Search results

  1. DaJane

    Wadada tuwe makini. Kuna member wa kiume anaambukiza HIV kwa makusudi huku Jamii Forums

    Kaka samahani. Nataka ruhusa na idhini yake. Ili hata baadae nikipatikana niwe na pa kuanzia
  2. DaJane

    Wadada tuwe makini. Kuna member wa kiume anaambukiza HIV kwa makusudi huku Jamii Forums

    Sasa kakuuliza nani? Hujamiti au majani? Hebu usituchanganyie habari
  3. DaJane

    Wadada tuwe makini. Kuna member wa kiume anaambukiza HIV kwa makusudi huku Jamii Forums

    Mkuu iko hivi. Haya ni maisha, na kila mtu anapata ugonjwa kwa njia anazozijua yeye. Iwe kwa makusudi au bahati mbaya. Najua name calling hairuhusiwi hapa. Wala kuweka private chat wala picha ya muhusika. Ila mimi natamka hv, muhusika ambae ni blackT anipe ruhusa ya kuweka vyote hivo ili hata...
  4. DaJane

    Wadada tuwe makini. Kuna member wa kiume anaambukiza HIV kwa makusudi huku Jamii Forums

    Haikuhusu Maadam mwenyewe kaja, subiri lililokuleta. Mengine msijifanye mashabiki
  5. DaJane

    Wadada tuwe makini. Kuna member wa kiume anaambukiza HIV kwa makusudi huku Jamii Forums

    Asanteni kwa like. Naomba nitoe code kama ifuatavyo. In English kuna alphabets from A to Z. A for 1... B for 2 and so on. So 20 for? Then change Nyeusi in English word. Kisha unganisha code.
  6. DaJane

    Wadada tuwe makini. Kuna member wa kiume anaambukiza HIV kwa makusudi huku Jamii Forums

    Kule Like ziko 14....bado 6 nifungue code. Na kama uzi utafutwa kabla ya kufikisha Like 20, mtanisamehe!! Niko na nia ya kuwalinda wenzangu
  7. DaJane

    Wadada tuwe makini. Kuna member wa kiume anaambukiza HIV kwa makusudi huku Jamii Forums

    Naomba like 20 hapa nifungue code. Niko serious....sitanii. Na kama kuna mtu atakuwa anamjua, naomba awe shuhuda wa afya yake.
  8. DaJane

    Wadada tuwe makini. Kuna member wa kiume anaambukiza HIV kwa makusudi huku Jamii Forums

    Tahadhari wana Jf. Kuna member humu anaishi na virusi vya UKIMWI. Na anaambukiza kwa makusudi. Na target yake ni kuwaambukiza wadada wa Jf kwa kisingizio cha kuwatafutia kazi mkoa aliopo. Ushahidi ninao. Na member huyu anaitwa Nyeusi 20 (fungua code) Ushahidi ninao kama kaathirika.... Na hata...
  9. DaJane

    Mwanamke changia hapa, Mwanaume atakayeku-quote mjibu kwa kutumia emoji au picha

    Najua wengi sana tunatamani kuwasiliana kwa kutumia emoji au picha. Mwanamke changia uzi huu, mwanume atakayeku-quote, mjibu kwa kutumia emoji au picha yoyote. Karibuni.
  10. DaJane

    Wanaume wa JF...Ngoma zisizo na mdundo mnazocheza nasi kutwa kucha huko Pm, ipo siku zitapasuka. Wanawake Tumechoka sasa!!!

    Hodi humu jamani!!! Msishangae kuja usiku wa manane. Yamenifika hapaaaa!!! Kila nikilala usingizi hauji. Khaaa!!!! Sasa leo mie ujio wangu nimekuja na jambo moja tu kuhusu baadhi ya wanaume wa humu Jf na hii tabia ya kushinda na msuli na boxer Pm kwetu sisi wadada. Najua ujumbe huu watausoma...
  11. DaJane

    Wanaume wa JF mnajishushia CV zenu kwa wadada. Kuweni real, acheni fake life

    Sisi wanawake wa humu Jf, tunajua fika kwamba wanaume wa humu.... Wote wana pesa, Wote wana magari, Wote wana elimu kuanzia degree, Wote wamejenga, Wote wanajua kuvaa, Wote wazuri.... Ila sasa mie nashindwa kuelewa, kwanini ukikutana na baadhi yao wengi hawako kama wanavyojishaua humu Jf? 1...
  12. DaJane

    Tunahitaji wasichana 3 kwa kazi ya uhudumu wa bar, Kinondoni Mkwajuni umri ni miaka 18-25

    Tunahitaji wasichana 3 tu kwa ajili ya kazi ya uhudumu wa Bar iliyopo hapa Kinondoni Mkwajuni. Pia na kijana wa kiume kwa ajili ya kupewa jiko na kufanya kazi ya jikoni kama kuuza chips, mishikaki n.k Gheto la kulala lipo ila asiwe anatoka mbali sana ili kuepuka usumbufu wakati wa kutoka kazini...
  13. DaJane

    IJUMAA & JUMAMOSI SPECIAL: Tuchezeni mchezo wa masomo kwa kumtag member aje akujibie maswali yako hapa.

    Tuchezeni mchezo wa maswali. Toa swali lolote kati ya Hisabati, Kiingereza au Kiswahili kisha mtag/m-mention member yeyote utakayependa aje akujibie swali lako, nae akishakujibu atatoa swali la kwake na kum-tag/mention member yeyote atakayependa aje amjibie la kwake. Iwapo hataliweza swali...
  14. DaJane

    Tanzania says construction of China-funded port to start in 2015

    Melvin 16 mkuu nina shida nawe Pm. Nakuomba kama hutajali maana iko closed
  15. DaJane

    Wanaume mnaofunga PM na Details zenu, mko sawasawa kweli?

    Eti utakuta mwanaume mzima, na akili zake timamu na kwa makusudi kabisa anafunga Pm yake. Hivi naomba kuuliza, wewe mwanaume unafunga Pm ili iweje? Unaogopa kutongozwa Pm au unaogopa kuombwa pesa huko Pm. Hongera kwa wanaume woote wasiofunga Pm na Details zao. Nyie mliobaki, huo ni Umama...
  16. DaJane

    Ushauri: Nimegundua mdogo wangu kabisa na dada wa kazi wanasagana. Je, nifanye nini?

    DaJane ni mimi, huyo boya Luhanyula achana nae. Acha akune pumbu zake akalale. Kushadadia wenzie kama yanamuhusu. Badala ya kutoa ushauri, analeta pozi zake. Kama anatafuta basha aseme watu tumtafutie, wamkune mpaka moyoni
Back
Top Bottom