akiwa amejitambua na kujua anataka awe wapi lini bila kuridhika na mafanikio madogo naamini...
  3. H

    Godbless Lema avuliwa ubunge

    Inauma sana la mwisho wake hauko mbali sana,
  4. H

    Ndesamburo na Lyatonga Mrema hawatakiwi

    Fanya utafiti kijana/binti kabla ya kuja humu ndani,usije kishabiki wakati hujafika Moshi
  5. H

    CHADEMA yaibwaga CCM Arumeru Mashariki; CCM Yakubali kushindwa (Zaidi ya kura 6,000)

    Hongera Joshua,Hongera sana kijana,mungu akutie nguvu utimize wajibu wako kwa Taifa na watu wako.
  6. H

    Mwakyembe anasikitisha! Walaaniwe wanaohusika!

    duh!!pole sana Dr kama hiyo picha ni ya kweli.
  7. H

    Luhanjo: Marufuku viongozi wa upinzani kualikwa kwenye mahafali sekondari

    poor Philemon,hv ndivyo wanavyotupeleka watawala wetu,Kama kweli huyo ndiye mshauri wa Kikwete nini tutegemee??ila naamin yote tunayopitia Mungu ana jibu lake,ipo siku yenu mtajuta na kukosa pa kukimbilia----Mungu isaidie Tanzania
  8. H

    Mwenyekiti tume ya Taifa ya uchaguzi (NEC) astaafu

    Tatizo atateuliwa mwingine na mwenye madaraka naye atakuwa na ubia na chama cha kijani,suala na maana hapa ni kubadilisha katiba ili kuweka sawa utaratibu wa kuwekana kwenye kiti hicho muhimu.
  9. H

    How to increase the size of drive C of the server

    nilitengenezakwa kutumia cd ya hp wakati nafanya naset server kwa mara ya kwanza,ni hp proliant server
  10. H

    How to increase the size of drive C of the server

    Hi members, My drive C of the server if full but other partitions have enough space,and due to this some applications can not be opened?how can i increase the size of this drive?please help.
  11. H

    Serikali: CHADEMA inapewa pesa kutoka nje kuleta machafuko Tanzania

    Badilisha aina ya chakula unachokula na upepo unaopunga ili uongee point na ufikirie positive,yaani una mambo ya kizani kweli na sitaki kuamini mwanza ina mtu asiye na fikra chanya hivyo,napenda kuamini umetumwa na nia aibu sana kuwa agent wa wapuuzi,pole umepotea sana.
  12. H

    Waziri Selina Kombani (Katiba na Sheria) na Hatima ya Katiba Mpya

    yaan anamtania baba yake mume wake kama anaye na watoto wake,babu zake pia ukoo wake kwa ujumla tukianzia anapotoka,nagundua hana nidhamu hata kidogo mungu amsaidie ajitambue
  13. H

    Waoneni hawa walivyo jamani hata haya hawaoni kwa kweli

    siku yao inakuja na haiko mbali sana kwani haki haitafutwi kwa police.
  14. H

    Elections 2010 Mtikila: Viongozi wa dini wanafiki

    Asante Rev.mtikila kwa kuwa mkweli tusaidie kueneza elimu ya uraia kwa raia wetu waliobaki ambao hawajui haki na wajibu wao ktk Taifa
  15. H

    Kwa hili simuelewi JK!!!

    Nakumbuka Lowasa aliwahi kuwaambia watu wasome Kichina jimboni mwangu,nadhani ni matatizo ya kutokuwa na misimamo ya nini wanafanya,kwa sasa tunatakiwa kuboresha elimu iwe imara na si kuruka ruka na kila tunachoona kinalipa ktk sehemu moja kwan tunahitaji zaidi ya hilo.all the best JK in your...
  16. H

    Prof. Haroub Othman Afariki Dunia

    R.I.P mwalimu wetu
  17. H

    Lunyungu apata ajali

    pole sana,mungu wetu ni mwema atakuponya
  18. H

    Networking , Programing and Database

    jifunze kuondoa dhana ya kuajiriwa katika ulimwengu huu,unatakiwa kuwa fit ili ufanye projects zako mwenyewe,kama unapenda ajira sana utaishia kuchanganyikiwa mtaani au kupata waajiri wasithamin mchango wako,hvyo kuishia kulaan kwa muda uliopoteza
  19. H

    Wale wa Kibaha Sec School tujikumbushe

    umenikumbusha mbali sana mkuu Belo,nilianzia Scandia store form five,form six nilikuwa nyanza,namkumbuka Msengi,Mgina,Urio Festo,Mlata.
  20. H

    Nafasi za kazi mwezi wa 10

    Thanks a lot shy
Back
Top Bottom