Search results

  1. Y

    Viwanja kigamboni

    Ekari 100 milioni 150-hazijapimwa ekari 7 klomita 22 toka feri tsh 4500,000 kwa heka mazungumzo yapo. wasiliana kwa namba 0753 417987
  2. Y

    Viwanja Na Mashamba Kigamboni Kwa Bei Rahisi!!!!!

    Maeneo ya cheka,Amani gomvu na mwanzo mgumu,hivi vyote ni nje ya maeneo ya mji mpya,,karibu tuongee kile unachohitaji wewe.
  3. Y

    Viwanja Na Mashamba Kigamboni Kwa Bei Rahisi!!!!!

    Habari, Nina mashamba na viwanja vilivopimwa maeneo ya kigamboni kwa bei ya kuanzia milioni nne kwa mashamba ya kuanzia heka moja (bei inazungumzika) NA kwa anayetaka viwanja vyenye hati tuwasiliane kwa namba 0753 417 987. Karibuni.
  4. Y

    unene wa mikono kwa kina dada

    Hivi unawezaje kupunguza mafuta ama unene wa mikono kwa kina dada,kwa wale ambao hawana maumbo makubwa lakini mikono minene
  5. Y

    Natafuta dawa inaitwa shabu

    Kwa anayejua anaeza niagizia,niko dar.dawa inaitwa shabu naskia unaweza kutumika kupunguza jasho la kwapa kwa mtu anaye toka na jasho sana.
  6. Y

    Mwili kutoa harufu (body odor): Chanzo, jinsi ya kuzuia na matibabu yake

    Pole Bro kwa hayo,ila uwe makini ufanye ngono salama jamani na pia jaribu kwenda hospital uonenane na maspecialist kwa msaada zaidi ...naomba kujua hiyo shabu inapatikana maduka yepi sababu naskia inazuia ama kupunguza jasho sijui kweli
  7. Y

    weusi mapajani kwa kina dada

    Hvi unaezaje kuondoa weusi juu ya mapaja kutokana na msuguano wakati wa kutembea ama mchubuko....advice..
  8. Y

    Maji mengi ukeni

    Habar zenu bana, hivi kuna njia ya kupunguza maji maji ukeni coz kuna ishu ya wanaume kutoenjoy kufanya mapenz na wapenzi wao sbb ya hali hyo,kisayansi n kwel kuna hali km hyo?na soln yake n nn hasa
  9. Y

    jasho la kwapa

    Jamani hvi naeza kutumia kitu gani kinachoweza kupunguza kutoka jasho la kwapa?coz nina tatizo hili japo jasho lenyewe halitoi harufu na hali hii haijalishi niko kwenye joto ama sehemu ya barid jasho linatoka tu. Pls anaejua juzane nn cha kufanya.
  10. Y

    Mnipokee kama nilivo !!!oh Thee oh Thee!!!

    thanx,,,unaeza kucheki nimejiunga lini hapo,,
  11. Y

    Mnipokee kama nilivo !!!oh Thee oh Thee!!!

    Habarini waungwana,ndo nimejileta ivo!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
  12. Y

    Maumivu!

    Katika maisha ,kuna wakati wa raha na uzuni pia,,kufiwa ni jambo ambalo hua linamuumiza kila mtu pindi yanapomkuta. Je ni jambo gani lingine(ukiondoa kufiwa) ambalo limeshawahi kukuumiza saaaaaana na hutaeza kulisahau??
  13. Y

    Natembea na mtoto wa rafiki yangu pia nimezaa na mke wa mtu

    mwe mwe,,mwanaume Limbukeni wewe,kukojolea wote hao unaona rahaaaaaaa eee,umetishaaa.Haya sasa kidume cha mbegu yamekukuta!!!
  14. Y

    Urembo Corner

    yani mimi ndo sijui kabisaa,mbivu na mbichi ni ipi labda sbb siyo mtumiaji kivile......
  15. Y

    Wanaume Mnajua????

    Inaonyesha uliejibu hapo mbinafssiiiiiiiii,!!
Back
Top Bottom