Search results

  1. snowhite

    Wasafi Media Mtegoni. Diamond, Kusaga wavurugana

    Redio ikizinduliwa si inabidi ianze hapo hapo? Kusaga, the media mogul Anaweza kufanya kweli hili kosa la kuweka fedha mahali ambako uzalishaji wake au uendeshaji wake unatakiwa utegemee Zabibu kama hajamuudhi kakake , kweli?
  2. snowhite

    Wasafi Media Mtegoni. Diamond, Kusaga wavurugana

    Nakuelewa. Lakiini sasa zote coverage zake ndo huku Daslam ambako ndo wataalam wa mambo ya wevs wamesema anazo frikwens zote. Saaasa mbona dar sio wapiga kuraaa! KuRA ZIKO KASUMBALESA huko, ama namna gani?
  3. snowhite

    Wasafi Media Mtegoni. Diamond, Kusaga wavurugana

    ah mi nikajua redio ina management, ina uongozi,ina watendaji na Kiba anaweza tu kuwa zake anakula zake Tambuu Tabata Mawenzi pale huku mambo yanaenda bam bam. Sa manake kama na uendeshaji redio inategemea mood ya Kiba, mbona sasa itakuwa katuangusha sana! Enewei muda bado unaongea! Itakua labda...
  4. snowhite

    Wasafi Media Mtegoni. Diamond, Kusaga wavurugana

    eeenh bana! hem tuchangamshe! Nakutegemea
  5. snowhite

    Wasafi Media Mtegoni. Diamond, Kusaga wavurugana

    hapa ni issue ya Ali Kiba tena? I thought Kusaga kaweka akili hapa Kiba kaweka jina tu ili waishinde Wasafi ili Clouds ibaki kinara, au ndo nishamix madesa? mana mi naeee, umbea napenda ila fizikia na mambo ya media kavalej ndo utata
  6. snowhite

    Wasafi Media Mtegoni. Diamond, Kusaga wavurugana

    mi naona mnanichanganya tu na ma fizikia yenu sijui wave sijui nn. basi hata tuletee za mchele wa virutubisho
  7. snowhite

    Wasafi Media Mtegoni. Diamond, Kusaga wavurugana

    Tuendeleeni na ubuyu jamani. mambo ya frikwensi si yameshaisha wakuu!
  8. snowhite

    CDF mstaafu Mabeyo amelikoroga, Makamu wa Rais ndiye alitakiwa kuwa mtu wa kwanza kila hatua kujua afya ya Rais

    nimecheka kipuuzi sana! ila Kitezo cha umeme kilivyo hakitoi udi ukakolea, itakuwa cha mkaa bana|!
  9. snowhite

    Nimebaini mke wangu ana laini mpya

    WATU WEEEEEUUUUWEEEEHHHHHHHHHHHHHHHH!!!!! nIMEFURAHIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIII
  10. snowhite

    Dada niliyekutana naye JF akawa mpenzi, leo tumetendana vibaya

    Sijaskia vibaya! Haki vile 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
  11. snowhite

    Baby come back. . .

    Hahahahaha nimesoma hapa hapa nimecheka kifala sana!!! Maisha bana!!🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
  12. snowhite

    Baby come back. . .

    Hahahahaha nimesoma hapa hapa nimecheka kifala sana!!! Maisha bana!!🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
  13. snowhite

    Baby come back. . .

    JF 11 yrs ago. Mweh
  14. snowhite

    Hukumu ya kesi ya ndoa inakaribia kusomwa, anataka tugawane mali wakati alinikuta nimesimama. Sitaki hilo litokee, nachanganyikiwa

    Ndo namwona ashajipotezea focus hapa ,yuko kulia lia. Mali zote zina majina yako na ulizipata kabla ya kuoa unazipotezaje kwa asilimia 70? We sio kizembe hivyo! Sheria ya mgawanyo wa mali haipo hivyo, naona washampiga kipapai cha kuchanganyikiwa. Hebu msaidieni mwanaume mwenzenu
  15. snowhite

    Nakuwa na maamuzi ya kusitasita kuolewa tena tangu ndoa ya kwanza inishinde 2021

    Watu wengi wanaoingia ndoa za pili hupuuzia vitu vingi kwenye ndoa za pili. Mostly pengine ya haraka kuonekana wamemove on na hawakuwa na tatizo kwenye ndoa za mwanzo na aliyekuwa mwenzi wake ndo mwenye tatizo! So kuna kupuuzia kwingiiiii. Ila mwanamke mwenye watoto wawili tayari, aliyewahi...
  16. snowhite

    Nakuwa na maamuzi ya kusitasita kuolewa tena tangu ndoa ya kwanza inishinde 2021

    It is. Kuwa submissive inatuchukua nguvu kubwa mno ndani yetu, namaanisha ile kuwa submissive toka ndani kabisa. Hasa kwa mwanamke wa umri wangu, pengine maisha yameshakuwa defined kiasi zaidi ya ukike wa asili ambao yes unahitaji mwanaume, huna sababu nyingine ambazo wengi zinawafanya wanakuwa...
Back
Top Bottom