wandugu naombeni kujuzwa kwa aliewah kusoma au anajua kuhusu POSTGRADUATE DIPLOMA IN EDUCATION pale udsm huwa inatolewa online au ni kawaida? Na malipo yake yakoje?
Wandugu naombeni mnijuze juu ya hili kwa mtu anaejua, mm nina first degree ambayo sio education lkn nna mpango wa kusoma postgraduate ya education je naweza pata mkopo kutoka bodi ya mikopo? NB first degree nlilipiwa na bodi 100%.
ama kweli mwisho wa roho mbaya ni aibu! Huyu jamaa na watoto zake ndo walitaka kumuua mbunge msigwa kwa mapanga na mahakama ikawakingia kifua lkn mwnyz mungu mtenda haki kaonyesha kuw wao ndo wanatakiwa wafe kabla ya msigwa. kifupi nngefurahi zaidi wangekufa na hao watoto.
kweli ww dd ni wa ajabu, kutendwa atendwe mwingine then ww uje na mi-BP yako JF, pilipili ambayo hujaila inakuwashaje ww? otherwise 2weke waz zaidi about the issue na ufafanue uhusiano uliopo kati ya hizo herufi na tabia wanazozifanya.
kaka hiki kibint kitakuburuza mithiri ya tambala la deki coz kishakusoma vzur kuwa ww ni *****, shetan alokudanganya kuwa kibint hicho kimeumbwa kwa ajili yako ww kakupoteza,kifup huduma zlivyopungua ndo kameamua kukutafuta, kama husikii endelea kukifuatilia.
Punguza jaziba mwana JF mwenzetu, mm nadhani kaa chini na huyo umpendae na umuulize ni vitu gani vinafurahisha sana nafsi yake ukimfanyia, ujue mwingine unaweza kumletea mizawadi ya gharama ukiamini atafurahi sana kumbe yy anapendelea kutoka na ww kwenda mazingira tofauti. kk kuwa mwanaume sio...
Inawezekana msichana uliyeachana nae mara ya 1 ulimpenda kiukwel na ulikuwa na malengo ya ukwel juu yake lakini yeye akakusaliti na kukuumiza sana moyo wako ,hilo ndio tatizo lililosababisha uone wote ni walewale na ni bora kuwabutua na kuweka pembeni kuliko kupenda tena. mm nakushauri tafuta...
inasemekana mshkaj alijinyonga mwenyewe, na cku moja kabla ya kifo chake alionekana akinywa pombe sana usiku na kuvua nguo zote mbele ya watu, askari wenzake walimsihi avae nguo na akafanya hivyo but saa 11-asub ndio akakutwa kajinyonga.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.